Mwalimu wa ICT shule za msingi na Secondary au High school

Tody's vision

Member
Sep 10, 2011
14
2
Kwa yeyote yule anayehitaji walimu wa kufundisha masomo ya ICT na kusimamia mifumo ya mawasiliano ktk shule yake au kutengeneza mifumo hiyo na ushauri juu ya kuwa na mifumo ya mawasiliano katika shule yako tafadhali waasiliana nami kupitia TanzaniaCreativeDesign@gmail.com Gharama zetu ni nafuu zaidi na tunatoa kipindi cha majaribio kisichopungua miezi mitatu na kisichozidi miezi sita kulingana na huduma unayohitaji na aina ya mkataba unaotaka kuingia nasi. Malipo ya walimu ni juu yetu.
 
Back
Top Bottom