Mwaliko toka kwa miss chitchat

Teh niko kwenye basi kuna jamaa alisimamisha akauliza kuna seat teh konda akamfokea eti "ni basi gani linalotembea bila seat, limekuwa lori?' jamaa kimya. Btw SIJI kwenye kasherehe kako kwanza kadogo

huyu konda anajifanya anajua sana Kiswahili!
 
Hahahahahahaha
nimecheka sana mpaka natokwa na machozi

Teh niko kwenye basi kuna jamaa alisimamisha akauliza kuna seat teh konda akamfokea eti "ni basi gani linalotembea bila seat, limekuwa lori?' jamaa kimya. Btw SIJI kwenye kasherehe kako kwanza kadogo
 
Huu mualiko umekaa kisanii ! Boshen tupu!
Mualiko gani hautaji venue!
Where being held!
So far tutafaidije mikura tuliokupa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom