Gotdamnit!! The president is losing control of the country....
Kwani kashindwa leo? Mbona alishindwa kabla ya kuanza? Umesahau ule mweleka wa Jangwani?
Kumbe Mungu alikuwa upande wetu. Alitupa onyo kwamba tusifanye makosa kuchagua failure lakini hatukusikia. Tunaishia kumlaumu Mungu kwamba ametutupa, wajinga ndio waliwao
Heheheheee....ingekuwa kwa wazungu huyu raisi angekuwa one term president.
Tulipozungumza naye kabla hajaitisha kikao kile cha dharura jumapili ile, alikataa kuijua Dowans kabisa hadi tulipomrudia na ushahidi huo hapo juu!
Kikwete mwenyewe ni sehemu ya ujio wa kampuni ya Dowans...!!
My friend, huyu JK ni one term president, hakuna mjadala!
NN, are you trying to be diplomatic? It should read: The President has lost control of the country!Gotdamnit!! The president is losing control of the country....
Sasa kama JK naye anahusika hii ni conflict of what? Wanambana Mwakyembe na upepo wanadai ni ufisadi...Hizi siasa zao wanatuletea wanacheza hawa.
This time no politics.