Kwa nini apelekwe India wakati hospitali ya maana ya MUHIMBILI ipo?
huu ndio ufisadi wenyewe...muhimbili wa avifaa na madaktari
ikishindikana si wampeleke hapo Nairobi hospital
why India?
Nini "hii imetokea juzi au jana," kulishwa sumu?Hali yake kweli si nzuri, hii nadhani imetokea juzi au jana, nimejaribu kumtafuta kupitia simu yake lakini haikuwa ikipokelewa.
Katika ulimwengu wa leo wa mapinduzi ya habari hakuna mambo ya "ngojeni kupambazuke"! Ukiambiwa ndugu yako yu mahututi utasema "subiri kupambazuke"? Wewe ngoja, acha wengine watafute habari.Twendeni taratibu - ngojeni kupambazuke taarifa zaidi zitakuwa wazi. Tusianze kujenga minara...
CCM wauaji sana. Habari za ndani zinasema alitofautiana na Magufuli juu ya mradi wa barabara ya Mtwara
the centre cannot hold....things falls apart......hii inchi soon italipuka.....
mungu atulinde.....
watakuwa mahasimu wake kisiasa tu hawaKapewa na nani sumu? Mkewe?
CCM wauaji sana. Habari za ndani zinasema alitofautiana na Magufuli juu ya mradi wa barabara ya Mtwara
Kuugua ni kawaida kila binadamu anaugua.., ila hilo la sumu ndio linatisha sana.., hivyo basi ni vema akaangaliwa na kupatiwa matibabu yote, bila kusahau wachukue vipimo ili kujua ni sumu gani imetumika (kama ni kweli ni sumu) ili kesho keshokutwa waweze kujua ni kina nani alikutana nao na wapi na wakampa nini ili hao wachawi waweze kujibu kilichotokea
Nilikuwa sijui..kumbe invisible una ID ya njano?Hali yake kweli si nzuri, hii nadhani imetokea juzi au jana, nimejaribu kumtafuta kupitia simu yake lakini haikuwa ikipokelewa.
Ndugu wana JF hizi ni taarifa za uhakika kabisa, Dr. Mwakyembe Kapewa sumu amevimba mwili mzima hali ni mbaya nilipopata habari hizi walikuwa wanafanya mpango kumkimbiza India. Nitarudi nikipata habari kwa undani
Nawakilisha