Ana walinzi wa kutosha?Kwa sasa anaelekea buly,buzwagi,tuly,then nyamongo
Ana walinzi wa kutosha?Kwa sasa anaelekea buly,buzwagi,tuly,then nyamongo
Ndo ujue kuna jambo hapo!Huyo mwakilishi wa SSRA naye hamnazo kwani hao wananchi wana submit michango kwa SSRA?
Nilimsikia akihojiwa sijui ndo mkurugenzi wa SSRA anaitwa Irene ... alikuwa jana clouds... kwa kweli nilichefuka sana... wanaonekana wamepewa jukumu la kuhakikisha huu uchafu unafanikiwa!!! Eti anasema kama asilimia 90 ya mshahara umeshindwa kuifanyia maendeleo hiyo 10 pia hutaweza kuifanyia chochote. Kwa kweli nilitamani nitoboe radio nikamkwide!!! kwanza sio 90% maana hapo kuna payee... mshahara unapokea kila mwezi na sio makusanyo kama ilivyo kwa hizo akiba zetu wanazotaka kutuibia...!!
Nipo hapa ukumbi wa mgodi wa GGM yupo mwakilishi toka SSRA anayejulikana kwa jina Ngowi anajribu kutoa ufafanuzi wa sheria kandamizi ya SSRA lakini watu hawamwelewi hali ni tete wafanyakazi wanadai hawakushirikishwa uzalishaji umesimama ...nitwapa updates
Wewe kama ni gamba shauri zako tutakupasha na wewe huko huko, unatetea chama cha mabwepande ili iweje. Walioahidi maisha bora kwa kila mtanzania ni akina nani tena eti kwa kasi zaidi, Hari zaidi na nguvu zaidi. Hii ndo kasi yenyewe, hata uitete vipi CCM imo ndani kwa 100% na hili haliiiachi ng'o hata kwa dawa. Wao kazi ni kugonga meza tu.....!!
jamani kila kitu si kusingizia ccm cha msingi wafanyakazi wote tuunganishe nguvu bila kujali itikadi za vyama, maslahi yetu hayategemei itikadi bali umoja wetu
acha mawazo mgando jaribu kuruhusu ubongo wako japo ufikiri kidogo siyo kila jambo magamba kwani wote waliopo PPF, NSSF nk ni magamba? chamsingi wafanyakazi wote kuungana ili kutetea maslahi yetu
Sheria ni nzuri ila sema walitakiwa kuwaelimisha wafanyakazi. Mimi binafsi naipenda[/
Utakua na mtindio wa ubongo wewe.
1. Wabunge wote ni wasaliti kwenye hili. Iweje wao sheria isiwahusu, hiyo ni rushwa ya kupitisha sheria.
2. Wafanyakazi wote lazima tuungane kwenye hili, kama mgaya anaogopa mabwepande sisi tuko tayari kwenda huko. Hapa hakuna siasa, hapa kuna uhai.