Mwakilishi SSRA apewa vidonge ndani Geita Goldmine Ltd

Nipo hapa ukumbi wa mgodi wa GGM yupo mwakilishi toka SSRA anayejulikana kwa jina Ngowi anajribu kutoa ufafanuzi wa sheria kandamizi ya SSRA lakini watu hawamwelewi hali ni tete wafanyakazi wanadai hawakushirikishwa uzalishaji umesimama ...nitwapa updates

Aambiwe kabisa hilo haliwezekani waondoe.. yaani mtu uache kazi leo ukiwa na miaka 30 umechangia 2m, usubiri ukiwa na 55 years? No way...
Kwa interest gani? Na pia wakishaondoa hilo... tunataka wafanyakazi wanachama wa mifuko waruhusiwe kukopa kwa akiba yao kama collateral na kwa riba nafuu. Mbona GPF wanafanya hilo? na turuhusiwe kuama mfuko mpaka mfuko si kwa kuangalia wanacham wapya tu.
 
wampige mawe kabisa.....hawa jamaa ni vilaza sana....

Mtamuonea bure, wanaostahili KUPIGWA mawe ni BARAZA LA MAWAZIRI lililopoleka muswaada huo na WABUNGE waliopitisha muswaada. That are real our enemies.
 
Hawa jamaa wameshindwa kazi, badala ya kumtetea mtumishi, wamegeka watetezi wa mifuko.
 
Mtamuonea bure, wanaostahili KUPIGWA mawe ni BARAZA LA MAWAZIRI lililopoleka muswaada huo na WABUNGE waliopitisha muswaada. That are real our enemies.

wakimpiga na kuumiza halafu ikaripotiwa na media itasaidia kutoa ujumbe kwa hao watunga sera kuwa watanzania/wafanyakazi hatujaridhika!
 
Mtamuonea bure, wanaostahili KUPIGWA mawe ni BARAZA LA MAWAZIRI lililopoleka muswaada huo na WABUNGE waliopitisha muswaada. That are real our enemies.
Tunajua mjumbe ahuwawi mkuu,lakini unaangalia na nini ulichotumwa...jamaa wanaamini kwamba sheria ipo sahihi cjui wao hawakatwi nssf...na wao ni vilaza pia...
 
Mtamuonea bure, wanaostahili
KUPIGWA mawe ni BARAZA LA MAWAZIRI lililopoleka muswaada huo na WABUNGE
waliopitisha muswaada. That are real our enemies.

anasema eti SSRA wana mamlaka ya kuirekebisha sheria hii na hasa kwa maeneo maalum kama migodi ila kinachonishangaza anadai TUCTA,TAMICO na vyama vingine vya wafanyakazi walishirikishwa
 
Siku zote watu wamekuwa wanasema serikali iko 're-active' and not 'pro-active' Sheria inayogusa maisha ya watu moja kwa moja unaipitishaje bila kuwashirikisha waathirika?

Mgaya anasemaje kwenye hili, alishirikishwa?
 
watu wanamrushia chupa za maji lakini HR Manager ameingilia kati katuliza hali

Inauma sana ,kodi juu,gharama za maisha juu,huduma za jamii dhaifu tena na akiba kutokana na jasho yako pia unyang'anywe! Serikali hii ni Mafia kabisa!
 
nasikia hali ni mbaya kuna jamaa wa field wapo pale nasikia hali si shwari wanajamvi.
 
Back
Top Bottom