King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 51,678
- 68,652
Wadau mambo vipi,leo natimiza mwaka m1 ndani ya JF,nawashukuru wadau kwa ushirikiano wenu
Wadau mambo vipi,leo natimiza mwaka m1 ndani ya JF,nawashukuru wadau kwa ushirikiano wenu
Hongera! I hope umetimiza mwaka bila ban... mbona huchangii sasa? bado upo 70 post, tunahitaji mchango wako. Si unajua Together Each Achieves More? (TEAM)
Hongera ndugu yangu. Nimatumaini yangu kuwa uzoefu ulioupata umekujenga na umekuwa mpya. Tunategemea tutavuna maarifa toka kwako. Hongera sana!
hongera kwa kutimiza mwaka mmojaWadau mambo vipi,leo natimiza mwaka m1 ndani ya JF,nawashukuru wadau kwa ushirikiano wenu
[/QUOTE]hee ni mwaka mmoja besti ndani ya jf au macho yangu hayaoni vizuri
[ Join Date : 15th October 2010
Location : Enaboishu-Umenyeni
Posts : 14,538
Rep Power : 17984
Likes Received4234
Likes Given3499
QUOTE=King Kong III;2651724]Wadau mambo vipi,leo natimiza mwaka m1 ndani ya JF,nawashukuru wadau kwa ushirikiano wenu
Hongera kamanda! Jitahidi ufikishe miwili kama mimi .
Btw kama hujala ban hutokua ngangari!
Jitahidi ule ban hata ya 3 days.