Mwalimu,Jasusi (what a name!) sijapotea, nipo, na hapa JF nakuja kila ninapopata nafasi. Nitakuwepo Dar soon (Ninakuwepo kila Noeli), na kama si nongwa basi tukutane. I roam the whole of Mbezi Beach.
Sasa huyu ndugu yetu aliyesema aliamua kuwa na baraza kubwa la mawaziri kwa ajili ya "program aliyokuwa nayo", anatuachaje?
Too late now!Thread nzuri sana hii, maono yako yametimia asilimia zooote.
Hongera sana mkuu !