eeeh hapo kazi ipo hahahaha
Nyeusi haina mvuto....inatakiwa akifanya hivyo kitu cheupe cha ndani kionekane..
ndo kitchen party hapo wanafundishana maufundi.
Hii lazima ni kitchen party.
Ndio maana nilikataa mchumba wangu kufanyiwa kitchen party, kinachofanyika huko mara nyingi ni ubaradhuli mtupu. Ukija kwenye mafundo ndio usiseme,binti anafundishwa uchafu mtupu.