Muziki WANOGILE

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
542016_374871109255133_270820739_n.jpg
 
Dunia si yetu tena

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Ndio maana nilikataa mchumba wangu kufanyiwa kitchen party, kinachofanyika huko mara nyingi ni ubaradhuli mtupu. Ukija kwenye mafundo ndio usiseme,binti anafundishwa uchafu mtupu.

Siku hizi kuna kitu kipya kimeanzishwa kinaitwa "bedroom party", hii ni balaa zaidi.

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom