Muziki wa taarabu....!!

Bee mwambie huyo kuwa ukizowea kuimba hizi hata sauti inakuwa inajifanyia automatic tuning......inageuka nyororoooooo lolz

Unaosha vyombo huku na "fanya wema wende zako singojee shukurani"

ushajifunza pia hahaha

kweli kabisaa, utashangaa huyoo unaanza kuwa na sauti ya wimbo tu...

halafu ukiimba kazi zinaenda haraka kweli kweli
 
Loh! nchi ina watu wanavituko mpaka basi

Anaulizwa sanaa imekusaidiaje? Anasema amepata ngono na wanawake wengi

usiniambie!!!! hii ndo kusikia leo...
hivi sijui ni utoto, ulimbukeni au ndo basi tu madharau basi anajibu tu bila kujali
 
usiniambie!!!! hii ndo kusikia leo...
hivi sijui ni utoto, ulimbukeni au ndo basi tu madharau basi anajibu tu bila kujali

Alisema kweli maybe not in exact words lkn alizungumza ana kitabu anawaandika wote-lol

Ilikuwa Mahojiano nafikiri kwenye kile kipindi cha Zamaradi

Mie kufika hapo tu nikaifungilia mbali
 
Alisema kweli maybe not in exact words lkn alizungumza ana kitabu anawaandika wote-lol

Ilikuwa Mahojiano nafikiri kwenye kile kipindi cha Zamaradi

Mie kufika hapo tu nikaifungilia mbali

Hiii kali aisee na anasema live bila chenga kweli kuna watu wamepinga kama upinde wa mshale kha??? Mademu si mchezo
 
Kuna watu si wazima!

Hata kama ndo u-celebu basi kuna kiasi huuuh!

sasa Gee kwa bongo uselebu ndo kufanya hayo ya 'hovyo hovyo'!!
mtu anajitoa ufahamu tu basi jamii imjue kwa 'ovu' fulani basi yeye ni selebu
kama mtu ana bisha aende jukwaa la celebrities hapa hapa JF. utaona menfi ya yaliyoandikwa/matukio ya wahusika ni yakipuuzi puuzi tu!!
 
Hii ni ajabu gani ilozuka duniani manahodha baharini kugombania sukani

 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Shada langu la mauwa, lauwa kwa rangi yake
limepambwa kwa murua, sioni kifani chake
na asumini kutiwa, katika mahala pake
shada hili limekuwa, la pepo na watu wake

shada hili shada gani, walimwengu nambieni
haya mauwa thamini, wakutunikiwa nani

Shada la mauwa - YouTube
 
Loh! nchi ina watu wanavituko mpaka basi

Anaulizwa sanaa imekusaidiaje? Anasema amepata ngono na wanawake wengi

Hivi kwa maneno hayo bado hajapelekwa Mirembe???

Bangi nyngine ni mbaya sana!!
 
Mzee DC, Mie sio mtaalam wa Taarab but the little I know I Love and appreciate... hii ni moja ya Music hapa JF inakua rarely listed to or discussed, hopefully hii thread itaendelea na Music ya taarabu Worthwhile zitazidi miminika....
 
]Hivi kwa maneno hayo bado hajapelekwa Mirembe???[/COLOR]

Bangi nyngine ni mbaya sana!!


Mwanaume mzima anaongea pumbaaaaaaa
At na yeye anaweza kujiita baba! au mume!! lol
sijui kama maisha atayaweza kwa mtazamo alonao
Ndio maana Malkia wa taarabu alishaimbaga kwamba.......
"........Wengine si wanaume......ila magumegume......." - hadija kopa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom