kwi kwi kwi kwiiiii
kuna mzee mwenzangu nimemuuliza hilo swali je zanzibar ni nchi au sio nchi?
akanijibu zanzibar ni kisiwa...

Unforced errors: Unending debate on Zanzibar statehood

2008-07-19 09:10:15
By Ani Jozen

Mainland and Isles authorities (the former also pass as Union authorities) were back on a favourite pastime, of finding out whether Zanzibar was a state or it is not.

On the basis of the terms of the debate as the principal protagonists took the floor, for instance Prime Minister Mizengo Pinda in the National Assembly, it would appear that no ground has been covered on that issue.

Why is there a dialogue of the deaf where one side cannot hear what the other side is saying?

When for instance premier Pinda asks the two attorneys general to meet and clear the air over the issue, what chances of comprehension of each other was he expecting - and is there need for clarity on the matter?

Everyone knows that the two sides have varying sentiments about the union, which have been expressed from time to time with various intensities.

Is it not clear as yet that holding these sentiments is part of democracy, that is, its local expression, as constitutionality?

The problem about determining the statehood of Zanzibar does not arise from the constitutional blueprint as the latter has everything either side needs for reference.

Premier Pinda for instance sought to put the matter clearly on the basis of Article 1 of the Constitution of the United Republic of Tanzania, and made no reference to the fact that the Zanzibar Government is also constituted by an enabling Constitution.

In other words, even if the Zanzibar Government is pegged to the Union, it is constituted by a separate act, other instance of public will.

In other words, by virtue of having its own constitution, the Zanzibar Government is constituted by the general will of the people of Zanzibar rather than by the general will of the citizens of the United Republic of Tanzania.

The Union is not what constitutes the statehood of Zanzibar but it is an aspect of its statehood; it is, as it were, a hat that it wears at the moment, and for the foreseeable future, as Pinda`s state attorneys would rush to insist.

Yet constitutional intentionality is not however, its own guarantee but politics.

Put differently, what assures that Zanzibar will continue being a part of the United Republic of Tanzania is not Article 1 of the Union Constitution but Zanzibar politics, in the sense that it is by continual adhesion to the Union of the Isles general will that loyalty to the Union is ensured.

Since the Government of Zanzibar had to be constituted in a formal act of expression of popular will that is limited to Zanzibar, it means the Union can cease to exist when such will is demonstrably given. One cannot constitute a House of Representatives and ``legislate`` that it cannot vote against the Union; the issue is percentage.

There is an old rule of politics and warfare which was taken up by Marxist revolutionaries in the 20th century, for instance Mao Zedong and Amilcar Cabral.

The rule says ``tell no lies, claim no easy victories,`` and it seems that the Union government ``revolutionaries`` need to be reminded of this rule, so that they can clearly comprehend, or otherwise mentally adapt, to constitutional reality linking Zanzibar and the Mainland.

Saying that Zanzibar is not a state is close to saying that Zanzibar was at some point absorbed into the Union.

Making that kind of affirmation, or insinuating anything to that effect, is close to ``claiming easy victories,`` if one should adopt that formula above the more appropriate one, that it is close to ``telling lies.``

At the time of drawing up the Articles of Union, a situation existed where absorption could have taken place, on the basis of affirmations by Mwalimu Nyerere later, that Sheikh Karume was willing or enthusiastic about fully uniting the two parts.

But Mwalimu worried that Zanzibaris would later come to demand their lost sovereignty, and that would lead to an ill-adapted Union.

On the basis of Mwalimu`s affirmation alone, it is clear that what is then embedded in the Articles of Union is a state where two states unite, and only Tanganyika loses its status as a state, as it is fully absorbed into the Union, while Zanzibar retains its statehood.

So, trying to make `statehood` means the same thing as `sovereignty` is merely a play on words, which tries to ignore reality, that Zanzibar is a fully fledged constitutional state, and has never been absorbed into the Union.

It has a working arrangement with it, modeled on the colonial `protectorate` ties it used to have with Britain�

Admittedly, no one who was listening to Pinda in the National Assembly is unaware of these realities, but the point still resurfaces and is made a rallying cry that Zanzibar is not a state (or a country, whatever).

There is an effort, in these affirmations, of easing the path for Union authorities in their daily handling of issues with Zanzibar, where they are at times compelled to negotiate, painstakingly, every inch of the way.

For instance the Tanzania Revenue Authority (TRA) had to get massive state backing and the inclination of the Isles authorities to place the Isles taxation structures in a manner that conforms to TRA prerogatives, to close the `Z`bar route.`

Since there are quite a number of areas in which the Union takes higher profile than Zanzibar particularity or its internal administration, it is by and large possible to think of Zanzibar, generally as having transferred executive authority to the Union, save for a few internal or local matters.

Yet that frame is faulty because it is not from a fully constituted Union that some local matters were left out for the Zanzibar Government, but from a fully constituted Zanzibar state that some general matters were given to the Union government.

Who gives whom authority is important to sort out, and here it is Zanzibar which transfers issues, not the converse.

That means the rule about Zanzibar statehood includes all the big issues or Union matters, that the Union Government oversees them only because a fully constituted state or government in the Isles agrees that this should be the case.

By its nature, such authority can be withdrawn, by an equally important constitutive act, say by a two thirds majority vote by the House of Representatives that Zanzibar ends the relationship and fully assumes its sovereignty.

Such a move would merely lead to abrogating Article 1 of the Union Constitution and another article about the name, or reaffirm it nonetheless, that despite ending the Union, the name shall remain Tanzania.

Msiombe WaZanzibari wakafika kuitumia hiyo ,maana baada ya kuona hayo yaliyopigiwa mstari ndipo nikajua kwa nini Spika wa zanzibar aliamrisha mjadala huo ufungwe haraka na kufika kuzuia hoja zilizotaka kuwakilishwa na wawakilishi wawili wate wakipinga Zanzibar kuitwa kijiji ,yaani kama aliota na kuwapiga stop lakini leo mazungumzo yangelikuwa mengine labda Kikwete angelikwisha kubadilika roho na kupeleka jeshi kwenda kuwakamata wawakilishi wa CUF na CCM ,nimuonavyo Kikwete alianza kuitumikia Tanzania kama Mtumishi wa Mungu akiwa na cheo cha Raisi sasa nina wasi wasi kuwa cheo chake kinaweza kupanda na kufikia utme au kikapanda zaidi akajiona amekuwa Malaika na kuna hatari kwa jinsi anavyoyumbishwa akajibandika cheo kikubwa zaidi japo asijiite ,nampa pole sana Pinda haya mambo ya Zanzibar yanaweza kumweka na kumwangusha bora ayaepuke kama Dr.Shein na Salimu Ahmed wao ni WaZanzibari waliofikia vyeo vya juu kama au kuliko vyake lakini mambo ya kwao wanakuogopa hata kukutaja ,hivi mmewahi kumsikia Salim au Shein kutaja habari na migongano ya Zanzibar mnalotakiwa ni kutoa ulinzi imara bila ya upendeleo siku za Uchaguzi Mkuu ili mupate kuwa na Muungano imara na wa kweli ,lakini haya mambu ya kupeleka vifaru maguruneti na siku hizi mnapeleka magari ya maji ya pilipili basi Mtaishi ndani ya Muungano wenye wasiwasi na usiokuwa hata siku moja siku zote utakuwa kama mtoto mchanga mara kanya susualini ,mala kakojoa kwenye basi mara kaangua kilio wakati mpo sinema ni matatizo tu kama tunavyoona,kila kukicha na sasa dunia nzima imeshapata habari kuwa tanzania Bara inataka kuimeza Zanzibar mnalo la kuwajibu ?
 
Mkuu, umeongea la maana sana, lakini mi ningependa kusema kama Zanzibar wanataka kujitenga na kuwa taifa, tuwaache wafanye hivyo, live and let live. Mimi naona kama wataumia but then maybe I am wrong whichever way, Tanzania bara hatupotezi kitu chochote, labda tubadili tu jina turudi kwenye Tanganyika. Sidhani kama dunia iko tayari kukaribisha nchi mpya ya Zanzibar na watajikuta katika njia panda wakikaribishwa na ndugu zao waarabu tu lakini nchi kubwa zote zitawa-ignore. Heri hata Kosovo, ingawa hata wao wana wakati mgumu sana!! But let Zanzibar learn at their own expense, kwa nini tumewang'ang'ania?

Kauli za kuibeza Zanzibar si njema. Kwani kiasi gani Serikali ya Muungano inaiendesha Zanzibar? Ivo kikubwa kinachofanya upande mmoja kujiona umefik kimaendeleo, tuko kwenye nafasi ya ngapi kaitka orodha ya nchi masikin?
Dhana kuwa nchi kubwa hazitoitambua Zanzibar ni dhana potofu kwani Zanzibar ilishakuwepo kwenye mashirika ya kimataifa.
Miaka zaidi ya 44 bado tunategemea wafadhili hivyo haitakuwa tabu kwa Zanzibar kuanza harakati za maendeleo kam nchi inayoanza kujitawala.
 
Mkuu, umeongea la maana sana, lakini mi ningependa kusema kama Zanzibar wanataka kujitenga na kuwa taifa, tuwaache wafanye hivyo, live and let live. Mimi naona kama wataumia but then maybe I am wrong whichever way, Tanzania bara hatupotezi kitu chochote, labda tubadili tu jina turudi kwenye Tanganyika. Sidhani kama dunia iko tayari kukaribisha nchi mpya ya Zanzibar na watajikuta katika njia panda wakikaribishwa na ndugu zao waarabu tu lakini nchi kubwa zote zitawa-ignore. Heri hata Kosovo, ingawa hata wao wana wakati mgumu sana!! But let Zanzibar learn at their own expense, kwa nini tumewang'ang'ania?

Fikira za kijinga na dharau kama hizi zilizoja vichwani mwa watanganyika wa aina yako na uoga wa kuzungumzia mfumo wa muungano kwa upande wa CCM ndio mzizi wa matatizo yaliyopo. Unaongelea Zanzibar kama watoto wadogo vile wa kulelewa bila ya kujua kuwa there was Zanzibar hata kabla wazazi wako hawajajua kuvaa viatu.....

Tanzanianjema
 
Basi tuwape na wao Tanganyika yao! Sera ya CHADEMA serikali tatu yakhe

Asha
 
Mkuu, umeongea la maana sana, lakini mi ningependa kusema kama Zanzibar wanataka kujitenga na kuwa taifa, tuwaache wafanye hivyo, live and let live. Mimi naona kama wataumia but then maybe I am wrong whichever way, Tanzania bara hatupotezi kitu chochote, labda tubadili tu jina turudi kwenye Tanganyika. Sidhani kama dunia iko tayari kukaribisha nchi mpya ya Zanzibar na watajikuta katika njia panda wakikaribishwa na ndugu zao waarabu tu lakini nchi kubwa zote zitawa-ignore. Heri hata Kosovo, ingawa hata wao wana wakati mgumu sana!! But let Zanzibar learn at their own expense, kwa nini tumewang'ang'ania?

Hata watu majumbani wakiachana wanatumia lugha hio hio - hautoweza kuishi bila mimi, wote huko watakutenga!

Nchi zinakwenda sehemu kwakutizama vipi au nini watafaidika - na kama Zanzibar wanacho wanachokitaka - sizani kama watasita kufanya hivyo! Iwe kwenye masuala ya kiuchumi, ulinzi au hata urafiki tu
 
Nipo Zanzibar, hivi punde nimetoka kwenye mkutano wa hadhara uliohutubiwa na katibu mkuu wa CUF, Maalim Seif Dharif Hamad. Ajenda kuu ilikuwa kauli iliyozua mjadala ya Pinda kuwa Zanzibar si nchi.
Maalim amemtaka Pinda awaombe radhi wazanzibari hadharani kwa kauli hiyo ambayo imewahuzunisha, kuwakwaza na kuwafadgaisha wazanznibari wote.
Lakini kikubwa, Maalim ameitumia kauli hiyo ya Pinda kuonyesha kuwa muungano wa sasa unaendeshwa kwa hila za kutaka kuiua Zanzibar. Anasema hili lilianza tangu awali na lilianzishwa na Nyerere ambaye alionyesha kuichukia Zanzibar tangu mwanzo.
Amesema Nyerere alitumia ghilba kumshawishi Karume (Original) akubali Muungano na alipokataa alimtishia kuwa ataondoa askari wake.
Kwa kuwa nchi ilikuwa changa (siku chache baada ya mapinduzi) karume alikubali lakini kwa sharti kwua Zanzibar iendelee kuwa nchi.
Maalim Seif anasema lakini hila za kuiua Zanzibar zilianza wakati huo na ndio maala masuala ya Muungano yameongezeka kutoka 11 ya awali hadi 23 hivi sasa.
Anasema kuongezeka kwa masuala ya muungano kunamaanisha kupungua kwa madaraka ya Zanzibar na hilo haliwezi kukubalika.
Amemtaka Shamsi Vuai kutangaza katika Baraza la Wawakilishi kuwa Zanzibar ni nchi na hiyo itasababisha kuwepo kwa mgororo wa kikatiba. Ameitaka SMZ itangaze mgogoro huo wa kikatiba na CUF itaiunga mkono.

Hivi CUF ni chama kwaajili ya Zanzibar au Tanzania?
 
Nadhani Zanzibar ni kama zile US wanaita states ambazo zina utawala wao chini ya magavana, zinatunga hata sheria zao, zinakusanya hata kodi, na bado si nchi. Ziko katika muungano.
Muungano wetu wakuu umeshathibitishwa kuwa na mapungufu mengi katika kuu practice na viongozi wetu walishalikili hili.
Ndio sababu muungwana kaunda mara wizara mara kamati na kadhalika ili kuona ana mend shida iliyopo. Hata hivyo matatizo ni mengi kiasi kwamba iko wazi tunaitaji KATIBA MPYA.

Tofauti ya US na hapa kwetu - Zanzibar ni State lakini Tanganyika State limemezwa kwenye Serikali kuu

Lakuchekesha muundo wa Great Britain unautata kama ambavyo tuliokua nao hapa Tanzania:
Scotland, Northern Ireland, and Wales wote wanaserikali zao zinazokaribiana na mfumo wa Zanzibar - hata sarafu za pesa zao.

Tatizo linakuja kwa England (Tanganyika yao) wao wamo katika serikali kuu tu.

Nafikiri panahaja ya kuboresha muungano wetu ndio la msingi na sio kua na mtazamo wa kuvunja
 
http://www.time.com/time/magazine/article/0,9171,875803-1,00.html (Angalia hii aricle kwenye gazeti la Time.)

US government under President Lyndon B. Johnson (1963-1969) accorded Zanzibar a top priority in the US foreign policy, next to Vietnam and Cuba. William Attwood, the then US ambassador in Kenya said that "the Western powers prepared a contingency plan in case the Union would fail...and (after the union), the laws of Tanganyika would become supreme to round up (Muslim) radicals in Zanzibar." Also the US Secretary of State, Dean Rusk appealed that "it is essential for Nyerere to be given the maximum support from the West.

Zanzibar ilikua inaonekana tatizo kwa usalama wa Tanganyika na Africa - Hii na ndio sababu ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Sehemu zilizo unganishwa ni utakuta:

Mambo ya Nchi za nje
Elimu ya Juu
Ulinzi na Usalama

Lengo ni kuzuia direct access of USSR and China to Zanzibar - and Zanzibar also kupeleka vijana wake ambao wengi wao walikua tayari wamepata taaluma kutoka hizo nchi!

Mheshimiwa Pakashume,
Hizo ni propaganda tu, na jinsi ilivyo ni rahisi sana kuwaamini hao kuliko kuwaamini wahusika wakuu wa Muungano wenyewe! Bado maneno hayo hayajasema kwamba Muungano ulitokana na Mwalimu kushawishiwa na Waingereza na US. Hata kama Wamarekani walikuwa na huo wasiwasi mkubwa kuhusu nchi za kikomunist kuingia Zanzibar na Tanganyika Mwalimu asingeliweza kukubali ushawishi wao kwa msingi huo.

Pia kuhusu kuzuia vijana, sikumbuki kwamba vijana wa Kitanzania waliacha kwenda kupata taaluma USSR na China baada ya kufanyika Muungano kwa vishawishi vya Marekani na Uingereza. Ukweli ni kwamba ni vijana wachache mno waliokuwa wakipelekwa Marekani ukilinganisha na idadi ya wale walioendelea kupelekwa kwenye nchi za Kikomunist. Wamarekani walijaribu kuleta peace corps wao wakaingia mashuleni lakini mpango huo ulisitishwa kwa sababu ulionekana ni mpango wa kutaka ku-brain wash wananchi badala ya kuleta maendeleo kwa nchi.

QUOTE=Ngekewa;250661]Kinachozungumzwa hapa ni wakati wa vita baridi Mmarekani hakuwa na nguvu kama alivyo sasa duniani. Hebu nikupe somo kidogo, baada ya Uhuru wa Zanzibar Mmarekani alikodi sehemu nyeti Zanzibar na kujenga kituo cha satalite na alikwisha anza kuchimba mtaro mkubwa (inlet) kwa ajili ya kuingiza meli zake. Baada ya Mapinduzi ya 1964 Karume aliwatimua na kuvunja kila kitu.
Nadhani utaelewa wanaojuwa wanapoeleza mambo wanayoyajua.[/QUOTE]

Mheshimiwa Ngekewa,
Naam sijui kitu, ntaelewa ninapoelezwa na wanayoyajua. Lakini pamoja na siasa zangu za jikoni bado sikubali kwamba Nyerere alishawishiwa na Wamarekani na Waingereza kufanya Tanganyika na Zanzibar ziungane kwa manufaa yao! Nyerere alikuwa mkweli na si mlaghai wala mbabaishaji.

Tusisahau kwamba wakati huo kulikuwa na vuguvugu na nchi za Afrika kutakiwa kuungana ili hatimaye kuwe na United States of Africa! Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulitokana na vuguvugu hilo zaidi ya sababu nyingine yoyote.

Katika kitabu chake cha Freedom and Unity, katika hotuba yake aliyoitoa Bungeni wakati Bunge la Tanganyika linaridhia Makubaliano ya Muungano ya Serikali ya Tanganyika na ile ya Zanzibar, Mwalimu alisema; nanukuu - waniwie radhi wale ambao hawapendi nukuu!:

“…..The union between Tanganyika and Zanzibar has been determined by our two Governments for the interests of Africa and African Unity. There is no other reason. Unity in our continent does not have to come via Moscow or Washington. It is an insult to Africa to read cold war politics into every move towards African Unity. Africa has its own maturity and its own will. Our unity is inspired by a very simple ideology – unity. We do not propose this Union in order to support any of the ‘isms’ of this world. We propose it in order to support and strengthen Africa, and our particular part of Africa. The principles underlying the foreign policy of the United Republic will be the same as those which now operate in the separate states of Tanganyika and Zanzibar. We shall work for African Unity and African Freedom, and we shall remain non-aligned in world power struggles which do not concern us. Each international issue will be determined on its own merit and our friendship towards all nations will be affected only by their actions towards us. We shall not allow our friends to choose our enemies for us

Ni dhahiri kwamba Mwalimu alikuwa akikanusha mawazo ya kupindishwa ukweli kama hayo ya kwenye gazeti la Time, na propaganda zilizokuwepo wakati huo.

Mh. Ngekewa, naamini tuko pamoja na hatukubaliani na msimamo wa Mh. Pakashume kwamba Muungano ulifanyika kwa ushawishi wa Waingereza na Wamarekani. Na hilo la Karume kuwatimua Wamarekani Mwalimu aliliunga mkono kwa sentensi yake moja hapo juu.

Muungano ni jambo jema sana. Ndio maana wengine tunawashangaa wanaoshabikia kuvunjika kwa Muungano maana Zanzibar kuanza tena kama nchi iliyotoka kupata Uhuru itakuwa ni aibu kubwa kwa Watanganyika na Wazanzibari pia katika dunia hii ya kutafuta maendeleo.
 
Kwa ujuaji wako wa Historia nitajie ni lini Unguja na pemba ziliungana ?
kwa kukusaidia namna ilivopatikana UNGUJA,PEMBA na Mafya wana sayansi wanasema ni maporomoko makubwa ya maji ambayo yalitokana na mto Rufiji ambao sayansi inaueleza kuwa ulikuwa mto mkubwa kupita yote hapa duniani,weka kando hilo nipe jibu langu ? Sio mnatazama mabango ya sinema mkirudi mnajidai kueleza mchezo mzima !!! Inaonyesha hata hiyo Zanzibar huijui asili yake ,hivi ukiambiwa kama Mwanza ni sehemu ya Zanzibar utakubali wewe ?ndio nikasema hujaingia sinema ukaona mchezo umeona mabango tu .

Mwiba kwa ulichoandika hapo, ina maana basi hapakuwa na bara Afrika, Asia, Ulaya, Latin Amerika, Marekani Kaskazini na hata Australia!

Hivyo kwa kuangalia sana Indonesia na Papua New Guinea zilikuwa ni sehemu za Tanganyika na hayo maporomoko makubwa ya Mto Rufiji si ndiyo yaliyomeguwa visiwa vya Pemba, Unguja na Mafia kutoka Tanganyika, hivyo hoja ni kuwa Zanzibar si nchi ni sehemu ya Tanganyika au Tanzania kwa jina jipya!
 
Kazi kweli kweli.....
 
Zanzibar wakitaka warudishiwe nchi yao na kwa maana hiyo Muungano uvunjike, je wametafakari vyema yale yatakayotokea endapo Muungano huo watauvunja wao?

Bibi Ntilie Shikamoo,

Hawa ndugu wa CCM Zanzibar hawajui mtego wanaojitega kukamatwa kama Kurumbizi kwenye ulimbo!

Wakijitoa kwenye muungano wa Tanzania, basi hata wao watagawanyika kuwa Pemba na Unguja maana CUF ndio wenye boma Pemba na kamwe hawatakaa waone kwa jicho na mkao mmoja!

CUF wanasubiri kwa hamu kubwa CCM Zanzibar washinikize kuvunjika Muungano na hoja ya Utaifa/Nchi ili SMZ ivunjike! KamaCCM Zanzibar wangekuwa makini na werevu, wangepima kauli ya CUF kusema wanataka Serikali tatu na wao hawana shida na Muungano!
 
Fikira za kijinga na dharau kama hizi zilizoja vichwani mwa watanganyika wa aina yako na uoga wa kuzungumzia mfumo wa muungano kwa upande wa CCM ndio mzizi wa matatizo yaliyopo. Unaongelea Zanzibar kama watoto wadogo vile wa kulelewa bila ya kujua kuwa there was Zanzibar hata kabla wazazi wako hawajajua kuvaa viatu.....

Tanzanianjema

Mimi Mtanganyika nakuulizeni mnaojiita WaZanzibari, je nyinyi ni Wazanzibari wa upande gani? Pemba au Unguja? maana hata hizi hekaya za ukoloni wa Muingezera, serikali ya SMZ na mengine bado yanapiga chenga ukweli kuwa Pemba na Unguja ni sawa na maji na mafuta ndani ya Mtungi!

Ikiwa CUF na wapemba wanaamini walipata Uhuru December 12 1963 halafu Waunguja wa ASP-CCM wanadai hawatambui Uhuru na mamlaka ya Sultani na kusema Mapinduzi ya January 12 1964 ndio siku hasa ya Uhuru wa Zanzibar, mnategemea nini mkijitenga kutoka Muungano na kudai kuwa na nchi/taifa lenu?

Je kama nyinyi ni Wazanzibari wa Unguja na Pemba wakakataa kutawaliwa na kutaka kuwa na nchi yao pekee yao, mtapeleka jeshi na kuleta udikteta na kuendelea kupuuzia historia kama mnavyofanya sasa hivi kuwapuuzia Wapemba kwa ubavu wa SMZ kupitia CCM?

Zanzibar inahitaji kuwepo kwa Muungano kuliko Tanganyika, mpende msipende!
 
Mchungaji,
Nakubaliana nawe. CUF walishataka 'nchi' yao Pemba, wanachosubiri ni SMZ kuuvunja Muungano. Labda Pemba wakiishapata nchi yao, ndipo Waunguja nao watazinduka na kutaka kurudi kuanza upya kwa 'ridhaa yao' kuungana na Tanganyika!!!
 
Mimi Mtanganyika nakuulizeni mnaojiita WaZanzibari, je nyinyi ni Wazanzibari wa upande gani? Pemba au Unguja? maana hata hizi hekaya za ukoloni wa Muingezera, serikali ya SMZ na mengine bado yanapiga chenga ukweli kuwa Pemba na Unguja ni sawa na maji na mafuta ndani ya Mtungi!

Ikiwa CUF na wapemba wanaamini walipata Uhuru December 12 1963 halafu Waunguja wa ASP-CCM wanadai hawatambui Uhuru na mamlaka ya Sultani na kusema Mapinduzi ya January 12 1964 ndio siku hasa ya Uhuru wa Zanzibar, mnategemea nini mkijitenga kutoka Muungano na kudai kuwa na nchi/taifa lenu?

Je kama nyinyi ni Wazanzibari wa Unguja na Pemba wakakataa kutawaliwa na kutaka kuwa na nchi yao pekee yao, mtapeleka jeshi na kuleta udikteta na kuendelea kupuuzia historia kama mnavyofanya sasa hivi kuwapuuzia Wapemba kwa ubavu wa SMZ kupitia CCM?

Zanzibar inahitaji kuwepo kwa Muungano kuliko Tanganyika, mpende msipende!

Hili ndio tatizo, kila anayesema ukweli wa mambo kuhusu muono wa watanganyika on zanzibaris basi lazima awe mzanzibari....being ignorant and insensitive about Zanzibaris and their social and culture complexities has become as normal thing to Tanganyika's....and then we think we know and have right to resolve the situation there.....

Na wewe mtanganyika, ni mtanganyika yupi...

Mchaga, mhaya, mnyasa ama mdengereko?

mwislamu, mluteri ama mkatoliki?

wewe ni wakuja kutoka bara ama mswahili wa pwani?

Kwani wewe unasali wapi vile? Kwa kakobe ama haujaokoka?

Umetokea wapi vile....kusini ama mikoa ya mipakani mlikojaa walowezi wa kikimbizi?

Hivi wewe ni kafiri (mkristo), mswahilimswahili(muislamu) ama gabacholi?

Je kama nyinyi ni watanganyika wa nyanda za juu kusini, waswahili wa pwani wakakataa kutawaliwa na kutaka kuwa na nchi yao pekee yao, mtapeleka jeshi na kuleta udikteta na kuendelea kupuuzia historia kama mnavyofanya sasa hivi kuwapuuzia wazanzibari kwa ubavu wa CCM?

Tanzanianjema
 
Mwiba kwa ulichoandika hapo, ina maana basi hapakuwa na bara Afrika, Asia, Ulaya, Latin Amerika, Marekani Kaskazini na hata Australia!

Hivyo kwa kuangalia sana Indonesia na Papua New Guinea zilikuwa ni sehemu za Tanganyika na hayo maporomoko makubwa ya Mto Rufiji si ndiyo yaliyomeguwa visiwa vya Pemba, Unguja na Mafia kutoka Tanganyika, hivyo hoja ni kuwa Zanzibar si nchi ni sehemu ya Tanganyika au Tanzania kwa jina jipya!
Unaweza kusema kama ni sehemu ya Tanganyika lakini kabla hujaamua kusema hivyo nani alikuwepo mwanzo au nani alijikatia mipaka mwanzo na Utawala wa Nchi ulianza lini,kilichoibuka ni jamaa mmoja aliesema Pemba na Unguja ziliungana wakati hakuna tarehe wala anaejua ni lini visiwa viwili hivi viliungana ila kuna mzee wa zamani sana alikuwa mganga yeye anasema kisiwa kimoja akiishi Hawaa na kingine akiishi Adam ila huku Tanganyika ilikuwa sehemu ya mifugo yao.
 
Hili ndio tatizo, kila anayesema ukweli wa mambo kuhusu muono wa watanganyika on zanzibaris basi lazima awe mzanzibari....being ignorant and insensitive about Zanzibaris and their social and culture complexities has become as normal thing to Tanganyika's....and then we think we know and have right to resolve the situation there.....

Na wewe mtanganyika, ni mtanganyika yupi...

Mchaga, mhaya, mnyasa ama mdengereko?

mwislamu, mluteri ama mkatoliki?

wewe ni wakuja kutoka bara ama mswahili wa pwani?

Kwani wewe unasali wapi vile? Kwa kakobe ama haujaokoka?

Umetokea wapi vile....kusini ama mikoa ya mipakani mlikojaa walowezi wa kikimbizi?

Hivi wewe ni kafiri (mkristo), mswahilimswahili(muislamu) ama gabacholi?

Je kama nyinyi ni watanganyika wa nyanda za juu kusini, waswahili wa pwani wakakataa kutawaliwa na kutaka kuwa na nchi yao pekee yao, mtapeleka jeshi na kuleta udikteta na kuendelea kupuuzia historia kama mnavyofanya sasa hivi kuwapuuzia wazanzibari kwa ubavu wa CCM?

Tanzanianjema

Udhaifu wa hoja yako na kukosekana kwa mwelekeo au dira japo kujaribu kujibu swali langu na kuanza kuuliza maswali yasiyo ya msingi ni sawa na kelele za CCM Zanzibar kuwa Zanzibar ni Nchi/Taifa.

Ungenijibu maswali yangu ambayo ni ya msingi ukiangalia historia ya Zanzibar ambayo ni tofauti na Tanganyika, ungekuwa umesaidia umma na hata kuleta hitimisho au moj ya suluhisho la matatizo yote ya Muungano.
 
Rev Kishoka unafahamu kuwa Tanganyika ilikuja lini ?
Nikisema kuwa Coastal area yote ya East Afrika ilikuwa ni Zanzibar utakubali ?wakati huo Tanganyika haipo wala haijulikani ,Tanganyika iliitwa hivyo kuanzia juzi juzi tu 1921 sijui utanikubalia ?
Sasa kwa kukutahadharisha tu sio kukutisha maana mtu mzima hatishwi lakini Zanzibar ina historia ndefu sana sasa unaposema kuwa Zanzibar sio Nchi ,mimi huwa naweka hesabu ya mmonyoko kuwa mwanzo ilikuwa nchi kubwa lakini ikamomonyolewa na bado inaendelea katika hali hiyo mpaka watabakia watu na mwisho hata hao watu watakuwa hawapo maana ikiwa sasa hivi wamasai wanasema ni WaZanzibari ingawa hawajakosea lakini kwa hapa tulipofikia hata waishio Dar hawawezi kusema ni WaZanzibar watu ambao walikuwa ndani ya mipaka ya Zanzibar .hebu jikumbushe kutokana na hii ramani ya Zanzibar wakati hata haijajulikana kama kutazaliwa Tanganyika ambayo vizazi vyake vya leo vinaona aibu kujiita au kujiona ni WaTanganyika wanataka au bado wanang'ang'ania kudai asili yao ya Uzanzibari ,Unajua Mtanganyika unaweza kumwita mzanzibar lakini Mzanzibar huwezi kumwita Mtanganyika na ndio hapo ikawa WaZaznibari hawakubali kuondolewa UTaifa wao na pia kanchi kao kalichobaki kumegwa na watoto wa juzi.

mapzanzibar.gif
 
waswahili mara wanafasiri vyengine,

Tatizo la Zanzibar sio kama watu wengi humu wanavyoliona, hawajui au wanajua lakini hawasemi, wakati zilipoungana ni Zanzibar na Tanganyika, kwanini mwenye ng'ombe 20 akubali kuungana na mwenye wawili? naomba jibu, ikiwa Tanganyika hawataki Muungano kwanini waushikilie? Kilichomponza Mh Aboud Jumbe ni machafuko ya hali yahewa ya kisiasa au ?

Tatizo tunapitisha muda hatulikabili tatizo na kulipatia ufumbuzi, Ninaomba hao NEC na vyama vyote vikubali kukaa sasa kwani hata yakinyamazishwa sasa bado yataibuka tena
 
Back
Top Bottom