Muungano ukivunjika, Zanzibar kuwa 'Dubai ndogo'

Mtoto akililia wembe mpe. Wapo watu Zanzibar wasiotaka Muungano huu, wengi wao ni viongozi na wenye uchu wa madaraka. Wanadhani kuwa Bara inawagandamiza kwa mambo mbalimbali na hasa suala la fedha za misaada kutoka nje. Lakini wapo pia watu kadhaa kjutoka Bara ambao hawataki kabisa kuwepo kwa Muungano huu. Sababu zao ni nyingi lakini kubwa ni hisia zao kuwa Zanzibar inadekezwa mno licha ya kunufaika na Muungano huu. Watu hawa Bara wanashangaa kuona Zanzibar licha ya kutambuliwa kwake kimmungano tofauti na Tanganyika iliyokufa bado waZanzibari wanataka wapewe karibu kila kitu. Ilivyo ni kuwa Wazanzibari wengi na hasa wafanyabiashara wako Bara. Wazanzibari na hasa wapemba wapo Kariakoo, Namanga(Kinondoni), Ilala, Mwananyamala, Kijitonyama, Tanga, Lindi, Mtwara na sehemu kadhaa nchini wakifanya biashara. WaZanzibari wengi pia wako katika maofisi mbalimbali Baraingawa ni kweli pia WaBara nao wako huko Zanzibar.

Wasiofika Zanzibar pengine hawajui kuwa uko Uhasama mkubwa kati ya WanaUnguja na Wapemba. Nyerere aliwahi kuonya watu wanaochezea Muungano kwamba ukiwabagua Wabara hao Wazanzibari wataanza kujiita Wapemba na Wanaunguja. Muungano ukivunjika leo Wazanzibari walioko Bara watakuwa sawa na Wakenya, Waganda na Wanyarwanda na kadhalika. Watakuwa ni foreigners at a stroke of pen. Mali zao yakiwemo majumba viwanda na kadhalika watapoteza. WaBara nao ambao ni wachache huko Zanzibar watapoteza vhyote walivyo navyo huko Zanzibar.

Nani atapoteza kwa kuvunjika Muungano? Huhitaji kuwa na digrii kujua kuwa Zanzibar ndio watakaopoteza zaidi. Watapoteza mengi lakini kubwa ni amani. Watarudi kwao Zanzibar wakauane vizuri. Zanzibar haitakalika. Uvunjeni Muungano muone kitakachotokea.
 
Ikiwezekana kitokee kimbunga kikali ama TSUNAMI vile visiwa vya zanzibar vipotee/vimezwe na bahari kabisa,siupendi muungano,,,shwaiiin!!!
 
^ akili finyu. Zanzibar hakuna ubaguzi wa dini, wala kabila wala uunguja ja upemba! Hamuijui history ya visiwa vya zanzibar. Historia ya zanzibar ukiisoma ndo utajua jinsi gani unguja na pemba walivo ndugu, na hawatogombana, hizo ni fitna za babaenu Nyenyere, akitaka unguja na pemba watengane na wagombane wasiwe wamoja! Lakini hilo halitatokea!
Mkuu, ZNZ hakuna ubaguzi? Sio baina ya Waunguja na Wapemba, bali hata baina ya Wadonge na Wamakunduchi - hii ni kusema Unguja na Pemba zinabaguana, Wapemba wao kwa wao wanabaguana halkadhalika Waunguja. Hivi si kweli kuwa Pemba/Wapemba hawabaguliwi katika ajira, elimu na nafasi za juu za uongozi? Hivi Wamakunduchi na Kusini kwa jumla wanadhibiti jeshi la polisi wakati Wadonge na Kaskazini kwa jumla wanadhibiti KMKM na JKU? Tena usije na kumbukumbu za sasa za Serikali ya Umoja wa Kitaifa, ambako hata humo kuna ubaguzi na mnalalamika.

Pengine mnaweza kuwalaumu wakolono kuwa ndio waliowalisha kasumba za ubaguzi kwani tangu enzi za ukoloni ZNZ ubaguzi umekuwa ndio dini, ndio imani. Unapozungumzia historia ya ZNZ hapa ndipo uliponiacha hoi. Kuna historia gani ya amani na kukosekana ubaguzi ZNZ? Mfano wa karibuni enzi za "Komandoo", si mlikuwa mnabaguana mpaka kwenye mazishi - CUF hamziki CCM na kinyume chake, CCM hanunui mafuta ya taa kwenye kiduka cha CUF na kinyume chake? Na haya yametokea wakati Nyerere ameshakufa, kwa hivyo msimlaumu Nyerere wala mtu yeyote kwa hili bali walaumuni wale hasa waliopanda mbegu za ubaguzi baina yenu.
 
Mimi naona kama ubaguzi utakuja kwenu tanganyika, mmoja kashasema apo juu, tujiandae kuwapokea wapemba wa tmk. Effect kubwa itaonekana kwa tanganyika, MAKABILA 120 hii ni hatari, kumejaa ubaguzi lakini tumewafundisha ustaarabu kidogo mkaelimika lakini tukiondoka mtabaguana sana na mtapigana. Tanganyika ni obstacle kwa maendeleo ya visiwani hili ni kweli. Kama sasa ivi, kuna ishu ya mafuta, sasa mimi nashangaa kwanini mnang'ang'ania mafuta ya watu? Kwanini mnaizuia znz kujiunga na OIC, watu wake ndo wanaotaka kwanini mnawazuia?

sisi ni wababe wa vita, tuta wachakaza
 
wanawake wa kizanzibar wanajua kujipaka hinna,kukaa vibarazani na kuliwaza waume, wanaume nao wanajua kukaa kwenye migahawa kunywa kahawa tende na halua, akifanya kazi kubwa sana aende sokoni na labda atungue nazi apeleke nyumbani mke ampikie wali wa na,DUBAI KUNA WACHAPA KAZI SI WATUNGUA NAZI

Wewe alikwambia nani Dubai wenyeji ni wachapa kazi? wachapakazi ni MABOI wa kizungu na wahindi na wafanyakazi wa ndani ni wafilipino wamejaa tele, wenyewe ndio hao wanywa kahawa na tende na wake zao ni PAMBO la waume zao! na ndio itakavokuwa Zanzibar muungano ukivunjika,! watajiunga na OIC kama unakumbuka walivojiunga na OIC kimya kimya wabara walikuwa wanaenda Unguja kununua bidhaa na kuja kuuza BAra, sasa hili ndio litakalotokea, pesa za OIC ni kusaidia ndugu zao, na si hilo tu, kama utakumbuka kabla ya Muungano Zanzibar ilikuwa ina TV kila nyumba tena za rangi! bara mpaka alipoingia Muungwana Mwinyi ndio mambo hayo yakaanza! utakapovunjika Muungano, mafuta, OIC na wale wapemba wana ndugu zao kibao Muscut huko na kwengine wataboresha biashara! na mwisho wake kutakuwa kama Dubai, wote mtataka kwenda kule kufanyakazi na hap ndio wenyewe watakula tende na halua na wake zao kuwa pambo na nyie ndio wafanyakazi ! kwanini wenyewe hawataki muungano sisi bara tuushikilie? !
 
wanasubiri nini kujitenga kama wanaweza kuwa kama DUBAI. Nashangaa Tanganyika inawanganganiaga nini wazanzibar ambao hawana tija zaidi ya kuwabeba.
 
Nyie Wazanzibar mnadekezewa sana ndani ya muungano kifuatacho sasa hivi mkivunja muungano tutawakalia kimabavu hatuwezi kuruhusu zanzibar kugeuka kitovu cha magaidi hapana halafu kinachowapa kiburi ni hayo mafuta ya pemba haya tutakunywa tu bila tabu, hamna jeshi hamna nini kelele za nini??

Hebu nipe habari ya ugaidi inayohusisha wazanzibari? Au ndo mlivodanganywa ili mpate kutukalia kimabavu?
 
Wewe alikwambia nani Dubai wenyeji ni wachapa kazi? wachapakazi ni MABOI wa kizungu na wahindi na wafanyakazi wa ndani ni wafilipino wamejaa tele, wenyewe ndio hao wanywa kahawa na tende na wake zao ni PAMBO la waume zao! na ndio itakavokuwa Zanzibar muungano ukivunjika,! watajiunga na OIC kama unakumbuka walivojiunga na OIC kimya kimya wabara walikuwa wanaenda Unguja kununua bidhaa na kuja kuuza BAra, sasa hili ndio litakalotokea, pesa za OIC ni kusaidia ndugu zao, na si hilo tu, kama utakumbuka kabla ya Muungano Zanzibar ilikuwa ina TV kila nyumba tena za rangi! bara mpaka alipoingia Muungwana Mwinyi ndio mambo hayo yakaanza! utakapovunjika Muungano, mafuta, OIC na wale wapemba wana ndugu zao kibao Muscut huko na kwengine wataboresha biashara! na mwisho wake kutakuwa kama Dubai, wote mtataka kwenda kule kufanyakazi na hap ndio wenyewe watakula tende na halua na wake zao kuwa pambo na nyie ndio wafanyakazi ! kwanini wenyewe hawataki muungano sisi bara tuushikilie? !

Waulize hao "GREAT THINKERS" wa kitanganyika
 
Mkuu, ZNZ hakuna ubaguzi? Sio baina ya Waunguja na Wapemba, bali hata baina ya Wadonge na Wamakunduchi - hii ni kusema Unguja na Pemba zinabaguana, Wapemba wao kwa wao wanabaguana halkadhalika Waunguja. Hivi si kweli kuwa Pemba/Wapemba hawabaguliwi katika ajira, elimu na nafasi za juu za uongozi? Hivi Wamakunduchi na Kusini kwa jumla wanadhibiti jeshi la polisi wakati Wadonge na Kaskazini kwa jumla wanadhibiti KMKM na JKU? Tena usije na kumbukumbu za sasa za Serikali ya Umoja wa Kitaifa, ambako hata humo kuna ubaguzi na mnalalamika.

Pengine mnaweza kuwalaumu wakolono kuwa ndio waliowalisha kasumba za ubaguzi kwani tangu enzi za ukoloni ZNZ ubaguzi umekuwa ndio dini, ndio imani. Unapozungumzia historia ya ZNZ hapa ndipo uliponiacha hoi. Kuna historia gani ya amani na kukosekana ubaguzi ZNZ? Mfano wa karibuni enzi za "Komandoo", si mlikuwa mnabaguana mpaka kwenye mazishi - CUF hamziki CCM na kinyume chake, CCM hanunui mafuta ya taa kwenye kiduka cha CUF na kinyume chake? Na haya yametokea wakati Nyerere ameshakufa, kwa hivyo msimlaumu Nyerere wala mtu yeyote kwa hili bali walaumuni wale hasa waliopanda mbegu za ubaguzi baina yenu.

Uliwahi kusikia KMKM wamepigana na jeshi la polisi au wametukanana?
 
Mtoto akililia wembe mpe. Wapo watu Zanzibar wasiotaka Muungano huu, wengi wao ni viongozi na wenye uchu wa madaraka. Wanadhani kuwa Bara inawagandamiza kwa mambo mbalimbali na hasa suala la fedha za misaada kutoka nje. Lakini wapo pia watu kadhaa kjutoka Bara ambao hawataki kabisa kuwepo kwa Muungano huu. Sababu zao ni nyingi lakini kubwa ni hisia zao kuwa Zanzibar inadekezwa mno licha ya kunufaika na Muungano huu. Watu hawa Bara wanashangaa kuona Zanzibar licha ya kutambuliwa kwake kimmungano tofauti na Tanganyika iliyokufa bado waZanzibari wanataka wapewe karibu kila kitu. Ilivyo ni kuwa Wazanzibari wengi na hasa wafanyabiashara wako Bara. Wazanzibari na hasa wapemba wapo Kariakoo, Namanga(Kinondoni), Ilala, Mwananyamala, Kijitonyama, Tanga, Lindi, Mtwara na sehemu kadhaa nchini wakifanya biashara. WaZanzibari wengi pia wako katika maofisi mbalimbali Baraingawa ni kweli pia WaBara nao wako huko Zanzibar.

Wasiofika Zanzibar pengine hawajui kuwa uko Uhasama mkubwa kati ya WanaUnguja na Wapemba. Nyerere aliwahi kuonya watu wanaochezea Muungano kwamba ukiwabagua Wabara hao Wazanzibari wataanza kujiita Wapemba na Wanaunguja. Muungano ukivunjika leo Wazanzibari walioko Bara watakuwa sawa na Wakenya, Waganda na Wanyarwanda na kadhalika. Watakuwa ni foreigners at a stroke of pen. Mali zao yakiwemo majumba viwanda na kadhalika watapoteza. WaBara nao ambao ni wachache huko Zanzibar watapoteza vhyote walivyo navyo huko Zanzibar.

Nani atapoteza kwa kuvunjika Muungano? Huhitaji kuwa na digrii kujua kuwa Zanzibar ndio watakaopoteza zaidi. Watapoteza mengi lakini kubwa ni amani. Watarudi kwao Zanzibar wakauane vizuri. Zanzibar haitakalika. Uvunjeni Muungano muone kitakachotokea.

Kwa wewe nafikiri unahitaji kuwa na degree ndo ufanye assumptions zako, huu sio muungano wa kwanza apa duniani, kuna nchi zimeungana na zikatoka katika muungano na watu wanafanya biashara kama kawaida! Ata scotland saivi wanataka kujinasua na wao
 
Na Bakhresa akirudi Zanzibar, soko la unga litakuwa kwa wazanzibar tu ambao population yao haifiki hata milion nne. Itabidi auze semi-trailer zake zote zinazosambaza unga kwenda Zambia, Congo na Malawi, kwani akirudi Zanzibar itabidi anunue ndege za kusafirisha bidhaa zake kupeleka huko Zambia na Congo kwani kamwe Tanganyika haitaruhusu bidhaa yoyote kutoka Zanzibar kuingia au kupitia ardhi yake

Umesoma shule lakini?
Hebu vutia picha, kuna mfanya biashara yupo zambia anataka kununua bidhaa za bakhresa apeleke zambia, kashanunua, kwaiyo zikifika dar apo ndo zitazuiliwa? :D unanifanya nicheke kweli, basi mtakuwa mmetukali kichuki zaidi, ata mataifa mengine yatawashangaa kwa uzuzu huo!
 
^ akili finyu. Zanzibar hakuna ubaguzi wa dini, wala kabila wala uunguja ja upemba! Hamuijui history ya visiwa vya zanzibar. Historia ya zanzibar ukiisoma ndo utajua jinsi gani unguja na pemba walivo ndugu, na hawatogombana, hizo ni fitna za babaenu Nyenyere, akitaka unguja na pemba watengane na wagombane wasiwe wamoja! Lakini hilo halitatokea!
Mimi naona kama ubaguzi utakuja kwenu tanganyika, mmoja kashasema apo juu, tujiandae kuwapokea wapemba wa tmk. Effect kubwa itaonekana kwa tanganyika, MAKABILA 120 hii ni hatari, kumejaa ubaguzi lakini tumewafundisha ustaarabu kidogo mkaelimika lakini tukiondoka mtabaguana sana na mtapigana. Tanganyika ni obstacle kwa maendeleo ya visiwani hili ni kweli. Kama sasa ivi, kuna ishu ya mafuta, sasa mimi nashangaa kwanini mnang'ang'ania mafuta ya watu? Kwanini mnaizuia znz kujiunga na OIC, watu wake ndo wanaotaka kwanini mnawazuia?

hata wewe kuwaambia wenzio wana akil finyu ni UBAGUZI!
wazenj ni wabaguz bhana,usibishe,riference wewe mwenyewe
 
Wewe alikwambia nani Dubai wenyeji ni wachapa kazi? wachapakazi ni MABOI wa kizungu na wahindi na wafanyakazi wa ndani ni wafilipino wamejaa tele, wenyewe ndio hao wanywa kahawa na tende na wake zao ni PAMBO la waume zao! na ndio itakavokuwa Zanzibar muungano ukivunjika,! watajiunga na OIC kama unakumbuka walivojiunga na OIC kimya kimya wabara walikuwa wanaenda Unguja kununua bidhaa na kuja kuuza BAra, sasa hili ndio litakalotokea, pesa za OIC ni kusaidia ndugu zao, na si hilo tu, kama utakumbuka kabla ya Muungano Zanzibar ilikuwa ina TV kila nyumba tena za rangi! bara mpaka alipoingia Muungwana Mwinyi ndio mambo hayo yakaanza! utakapovunjika Muungano, mafuta, OIC na wale wapemba wana ndugu zao kibao Muscut huko na kwengine wataboresha biashara! na mwisho wake kutakuwa kama Dubai, wote mtataka kwenda kule kufanyakazi na hap ndio wenyewe watakula tende na halua na wake zao kuwa pambo na nyie ndio wafanyakazi ! kwanini wenyewe hawataki muungano sisi bara tuushikilie? !

dah huyu jamaa ana ufinyu wa kufikia basi kwa sasa waarabu wa dubai wanajiendeleza kwa kusoma vyuo vikubwa vya ulaya na marekani na hilo swala la kuwa mtasaidiwa mtakuja shikwa MASABURI mpende kufanya kazi nazi zenyewe zimeshazeeka na hyo mafuta yapo mtwara na lindi..mmebebwa hambebeki mashirika yenu yanadaiwa na tanesco..hadi mlizimiwa umeme..nyie jifanyeni mamwinyi tu
 
Mkomatembo, ingekuwa watu wanatumia akili kama yako katika kufikiri nafikiri hawa wengine wangeliona ilo.

Serikali mbili zinaweza kukaa zikajadili trade agreements between two countries, wazanzibar wanaoishi bara na kufanya biashara wanaweza kuishi hata kama kwa permit, vile vile kuna EAC freemovement! Kwaiyo wale waliosema kuwa wapemba wa TMK sijui kwengine, wataendelea kuishi, na watalindwa na serikali yenu wenyewe ya tanganyika. Huyo bakhresa ata ukivunjika muungano anaweza akaendelea na biashara zake kama kawaida, mana serikali yenu ikimkosa bakhresa ni big loss kwa maendeleo ya taifa lenu! Amewapa ajira nyingi sana, na amewasaidia sana, lakini ndo ivo walevi hawana shukrani!
 
Ikiwezekana kitokee kimbunga kikali ama TSUNAMI vile visiwa vya zanzibar vipotee/vimezwe na bahari kabisa,siupendi muungano,,,shwaiiin!!!

wazo zuri hili,
mwambie KIBAJAJ AKA KUDADADEK APELEKE HOJA MJENG0N
 
Back
Top Bottom