muswada wa kutenganisha biashara na siasa kutinga bungeni kikao kijacho

mopaozi

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
3,301
520
Chama cha CCM kimeiagiza serikali kupeleka bungeni muswada wa sheria ya kutenganisha bizness na siasa akizungumza katika kipindi cha jambo leo tbc1 katibu mwenezi mtetezi wa wanyonge Bw Nape Nnauye amesema kuwa muswada huo uko tayari na utawasilishwa katika kikao kijacho cha bunge.lengo la muswada huo ni kuwaweka mbali wafanya bizzness na siasa ili makabwela waendeshe siasa na uongozi big up sana kwa hili nasubiri kuona wabunge wa buzzness watakavyoreact!!
 
in red,is that a f***ing joke?get serious lady
 
Chama cha CCM kimeiagiza serikali kupeleka bungeni muswada wa sheria ya kutenganisha bizness na siasa akizungumza katika kipindi cha jambo leo tbc1 katibu mwenezi mtetezi wa wanyonge Bw Nape Nnauye amesema kuwa muswada huo uko tayari na utawasilishwa katika kikao kijacho cha bunge.

Baada ya kuwatumia wanasiasa-wafanyabiashara
kama "daraja" kufika kwenye nafasi ya juu ya uongozi naona sasa ana-engineer uvunjaji wa madaraja!
 
hawa ccm nao kwa kauli mbiu hawajambo.
viongozi wa ccm ndio haohao serikalini,yaani walivyo wajinga unapiga pasi ndefu kama kiongozi wa chama halafu unaikimbilia bila mafanikio kama kiongozi wa serikali unashindwa kuifkia unalalamika.

ukiitwa zuzu unalalamika.
 
Ni fikra nzuri lakini inahitaji muda kuiunda. Umepita muda mrefu tangu bizznesss kutumika kulea chama, sasa wasikurupuke kuingia chumba kipya wakati hakuna hewa. Ni wazo zuri sana naliunga mkono kwa asilimia 100 ili fursa ya ushindani sawa wa biashara upatikane na pia viongozi wetu wawajibike kwa asilimia 100 kwenye kutumikia nchi
 
Nape anafaa kupewa nafasi kubwa kwa siku za baadaye anaendelea kupikwa big up chama chetu
 
Back
Top Bottom