Mustafa Sabodo atinga Baraza kuu la CHADEMA na kuahidi makubwa

Kumbe bado Dr Slaa hajapona vizuri? Nimemuona leo nikamuonea huruma sana.Nafikir huu ni muda muafaka kwake kushughulikia afya yake ili aweze kurud kwenye hali yake ya kawaida. Bado ana mchango mkubwa kwa chama chake na CDM ni chama chenye uwezo wa kumsaidia. Tusihangaikie tu pesa za Sabodo na maandamano. Tukumbuke pia afya zetu

Soma vizuri haya maandishi yangu:Utakufa umuache Dr Slaa akichukua uongozi wa Taifa hili.
 
Duh, mimi nimeongea kwa nia nzuri tu! Sidhani kama imani yenu inaruhusu kumwombea mtu kifo zaidi ya kumwombea afya njema.
 
Apate umaarufu uzeeni ili?
Mijitu na vichwa vikubwa mvi na miguu mirefu kaa Twiga inaiba hata pesa za maziwa ya watoto na kujipendekeza madhabahuni katika kila kanisa.
Huyu anatoa fedha kusaidia maendeleo ya siasa na uchumi Tanzania bla aibu unasema anajiendekeza.
Wewe ulitaka afanye nini na hizo pesa zake?
Akugawie wewe na wajomba zako kisirsiri?

mzee anatafuta umaarufu wa uzeeni huyu
 
Kumbe bado Dr Slaa hajapona vizuri? Nimemuona leo nikamuonea huruma sana.Nafikir huu ni muda muafaka kwake kushughulikia afya yake ili aweze kurud kwenye hali yake ya kawaida. Bado ana mchango mkubwa kwa chama chake na CDM ni chama chenye uwezo wa kumsaidia. Tusihangaikie tu pesa za Sabodo na maandamano. Tukumbuke pia afya zetu

mgonjwa ni wewe unaeongea maneno usiyoyajua,tafadhali toa hilo boriti lako Rejao.
 
Ushindwe na ulegee....
.
Mimi binafsi naona wahindi ni adui zetu'sasa hutaki nitoe maoni yangu??mkiona hela mnafikiri ni kila kitu'nina mashaka sana mkija kuchukua nchi msiwe kama ccm'yetu macho
 
Zenu na nani wewe gamba?
 
Kumbe bado Dr Slaa hajapona vizuri? Nimemuona leo nikamuonea huruma sana.Nafikir huu ni muda muafaka kwake kushughulikia afya yake ili aweze kurud kwenye hali yake ya kawaida. Bado ana mchango mkubwa kwa chama chake na CDM ni chama chenye uwezo wa kumsaidia. Tusihangaikie tu pesa za Sabodo na maandamano. Tukumbuke pia afya zetu
unapoteza lengo la mada iliyopo mezani habari za afya ya Dr fungua uzi wako Maandamano ni lazima katika kuhamisha kuzuia uovu wenu
 
Kumbe bado Dr Slaa hajapona vizuri? Nimemuona leo nikamuonea huruma sana.Nafikir huu ni muda muafaka kwake kushughulikia afya yake ili aweze kurud kwenye hali yake ya kawaida. Bado ana mchango mkubwa kwa chama chake na CDM ni chama chenye uwezo wa kumsaidia. Tusihangaikie tu pesa za Sabodo na maandamano. Tukumbuke pia afya zetu
Sikujua kama na wewe unaifeel Chadema kiana,Usione soo,mkulu mwenyewe anaimba peoples power akiwa bafuni ama in absence ya wambea
 
mgonjwa ni wewe unaeongea maneno usiyoyajua,tafadhali toa hilo boriti lako Rejao.

Josephine,
Nimetoa comment kutokana na nilivyomuona. Kuna watu wengi sana wanajiuliza kuhusu hali yake but wanashindwa kuquestion cuz itakuwa ni kama, nashindwa hata kuandika. Kama nimekosea utanisamehe.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom