Mustafa Sabodo atinga Baraza kuu la CHADEMA na kuahidi makubwa

Molemo

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
14,534
13,225
Kada wa CCM Mustafa Sabodo ametinga katika kikao cha Baraza Kuu la CHADEMA na kuahidi kuendelea kukisaidia chama hicho mpaka mwisho. Sabodo ameahidi kusaidia ujenzi wa makao makuu ya chama.

Sabodo amekishukuru CDM kwa heshima kubwa anayopewa ambayo amesema hakuwahi kuipata ndani ya chama chake cha CCM. Sabodo amewapongeza viongozi wakuu wa CHADEMA kwa kazi kubwa wanayofanya kutetea wananchi hususan Katibu Mkuu wa chama hicho Dr Wilbrod Slaa.


Source: Habari Clouds TV
 
wameshapiga hesabu ccm inaondoka wanogopa kufukuzwa'kwa taarifa tu ni kwamba nyuma yake kuna wahindi kibao wameshachanga hela za kutosha tayari kulindwa na chadema'umaskini bana!
 
Kada wa CCM Mustafa Sabodo ametinga katika kikao cha Baraza Kuu la CDM na kuahidi kuendelea kukisaidia chama hicho mpaka mwisho.Sabodo ameahidi kusaidia ujenzi wa makao makuu ya chama.
Sabodo amekishukuru CDM kwa heshima kubwa anayopewa ambayo amesema hakuwahi kuipata ndani ya chama chake cha CCM.Sabodo amewapongeza viongozi wakuu wa CDM kwa kazi kubwa wanayofanya kutetea wananchi hususan Katibu Mkuu wa chama hicho Dr Wilbrod Slaa.

Source:Habari Clouds TV

Haaaa! Haaaaa! Kibelaaaaaaaa, nyavu zangu zimecheuaaaaaaaa!
 
eeee mwenyezi mungu mwingi wa rehema mbariki mzee wetu sabodo maana amekua ni mfano wa kuigwa tofauti na hao mafisadi ambao kila siku mcho na masiko yao yanawaza usinzi wizi ufisadi na ziara za nje bila kujali maisha tunayo ishi amina
 
eeee mwenyezi mungu mwingi wa rehema mbariki mzee wetu sabodo maana amekua ni mfano wa kuigwa tofauti na hao mafisadi ambao kila siku mcho na masiko yao yanawaza usinzi wizi ufisadi na ziara za nje bila kujali maisha tunayo ishi amina

Punguza hasira mkuu.....
 
eeee mwenyezi mungu mwingi wa rehema mbariki mzee wetu sabodo maana amekua ni mfano wa kuigwa tofauti na hao mafisadi ambao kila siku macho na masikio yao yanawaza usinzi wizi ufisadi na ziara za nje bila kujali maisha tunayo ishi amina
 
mimi sipendi wahindi kwa sababu ya ubinafsi na wizi wa mali zetu'endeleeni kuwaombeya sana bila kufikiri'tukishakomboa nchi kuna wahindi lazima wachinjwe
 
Kumbe bado Dr Slaa hajapona vizuri? Nimemuona leo nikamuonea huruma sana.Nafikir huu ni muda muafaka kwake kushughulikia afya yake ili aweze kurud kwenye hali yake ya kawaida. Bado ana mchango mkubwa kwa chama chake na CDM ni chama chenye uwezo wa kumsaidia. Tusihangaikie tu pesa za Sabodo na maandamano. Tukumbuke pia afya zetu
 
Back
Top Bottom