Mustafa Sabodo atinga Baraza kuu la CHADEMA na kuahidi makubwa

mimi si muumini wa magamba, natoa angalizo. Wasi wasi wangu ni namna ambavyo matajiri na mabepari wanaweza kujaribu kuitumia hii nafasi walionayo chadema, kwani wanaona dalili za chadema kukamata dola, hivyo watajaribu kujiwekea mazingira mazuri ya kuikamata serikali.

Kiukweli kila mtu nchi hii anajua mageuzi ya kisiasa yanayotokea nchi hii kwa sasa hivi. Wanyabiashara duniani kote hujaribu kujiweka karibu zaidi na serikali na chama chake ili kupata nafuu fulani fulani, fuatilia uingereza kwa cameroon, kwa mfano tu. Mabepari ni wajanja sana, huja katika sura nzuri sana

kama ungetaka kutoa angalizo usinge mtaja mtu but hilo lako ni angalizo la kinafki....heri sabodo anatoa kwa hiari na nyie mnavo waibia wananchi...
 
0000001asabodo.jpg

Hakuna ubishi kuwa ndoa ya anayeitwa mfanyabiashara maarufu kwa jina la Mustafa Sabodo pichani imeshika kasi. Kwa wanaojua jamaa zetu hawa walivyoletwa na kuchuma, anahofia usafi wa huyu jamaa anayesifika kutumia jina la marehem Mwalimu Julius Nyerere kujinufaisha. Anajiita mpenzi wa Mwalimu ambaye wakati wa uhai wake hata hivyo hatukuwahi kumsikia. Je hii ni janja ya wahindi kuanza kutafuta pa kushika baada ya kuona CCM ikiyoyoma?

Je kama wameitosa CCM iliyowalea na kuwakumbatia hadi wengine kuzawadiwa ubunge, CHADEMA ni nani wasiifanyie hivyo? Je nao falsafa yao ni ya 'Sina adui au rafiki wa kudumu bali maslahi'? Mwanzoni Sabodo aliahidi kuwapa CHADEMA jengo lake la Mwenge. Ghafla amepiga U-turn na kusema eti atawajengea ofisi.

Tusije tukaruka mkojo tukaishia kukalia manonihino. Kusema ndoa ya Sabodo na CHADEMA inabindi iangaliwe isijekuwa mtego wa CCM kumtuma kada wake kuwachafua. Kama Sabodo anaipenda CHADEMA anangoja nini CCM? Kimsingi anataka kuweka vyama vyote mfukoni mwake.

Sabodo alikaririwa akisema, “Kwa kweli nimefurahi sana kunialika kwenye mkutano wenu, nimeshawahi kuisaidia CCM, lakini hawajawahi kunishukuru kama mlivyofanya ninyi.”

Je hii ni sababu yenye mashiko kumfanya aipende CHADEMA hivyo au anaandaa pa kushika baada ya CCM kujiishia?

mimi Sijashawishika kuona tatizo hapa. Hivi kuwa CCM au Chadema kunatokana na maneno au matendo? Matendo ya Sabado na maneno yake kipi kiko CCM na Kipi kiko Chadema, ni swali la ufahamu tu.
 
0000001asabodo.jpg

Hakuna ubishi kuwa ndoa ya anayeitwa mfanyabiashara maarufu kwa jina la Mustafa Sabodo pichani imeshika kasi. Kwa wanaojua jamaa zetu hawa walivyoletwa na kuchuma, anahofia usafi wa huyu jamaa anayesifika kutumia jina la marehem Mwalimu Julius Nyerere kujinufaisha. Anajiita mpenzi wa Mwalimu ambaye wakati wa uhai wake hata hivyo hatukuwahi kumsikia. Je hii ni janja ya wahindi kuanza kutafuta pa kushika baada ya kuona CCM ikiyoyoma?

Je kama wameitosa CCM iliyowalea na kuwakumbatia hadi wengine kuzawadiwa ubunge, CHADEMA ni nani wasiifanyie hivyo? Je nao falsafa yao ni ya 'Sina adui au rafiki wa kudumu bali maslahi'? Mwanzoni Sabodo aliahidi kuwapa CHADEMA jengo lake la Mwenge. Ghafla amepiga U-turn na kusema eti atawajengea ofisi.

Tusije tukaruka mkojo tukaishia kukalia manonihino. Kusema ndoa ya Sabodo na CHADEMA inabindi iangaliwe isijekuwa mtego wa CCM kumtuma kada wake kuwachafua. Kama Sabodo anaipenda CHADEMA anangoja nini CCM? Kimsingi anataka kuweka vyama vyote mfukoni mwake.

Sabodo alikaririwa akisema, “Kwa kweli nimefurahi sana kunialika kwenye mkutano wenu, nimeshawahi kuisaidia CCM, lakini hawajawahi kunishukuru kama mlivyofanya ninyi.”

Je hii ni sababu yenye mashiko kumfanya aipende CHADEMA hivyo au anaandaa pa kushika baada ya CCM kujiishia?

Kipi wewe hapa kinakupa wasiwasi?Alivyokuwa akiisaidia ccm mbona hukustuka?Kwani huwezi kuishi bila kuitaja/kuiandika/kuisemea vibaya Chadema?Leo umeshindia maharage?Fikra zako ndio zimekufanya uandike hivi au pana mtu/watu nyuma yako wanakusukuma?
 
Kada wa CCM Mustafa Sabodo ametinga katika kikao cha Baraza Kuu la CHADEMA na kuahidi kuendelea kukisaidia chama hicho mpaka mwisho. Sabodo ameahidi kusaidia ujenzi wa makao makuu ya chama.

Sabodo amekishukuru CDM kwa heshima kubwa anayopewa ambayo amesema hakuwahi kuipata ndani ya chama chake cha CCM. Sabodo amewapongeza viongozi wakuu wa CHADEMA kwa kazi kubwa wanayofanya kutetea wananchi hususan Katibu Mkuu wa chama hicho Dr Wilbrod Slaa.

Source: Habari Clouds TV

Maskini Jembe langu Molemo wamekupiga BAN ya maisha....
 
wameshapiga hesabu ccm inaondoka wanogopa kufukuzwa'kwa taarifa tu ni kwamba nyuma yake kuna wahindi kibao wameshachanga hela za kutosha tayari kulindwa na chadema'umaskini bana!

Hakika ccm ipo ukingoni, huyu ndio kiona mbali wao duuuuuuu! Wenzenu CDM wakipewa wanatangaza, mbona ccm hawatangazi?
 
wameshapiga hesabu ccm inaondoka wanogopa kufukuzwa'kwa taarifa tu ni kwamba nyuma yake kuna wahindi kibao wameshachanga hela za kutosha tayari kulindwa na chadema'umaskini bana!

Kwa wengi wameanza kumsikia Mh. Sabodo juzi juzi tu. Huyu Mh. ni maarufu toka zamani enzi za Mwl. Nyerere. Mh. Sabodo alikuwa anamheshimu saana Mwl. Nyerere.; halikadharika, mwl.alimheshimu Mh.Sabodo.

Hapo awali hakupenda kujitokeza kwenye vyombo vya habari. Ni mara chache sana alijitokeza kwenye makala mbali mbali alizozitoa yeye(Mh. Sabodo) akizungumzia ama siasa ama jamii ama kwa uchache jamii.

Aidha, kumtuhumu Mh. Sabodo kwamba anatumiwa na wahindi wengine kujikomba kwa CDM ni kupotosha ukweli. Ikumbukwe kwamba michango ya Mh. Sabodo kwa CDM anaifanya kweupe na peupe. Je, ccm imekuwa ikiwachangisha wahindi mamilioni na mabilioni kila mwaka wa uchaguzi, tena kwa vitisho mno; ikiwa ni pamoja na kufirisiwa kupitia kodi feki toka TRA?

Inawezekana, wahindi nao wamechoka kunyanyanyaswa na kukifanyia kazi ccm ambacho kimejaa mafisadi kila kona na kila ngazi toka chini kwa wajumbe wa mashina ya nyumna kumi hadi kwa mkuu wao sana.

HONGERA MH. SABODO, MUNGU WA YAKOBO AKUPE MAISHA ZAIDI NA AFYA TELE-AMINA!
 
0000001asabodo.jpg

Hakuna ubishi kuwa ndoa ya anayeitwa mfanyabiashara maarufu kwa jina la Mustafa Sabodo pichani imeshika kasi. Kwa wanaojua jamaa zetu hawa walivyoletwa na kuchuma, anahofia usafi wa huyu jamaa anayesifika kutumia jina la marehem Mwalimu Julius Nyerere kujinufaisha. Anajiita mpenzi wa Mwalimu ambaye wakati wa uhai wake hata hivyo hatukuwahi kumsikia. Je hii ni janja ya wahindi kuanza kutafuta pa kushika baada ya kuona CCM ikiyoyoma?

Je kama wameitosa CCM iliyowalea na kuwakumbatia hadi wengine kuzawadiwa ubunge, CHADEMA ni nani wasiifanyie hivyo? Je nao falsafa yao ni ya 'Sina adui au rafiki wa kudumu bali maslahi'? Mwanzoni Sabodo aliahidi kuwapa CHADEMA jengo lake la Mwenge. Ghafla amepiga U-turn na kusema eti atawajengea ofisi.

Tusije tukaruka mkojo tukaishia kukalia manonihino. Kusema ndoa ya Sabodo na CHADEMA inabindi iangaliwe isijekuwa mtego wa CCM kumtuma kada wake kuwachafua. Kama Sabodo anaipenda CHADEMA anangoja nini CCM? Kimsingi anataka kuweka vyama vyote mfukoni mwake.

Sabodo alikaririwa akisema, “Kwa kweli nimefurahi sana kunialika kwenye mkutano wenu, nimeshawahi kuisaidia CCM, lakini hawajawahi kunishukuru kama mlivyofanya ninyi.”

Je hii ni sababu yenye mashiko kumfanya aipende CHADEMA hivyo au anaandaa pa kushika baada ya CCM kujiishia?

ujinga ni janga ..... ujinga unaharibu mazingira
 
Back
Top Bottom