mustafa hassanali...

Alifanya Gastric bypass ni risk surgery, hii ni kwa wale obese kama wewe haujafika kwenye obese category inabidi upunguze mlo na mazoezi kwa wingi utafika. Pia inabidi ufanye another plastic surgery to remove the loose skin.

Hiyo operation ndio iliyomuua mamake Kanye West.
 
starlisha kuishi kote huko marekani na huyo mmarekani unaetamba kashindwa kukupeleka kwa Dr 90210 he is the best,acha za hassanali ni mateso,
 
Nenda kwenye website yake kuna contact zake utaongea nae moja kwa moja hope utapata msaada

[h=3]Mustafa Hassanali[/h]
105 Kilimani Road,
P.O.Box 10684,
Dar es Salaam, TanzaniaPhone: +255 784303880
Email: info@mustafahassanali.net
 
Surgery yemyewe naskia very expensive. Kwa yeye alisema aliimudu kwa kulipiwa na mumewe kwa kuwa mumewe huyo hapendi kumwona akiwa bwanyenye
 
Back
Top Bottom