ThinkPad
JF-Expert Member
- Apr 11, 2008
- 1,844
- 232
ThinkPad,
hakika mchukia jua basi limemchwea. sasa vipi na wewe, wameku......... sema kweli.
kama Uislamu ni dini ya waarabu , Vipi Ukristu ni dini ya nani?
Nyinyi mnapenda ligi sana kwani ukweli mnauficha na moyoni mnajua sana kuwa, Kwa asili yetu sisi Babu zetu zama na zama walikuwa hawana dini za kigeni leo hii inakuja dini ya waarabu inatenganisha watanzania kama hauamini bakia hivyo hivyo.