Chuo kikuu cha Waislam kilichoko Morogoro kimetangaza kozi mbali mbali kwa mwaka 2009-2010 kama Kozi za Sheria-Law,Business Administration,Education,Mass Communication n.k.
website ya chuo ni WWW.mum.ac,tz
website ya chuo ni WWW.mum.ac,tz
... .....kama Huu ndio mtazamo wako basi Tuna Kazi kuyafikia maendeleo Halisi ya Mtanzania....!!!hahahaha, hivi hiki nacho ni chuo? hahaha, nadhani kinashika mkiani. bahati mbaya, watakao ingia ni wachache na ni wa dini moja. watakaofundisha pia ni wa dini moja kwasabbu jina tu linaogopesha. naombe pigeni kampeni misikitini ili watu waende kwasababu kitakuwa empty bila wanafunzi au kitafilisika. mtashindwa kukiendesha, na msivyotoaga na sadaka au kuchangia hivyo. duh.
hahahaha, hivi hiki nacho ni chuo? hahaha, nadhani kinashika mkiani. bahati mbaya, watakao ingia ni wachache na ni wa dini moja. watakaofundisha pia ni wa dini moja kwasabbu jina tu linaogopesha. naombe pigeni kampeni misikitini ili watu waende kwasababu kitakuwa empty bila wanafunzi au kitafilisika. mtashindwa kukiendesha, na msivyotoaga na sadaka au kuchangia hivyo. duh.
mara ya mwisho kimeshika nafasi ya ngapi kitaifa?nataka kujiunga, maana hawa nao kwa madrasa badala ya madarasa........
Hii ipelekwe kwenye jukwaa la kidini,
Mbona hawa jamaa wanapenda sana mambo ya kidini? why je hicho chuo kinapokea waislam tu?
Ifikie wakati muondokana na tabia za kibaguzi za waraabu kkumbukeni Uislam ni dini ya waarabu isitutenganishe sisi watanzania kama ni vyuo kwanini wasiite jina lolote kama vile taqwa sheikh fulani, nk mpaka wakiite cha kiislam so Nadhani hapo watakuwa wanafundisha deen tu! Naukienda mtu mwengine utajiskia vibaya ambaye haupendi mambo ya kidini, kwanza nadhani dada zetu watalazimishwa wavae mahijabu wakati hilo ni vazi la jangwani, any way let see.

Mheshimiwa Bwana Thinkpad
Kwanza, Kilimanjaro Christian Medical Center (KCMC) nayo ina ina neno Christian, je nalo ni kosa au ni kosa kuwa na Muslim University tu.
Pili, wewe unaongelea udini wakati mwenyewe unayafanya yale yale ya kuona dini moja ni duni, inashangaza.
Nawao pia hao KCMC niwanafiki kwanini waweke jina ambalo litawaogopesha waislam kwenda kutibiwa,
Haifai kufanya hivyo katika vyombo vya public kama shule,maospital ila kama madrasa sawa , kama kanisa sawa.
hii kitu ni mbaya mno inaleta tofauti fulani.
hiyo ndo tofauti iliyopo, nenda kcmc ukute waliolazwa pale ndo useme ni kwa christians au watu wote, tofauti na hiyo varsity ipo purely km kile chuo cha zanzibar!! bado wenzetu muslims hamjawa na ile hali ya kuweza kutumia kitu chenu pamoja na wa dini zingine,bila kuweka udini ulio wazi na dhahiri, mimi kama vyuo vyote nchini vikifungwa kikabaki hicho mlichohongwa na Nkapa cha walipakodi,basi mi ntaenda kwingine au bora kukosa elimi ya juu kumbe ni ya juu kwa kwenda chini!!
je hicho chuo kinapokea waislam tu?
Hivi bongo kuna chuo namba moja!! hahahaha. Wanazuoni wenyewe waliotoka hizo shule "bora" ni Mafisadi!! duh bongo.