Mushkeli wa matarajio ya wanandoa.............

Code:
Apart from issue ya dini... Personally naona sometimes it better kabla hamjaoana 
atleast kue na trial an error period kuona katika hio sector mko compactable... 
mana haya mambo waweza kua hufai kwa mwingine whereas kwa mwingine wewe ndo wewe...

come and stay is a good thing ila wakinadada wengi hawajiamini na hufikiri ya kuwa baada ya njemba kumjua undani wake itakuwa imetoka lakini afadhali iwe imetoka sasa kulikoni baada ya miaka kebe wa kebe................

Apart from kuwekewa unnecessary "Mileage" , the other issue that I see with "come and stay", is that it does set unrealistic expectations for what the couples married life is about sometimes. i.e. "all fun and good times", and then when the real deal comes, inakuwa kasheshe. "Ohh you changed", " how come you dont help with the chores no more?" and so forth!
 
Nimekuwa nikiangalia sherehe za ndoa za majirani zetu wa Kenya kwenye luninga ya CITIZEN nikabaini yakuwa wengi wao huwa wanapasha viporo na huwa vinanoga sana kwa sababu zimwi likujualo halikuli likakumaliza..........................................kwetu kasumba za "amewekwa kimada" bado zinatusumbua sana......................................

Ni vyema ukalijua gari utakalolipanda badala ya kusubiri likakudondosha au kukuzimikia njiani.........ingawaje there is no formula for success.............as..................it takes two to rumble or compromise................
 
Code:
Ruta tusiende kabisa huko... Tukimuingiza mola katika mambo ya 
kuzini ni kumuonea... naamini kabisa kua alisema watu wasifanye mapenzi
kama hawajaoana ili kuepusha kupata ladha na size  tofauti hibyo kila
mmoja kuridhika na mwenzi wake akiamini woote wako hivyo!

Dini zatofautiana..........nifahamuvyo mimi kuzini ni kutembea na mke wa mtu..........................fullstop........... mengineyo ni kupunguza adha za kiulimwengu kama vile ukiwa na wengi watakupelekesha puta .....................................
 
mie jamani na umapepe wangu am against ya mtu kuwekwa kimada na mtu,uzoefu unaonyesha wengi wanaoishi hivi huwa hawaoni umuhimu wa kufunga ndoa,hasa mwanaume.......
hilo la tendo la ndoa nitakuonjesha tu hahahahahaha ila usijenge mazoea kuwa ukitaka tu nitakupa,mwisho utanichoka halafu usinioe bure lol:mod::biggrin1::biggrin1:
 
Code:
[B] [/B]

   [INDENT]  mie jamani na umapepe wangu am against ya mtu kuwekwa kimada na  mtu,uzoefu unaonyesha wengi wanaoishi hivi huwa hawaoni umuhimu wa  kufunga ndoa,hasa mwanaume.......
hilo la tendo la ndoa nitakuonjesha tu hahahahahaha ila usijenge mazoea  kuwa ukitaka tu nitakupa,mwisho utanichoka halafu usinioe bure lol:mod::biggrin1::biggrin1:[/INDENT]

Kama ni wa kukuacha hata akikuoa bado ataingia mitini tu......kwa hiyo usihofu hilo na wakati mwingine it is for the better.................it could be a blessing in disguise.......................
 
Code:
[INDENT]mie jamani na umapepe wangu am against ya mtu kuwekwa kimada na mtu,uzoefu unaonyesha wengi wanaoishi hivi huwa hawaoni umuhimu wa kufunga ndoa,hasa mwanaume.......
hilo la tendo la ndoa nitakuonjesha tu hahahahahaha ila usijenge mazoea kuwa ukitaka tu nitakupa,mwisho utanichoka halafu usinioe bure lol:mod::biggrin1::biggrin1:
[/INDENT]

Kama ni wa kukuacha hata akikuoa bado ataingia mitini tu......kwa hiyo usihofu hilo na wakati mwingine it is for the better.................it could be a blessing in disguise.......................

Ruta ishu hapa sio kuachwa tu,ishu ni kuwa umeachwa wakati gani........ukiachwa bado msichana una chance ya kumove on na kupata mwingine....ila ukikaa na mtu kimada muda mrefu,labda mkabahatika kupata na katoto akikuacha chance ya wewe kumove on inakuwa ngumu kidogo.....the more you stay with a man,the less chance of finding someone kama ikitokea akaingia mitini.......
 
Hata ukiwa ndani ya ndoa akiteleza ni sawasawa tu kama ni come and stay.............................hujui hawara naye ni mke? Yakubu uzao wa Israel alimlaani mtoto wake wa kwanza kwa kumwibia hawara yake.....................................................
 
penzi halina umri hata miaka mia bado waweza kumpata mwenzio na akakupa penzi kulikoni ulilolipata ujana.................
 
Back
Top Bottom