Musa husein naye amechukuliwa na clouds tv

Eversmilin Gal

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
778
269
jamani ni noma na Musa hussein wa Ea wamemchukua anatarajia kuanza kurusha kipindi kipya clouds tv

Source:amplifier by millard ayo
 
jamaa namkubali ni bonge la creator ila tatizo ni hiyo tv kubatizwa clouds
 
dah ile kichwa imeenda kule nayo...
tatizo radio ina *******watupu
 
Hata miye lile jembe nalikubali bhaaya!! .......
MP.
 
Back
Top Bottom