Muongozo: Vitu vya kuzingatia unapotaka kununua kompyuta

Mimi nauliza the best PC moniters kati ya hizi, Dell, Toshiba, HP, BenQ.
 
Ritz

Haijakawa sawa sitaki kuamini ulikuwa unamanisha KIOO/SCREEN?

kama ulikuwa unamanisha mashine yenyewe/Processor then DELL ndio mpango mzima.
 
Last edited by a moderator:
daa nimekupata, je,inawezekana kutoa RAM kutka ktk destop cpter mja ya compaque na kuwka kwnye nyngne ya aina hyohyo.?
 
inategemea kama ni ddr1, ddr2 au ddr3 kama huko unakotaka kuihamishia panafanana basi haina shida, unaweza kuhamisha ram kwenda desktop yoyote ilimradi vigezo na masharti yazingatiwe
 
daa nimekupata, je,inawezekana kutoa RAM kutka ktk destop cpter mja ya compaque na kuwka kwnye nyngne ya aina hyohyo.?
RAM unaweza kutumia kwenye desktop ya aina yoyoyte ili mradi ziwe zinaingiliana.
Kuna DDR1 DDR2 na DDR3 ila zama hizi zinatumika sana DDR3 au DDR2 hivyo kama una mashine mbili zote ni DDR2 au DDR3 zinaingiliana kaka bila kujari kabila iwe dell kwa copaq toshiba, Fujitsu etc
 
salute kakak kazi njema Mungu akubariki sana uwe na Amani na Upendo maishani mwako.
 
RAM unaweza kutumia kwenye desktop ya aina yoyoyte ili mradi ziwe zinaingiliana.
Kuna DDR1 DDR2 na DDR3 ila zama hizi zinatumika sana DDR3 au DDR2 hivyo kama una mashine mbili zote ni DDR2 au DDR3 zinaingiliana kaka bila kujari kabila iwe dell kwa copaq toshiba, Fujitsu etc
kaka ur avatar makes me to lmao me.:smile-big:
 
Back
Top Bottom