Christinaa
Member
- Jul 16, 2016
- 26
- 74
- Thread starter
- #21
AmenKila la heri mkuu, Mungu aguse haja la moyo wako,
AmenKila la heri mkuu, Mungu aguse haja la moyo wako,
Weka na picha mama...hayo mambo ya kuja pm bila kuona picha unajikuta umemtongoza shangazi yako bure
Weka na picha mama...hayo mambo ya kuja pm bila kuona picha unajikuta umemtongoza shangazi yako bure
Habari za jioni ladies and gentlemen poleni na mihangaiko ya siku nzima.
Kuna dada leo ameleta mrejesho na amenitia moyo aliposema tangu 2013 alikua akitafuta ila amekuja kufanikiwa mwaka huu hii imenitia moyo sana na kuona kumbe inawezekana.
Last year nilikuja na uzi wa kutafuta mwenza ila sikuweza fanikiwa na sina wa kumlaumu katika hili
Umri wangu kwasasa ni 28
Ni mkristo
Hitaji langu ni kumpata mwenza alie smart in and out
Sichagui rangi, urefu sijui ufupi ila uwe tu smart sababu naamini mume ni zaidi ya physical appearance
Umri usiwe chini ya 30
Na ni vizuri ukiwa ni mkristo
Mambo mengine ya msingi tutafahamishana pm
Karibuni!
Hahahaa jamani worry out ipo siku na wewe utachangamkiwa..... Mungu ni mwema naamini ataniongoza ktk uchaguzidada umechangamkiwa hadi basi..sie wengine tukiweka tunaambulia mitusi na kejeli.
hongera sana utapata mume na utarud na ushuhuda..
IKIWA UTATUMIA AKILI KATIKA KUMCHAGUA ANAEKUFAA
AsanteKila lakheri mpendwa, vumilia tu muda ukifika yatatimia yale yote ya haja ya moyo wako.
Thank you!All the best!
Asante kwa maneno yako mazuri na ya kutia moyo.... Be blessed!Kila aombae hupewa, amini umekwishapokea!!!
Mume bora mtu hupewa na Mungu, naamini Mungu atakupa aliye wako pekee na ukimpata Usichoke kumuombea na kumlinda kwa maombi kila iitwapo leo.. Kila lenye kheri mdada
dada umechangamkiwa hadi basi..sie wengine tukiweka tunaambulia mitusi na kejeli.
hongera sana utapata mume na utarud na ushuhuda..
IKIWA UTATUMIA AKILI KATIKA KUMCHAGUA ANAEKUFAA
'Your soul mate is quite far away. You are almost there' These are two contradicting statements.I guess your soul mate is quite far away don't ask why? Your almost there just be strong
ndioKwan naww unatafuta?!
Mwambie aweke originakWeka na picha mama...hayo mambo ya kuja pm bila kuona picha unajikuta umemtongoza shangazi yako bure
Hahahaha hahahaha duuhdada umechangamkiwa hadi basi..sie wengine tukiweka tunaambulia mitusi na kejeli.
hongera sana utapata mume na utarud na ushuhuda..
IKIWA UTATUMIA AKILI KATIKA KUMCHAGUA ANAEKUFAA
Si umezaliwa mwaka 1970. Sasa mwaka huo na miaka 28 wapi na wapi? Au nimeangalia vibaya kwenye profile yako.Habari za jioni ladies and gentlemen poleni na mihangaiko ya siku nzima.