Mungu anaratibu anguko la CCM. Hakutakuwa na ombwe la uongozi

Msanii

Platinum Member
Jul 4, 2007
22,606
29,755
Umofia kwenu nyote,

Nimefuatilia kwa jicho la uchambuzi nimengundua Kuna kani (nguvu) isiyo ya kawaida inatendakazi kwa namna ya ajabu sana.

Niliwahi kuandika kuwa Mungu ameondoa kauli kwenye midomo ya watawala kuanzia juu hadi ngazi za chini.

Mungu amesikia kilio chq Watanzania. Mungu ameshuka kuona madhila.ya waja wake na hakika anashusha ghadhabu yake kwa chama kinachojimilikisha nchi kwa usadidizi wa kuzimu. Nani asiyefahamu kwamba teuzi za CCM kwa asilimia kubwa zinahusisha nguvu za giza?

Mwenge wa uhuru ni cover tu, bali ni ziara ya kumuadhimisha shetani kwa sababu historia ya mwenge huo imetokana na kikao cha wachawi wanaptumia nguvu za giza.

Chama cha Mapinduzi (CCM) kinaamini kuwa mrundikano wa wanajeshi wetu lwenye nafasi za juu za chama na nafasi mbalimbali za maamuzi ni kinga inayoweza kukiokoa na gharika yeyote ile. Katika kujisshau huko kimekuwa kikiwaaminisha Watanzania kuwa tatizo la kiuongozi, uadilifu na utawala siyo la chama bali ni viongozi binafsi. Hivyo cover ya kubadilisha uongozi ndani ya chama na serikali ni mkakati makini wa Deep State kuhakikisha thinktank ya nchi irubunike na kushiriki karamu ya uporaji wa haki na rasilimali za nchi kwa faida ya wachache waliomo ndani zaidi ya chama.

Pamoja na kuondoa kauli thabiti na za hekima zenye kuonesha uongozi na mamlaka kwenye vinywa vya viongozi wetu, Mungu ameondoa imani ama uaminifu baina ya wamiliki wa chama.

Kiutani utani, chama kinasimamia kampeni ya kuchafuana wenyewe kwa wenyewe. Mkakati huu ulianzia nyakati za awamu ya tatu kuelekea ya nne na awamu zinazofuatia hali inakuwa mbaya zaidi. Makada wanachafuana kwa kutengenezeana kashfa na taarifa za kuudanganya umma. Mfano mzuri tulianza kumnyang'anya uraia Jenerali Ulimwengu, na wengine walioonesha kukosoa uongozi wa juu. Ingawa dhambi ya kumfix aliyekuwa Katibu wake Mkuu Horace Kolimba inaendelea kuitafuna.

Eneo la kuchafuana sasa limekuwa rasmi na timu zinaundwa na kupewa baraka zote na wakuu wa chama kwa minajoli ya kuwafitini wanachama wanaoonekana tishio ndani ya chama. Makundi haya yamepewa majina kadha wa kadha kukingana na nyakati. Tulianza Mtandao, wakaja MATAGA, sasa tunao CHAWA. Haya yote ni mfano wa makundi yanayotumika kushughulikia wanachama wenzao wanaoonekana tishio kwa wanakula nchi kimya kimya.

Wakuu, inawezekana ni jambo dogo mbele ya macho ya watu lakini hii karma ya kujimaliza ya CCM inaenda kukiua chama kabisa. Inawezekana kufikia 2030 tukawa na mfumo mpya na mzuri wa maongozi ya nchi yetu.

Watu kama Lucas mwashambwa , ChoiceVariable , CM 1774858 na wenzao wanaofanya spin mitandaoni ni sehemu ya anguko taradadi. Ikumbukwe Musiba ni alama ya matumizi mabaya ya madaraka ya juu kwa sababu alitoa vitisho na tuhuma nzito nzito tena zenye viashiria vya uhaini lakini hakukemewa kwa sababu alijitapa kuwa anamtetea mkuu wa mhimili.

Kimsingi hakuna anayeweza kuzuia ghadhabu ya Mungu zaidi ya toba ya kweli na ya kumaanisha. Lakini CCM hii inayoamini nguvu za giza haina pa kuponea.

watanzania wenye mapenzi mema na Nchi wasikate tamaa, CCM inaenda kuporomoka kama jiwe ndani ya maji katika nyakati hizi kwa sababu them sucking the blood of the sufferer.

Pascal Mayalla raraa reree Burapaa Erythrocyte Extrovert Mshana Jr Paw Retired kigogo hood Da vincci Bujibuji Simba Nyamaume figganigga
So to say
 
Tumebaki kujipa moyo tu, tusipojipanga wenyewe kwa vitendo kuwaondoa hao wakandamizaji, tusimsubiri Mungu aingilie kati kwenye kila jaribu letu kama vile sisi ni walemavu tusiojiweza kwa lolote.
ChoiceVariable amesikika akijitamba kuwa CCM haipndolewi kwa porojo za mitabdaoni.

Waliouawa kwa sababu za kisiasa idadi yao inatosha kuamsha uchunguzi wa mauaji ya kimbari yafanywayo na CCM

Waliobambikiziwa kesi nzito ili kuwanyamazisha ni wengi huko magerezani wamefungwa.

Misingi ya Tanzania imejengwa kwenye Hofu na Ukatili mzito ndo maana hata hapa inabidi tutumie pen names kuweza kuiona kesho.

Mkuu. Kama sisi tutanyamaza, mawe yatasema
 
Umofia kwenu nyote
Nimefuatilia kwa jicho la uchambuzi nimengundua Kuna kani (nguvu) isiyo ya kawaida inatendakazi kwa namna ya ajabu sana...
Mkuu Msanii , asante sana kuni tag, kama Mungu amepanga CCM iondoke, hatua ya kwanza ni Mungu ataandaa kwanza mbadala wa CCM ndipo CCM iondoshwe!. Kwa mpaka hapa tulipo, bado sijaona mbadala wowote wa CCM, hivyo utasubiri sana!.

Mimi projections zangu ni kuanzia 2030 Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika!
P
 
Umofia kwenu nyote
Nimefuatilia kwa jicho la uchambuzi nimengundua Kuna kani (nguvu) isiyo ya kawaida inatendakazi kwa namna ya ajabu sana.

Niliwahi kuandika kuwa Mungu ameondoa kauli kwenye midomo ya watawala kuanzia juu hadi ngazi za chini.

Mungu amesikia kilio chq Watanzania. Mungu ameshuka kuona madhila.ya waja wake na hakika anashusha ghadhabu yake kwa chama kinachojimilikisha nchi kwa usadidizi wa kuzimu. Nani asiyefahamu kwamba teuzi za CCM kwa asilimia kubwa zinahusisha nguvu za giza?

Mwenge wa uhuru ni cover tu, bali ni ziara ya kumuadhimisha shetani kwa sababu historia ya mwenge huo imetokana na kikao cha wachawi wanaptumia nguvu za giza.

Chama cha Mapinduzi (CCM) kinaamini kuwa mrundikano wa wanajeshi wetu lwenye nafasi za juu za chama na nafasi mbalimbali za maamuzi ni kinga inayoweza kukiokoa na gharika yeyote ile. Katika kujisshau huko kimekuwa kikiwaaminisha Watanzania kuwa tatizo la kiuongozi, uadilifu na utawala siyo la chama bali ni viongozi binafsi. Hivyo cover ya kubadilisha uongozi ndani ya chama na serikali ni mkakati makini wa Deep State kuhakikisha thinktank ya nchi irubunike na kushiriki karamu ya uporaji wa haki na rasilimali za nchi kwa faida ya wachache waliomo ndani zaidi ya chama.

Pamoja na kuondoa kauli thabiti na za hekima zenye kuonesha uongozi na mamlaka kwenye vinywa vya viongozi wetu, Mungu ameondoa imani ama uaminifu baina ya wamiliki wa chama.

Kiutani utani, chama kinasimamia kampeni ya kuchafuana wenyewe kwa wenyewe. Mkakati huu ulianzia nyakati za awamu ya tatu kuelekea ya nne na awamu zinazofuatia hali inakuwa mbaya zaidi. Makada wanachafuana kwa kutengenezeana kashfa na taarifa za kuudanganya umma. Mfano mzuri tulianza kumnyang'anya uraia Jenerali Ulimwengu, na wengine walioonesha kukosoa uongozi wa juu. Ingawa dhambi ya kumfix aliyekuwa Katibu wake Mkuu Horace Kolimba inaendelea kuitafuna.

Eneo la kuchafuana sasa limekuwa rasmi na timu zinaundwa na kupewa baraka zote na wakuu wa chama kwa minajoli ya kuwafitini wanachama wanaoonekana tishio ndani ya chama. Makundi haya yamepewa majina kadha wa kadha kukingana na nyakati. Tulianza Mtandao, wakaja MATAGA, sasa tunao CHAWA. Haya yote ni mfano wa makundi yanayotumika kushughulikia wanachama wenzao wanaoonekana tishio kwa wanakula nchi kimya kimya.

Wakuu, inawezekana ni jambo dogo mbele ya macho ya watu lakini hii karma ya kujimaliza ya CCM inaenda kukiua chama kabisa. Inawezekana kufikia 2030 tukawa na mfumo mpya na mzuri wa maongozi ya nchi yetu.

Watu kama Lucas mwashambwa , ChoiceVariable , CM 1774858 na wenzao wanaofanya spin mitandaoni ni sehemu ya anguko taradadi. Ikumbukwe Musiba ni alama ya matumizi mabaya ya madaraka ya juu kwa sababu alitoa vitisho na tuhuma nzito nzito tena zenye viashiria vya uhaini lakini hakukemewa kwa sababu alijitapa kuwa anamtetea mkuu wa mhimili.

Kimsingi hakuna anayeweza kuzuia ghadhabu ya Mungu zaidi ya toba ya kweli na ya kumaanisha. Lakini CCM hii inayoamini nguvu za giza haina pa kuponea.

watanzania wenye mapenzi mema na Nchi wasikate tamaa, CCM inaenda kuporomoka kama jiwe ndani ya maji katika nyakati hizi kwa sababu them sucking the blood of the sufferer...

Pascal Mayalla raraa reree Burapaa Erythrocyte Extrovert Mshana Jr Paw Retired kigogo hood Da vincci Bujibuji Simba Nyamaume figganigga
So to say
Mkuu

Mimi ni mwanaccm!

UNAFIKIRI tatizo ni ccm!!?

TATIZO sio ccm tatizo ni wanachama waliopewa dhamana ya kushika nyadhifa!

Bado kuna wanaccm wazuri wa nyerere mkapa na jpm ambao wakisimamiwa vizuri na sheria wata leta maendeleo nchini KWA watu wote!!

Rushwa,ufisadi,wizi na vyote sio chama bali watu!!
 
Nitajie hao watu mbadala angalau watatu
p
Josephat Gwajima, Innocent Bashungwa na Dr Bashiru Ally Kakurwa wa nne ni Mimi .........!!sitaki jina wasije anzisha vita dhidi yangu!

Mimi naamini ndoa ya ujamaa na ubepari na tupate hybrid!!!

Kwenye utawala wangu hakuna mtoto wa mitaani atakae onekana coz nguvu zao hazijapata mpenyo!jkt na magereza litakua lango l UCHUMI nchini!!!

Naomba kura yako nipite nianze kazi!mafisadi hakuna mjadala ni uhaini dhidi ya JAMHURI wanakula shaba za kichwa tu au wafilisiwe mali zao zote wabaki na nyumba tu ya kuishi!!!

Nipigie kampeni pole pole!

Nauona umkapa,umagufuli,unyerere na ubashiru Kakurwa ndani yangu japo ni mvaa kanzu msikitini na mvaa suti makanisani nikialikwa au nikijisikia KWENDA!!!

Mungu ibariki Tanzania nchi yetu niipendayo SANA!!!
 
Mkuu

Mimi ni mwanaccm!

UNAFIKIRI tatizo ni ccm...
Mfumo mbovu huzaa uendeshaji mbovu.

Mfumo uliocompromise ni matokeo ya watu waliopindisha taratibu kwa makusudi.

Tatizoni CCM ndo maana leo tunapanga foleni kuona kama atakuja kiongozi bora.

Mifumo ya nchi inachezewa hakuna variables wala tumaini la kubadilika.

Mkuu fikiri sahihi. Tatizo ni CCM haina tena agenda ya ukombozi kwa maendeleo
 
Watu wamekuwa wakisema na kuwaza hivyo tangu 1995. It is wishful thinking, nothing more.

CCM ndio wanaodhibiti mwelekeo wa nchi, kilichowafanya warudishe mfumo wa vyama vingi ndio hicho hicho kinawafanya walete mchakato wa mabadiliko ya katiba na sheria za uchaguzi.

Vyama tulivyonavyo vitaendelea kupambana kuwa 'chama kikuu cha upinzani', as long as hao wasanii wako in charge.
 
Mkuu Msanii , asante sana kuni tag, kama Mungu amepanga CCM iondoke, hatua ya kwanza ni Mungu ataandaa kwanza mbadala wa CCM ndipo CCM iondoshwe!. Kwa mpaka hapa tulipo, bado sijaona mbadala wowote wa CCM, hivyo utasubiri sana!.

Mimi projections zangu ni kuanzia 2030 Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika!
P
Namna Mungu afanyavyo ni tofauti ssna na sisi tunavyopanga.

Kupanga kuwepo na mbadala ni sawa na kumpangia......
 
Watu wamekuwa wakisema na kuwaza hivyo tangu 1995. It is wishful thinking, nothing more.

CCM ndio wanaodhibiti mwelekeo wa nchi, kilichowafanya warudishe mfumo wa vyama vingi ndio hicho hicho kinawafanya walete mchakato wa mabadiliko ya katiba na sheria za uchaguzi.

Vyama tulivyonavyo vitaendelea kupambana kuwa 'chama kikuu cha upinzani', as long as hao wasanii wako in charge.
Sasa tunachoshuhudia ni actual project
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom