Anguko la CCM lipo karibu

Bando la wiki

JF-Expert Member
May 23, 2023
315
888
Kuna wizi mkubwa ulifumbuliwa na report ya CIG, lakini wizi ule haujachukuliwa hatua yoyote.

Kuna wizi mkubwa unaendelea huko mawizarani na kwenye taasisi za umma lakini hakuna mbinyo wowote.

Kuna malipo makubwa (ya kufuru) kwa wastaafu na wake zao, pasipo kuzingatia hali ya uchumi.

Kuna malipo makubwa kwa viongozi na wabunge pasipo kuzingatia hali ya uchumi hili nalo litaleta anguko la ccm.

Kanuni za kiuchumi zinataka Mapato yawe makubwa kuliko Matumizi ili kupata ustawi uliyo bora.

Lakini jambo hilo kwa serikali ya ccm limeshindikana, ambapo kila mtu anajipigia kwa urefu wa kamba yake na hakuna wa kumfanya kitu chochote.

Anguko la CCM litatokea wapi?

1. Wana CCM kwa CCM watauana wenyewe kwa wenyewe ili kujimilikisha ukwasi ulioko serikalini (unapiga madili machafu halafu hakuna wa kukugusa)

2. Kutokana na ugumu wa maisha wanayoyapitia wananchi bila serikali kujali maumivu hayo, ndipo anguko la CCM lingine litatokea hapo.

3. Katiba sio hitaji la CCM ila kufikia 2026, CCM wenyewe ndo watakuwa wanaitaka na kuililia katiba mpya maana watakuwa nyuma ya wakati.
 
Kadiri watu watakavyoendelea kukumbuka mazuri ya CCM hakuna namna CCM itaangaamia chini ya miaka 100 ijayo
 
"Anayetabiri kwamba Muungano huu utakufa, basi ataanza kufa yeye."
JPM,

Weka sana akilini msemo huu.
 
Tumapiga kele Kudai katiba hawasikilizi, wanatuona mazuzu, ngoza waumizane kwanza ili wakiitaka katiba mpya sisi tutakuwa tunawacheka
 
Kuna wizi mkubwa ulifumbuliwa na report ya CIG, lakini wizi ule haujachukuliwa hatua yoyote.

Kuna wizi mkubwa unaendelea huko mawizarani na kwenye taasisi za umma lakini hakuna mbinyo wowote.

Kuna malipo makubwa (ya kufuru) kwa wastaafu na wake zao, pasipo kuzingatia hali ya uchumi.

Kuna malipo makubwa kwa viongozi na wabunge pasipo kuzingatia hali ya uchumi hili nalo litaleta anguko la ccm.

Kanuni za kiuchumi zinataka Mapato yawe makubwa kuliko Matumizi ili kupata ustawi uliyo bora.

Lakini jambo hilo kwa serikali ya ccm limeshindikana, ambapo kila mtu anajipigia kwa urefu wa kamba yake na hakuna wa kumfanya kitu chochote.

Anguko la CCM litatokea wapi?

1. Wana CCM kwa CCM watauana wenyewe kwa wenyewe ili kujimilikisha ukwasi ulioko serikalini (unapiga madili machafu halafu hakuna wa kukugusa)

2. Kutokana na ugumu wa maisha wanayoyapitia wananchi bila serikali kujali maumivu hayo, ndipo anguko la CCM lingine litatokea hapo.

3. Katiba sio hitaji la CCM ila kufikia 2026, CCM wenyewe ndo watakuwa wanaitaka na kuililia katiba mpya maana watakuwa nyuma ya wakati.
Kwenye eneo la uchumi tumpongeze Madelu kwa kuharakisha anguko
 
Unamaanisha sisiem au CCM
Km ni Ccm bas utasubili sana kwa kizazi iki na kizazi kijacho sjaona Ccm ikitoka madarakan
Kwa upinzani upi wa chadema wa lama lissu mbowe msigwa
Labda km ni kwa mapinduzi au wao kwa wao wagombane
 
Kuna wizi mkubwa ulifumbuliwa na report ya CIG, lakini wizi ule haujachukuliwa hatua yoyote.

Kuna wizi mkubwa unaendelea huko mawizarani na kwenye taasisi za umma lakini hakuna mbinyo wowote.

Kuna malipo makubwa (ya kufuru) kwa wastaafu na wake zao, pasipo kuzingatia hali ya uchumi.

Kuna malipo makubwa kwa viongozi na wabunge pasipo kuzingatia hali ya uchumi hili nalo litaleta anguko la ccm.

Kanuni za kiuchumi zinataka Mapato yawe makubwa kuliko Matumizi ili kupata ustawi uliyo bora.

Lakini jambo hilo kwa serikali ya ccm limeshindikana, ambapo kila mtu anajipigia kwa urefu wa kamba yake na hakuna wa kumfanya kitu chochote.

Anguko la CCM litatokea wapi?

1. Wana CCM kwa CCM watauana wenyewe kwa wenyewe ili kujimilikisha ukwasi ulioko serikalini (unapiga madili machafu halafu hakuna wa kukugusa)

2. Kutokana na ugumu wa maisha wanayoyapitia wananchi bila serikali kujali maumivu hayo, ndipo anguko la CCM lingine litatokea hapo.

3. Katiba sio hitaji la CCM ila kufikia 2026, CCM wenyewe ndo watakuwa wanaitaka na kuililia katiba mpya maana watakuwa nyuma ya wakati.
Ndivyo chadomo mnavyojifariji, CCM kwenye issue kama hizi ndipo inapokuwa imara zaidi. (gamba linakuwa gumu zaidi)
 
Si kweli, sisi ni watu wa kukubali tu bila kupinga, sawa na Yanga walipokubali kuwa sio bao bila kupinga pale pale uwanjani.
 
Back
Top Bottom