Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,641
Shujaa wa mabadiliko
Tuneandika Jina lako moyoni nwetu
Halitafutwa na wauaji wala ccm
Tuneandika Jina lako moyoni nwetu
Halitafutwa na wauaji wala ccm
Siku hizi ukikaa bila bando kwa nusu saa unakua umeachwa sana na mambo yanayotokea Tanzania. Hii habari ni ya Asubuhi ya leo
ThubutuuHivi Mkuu Barbarosa na wewe yanakutoka hayo toka moyoni kwako??
kweli kabisa imetufurahisha sana kuona roho iliyo taka kutolewa na mashetani mungu akasema hapana muda wala saa yako haijafika bado utaendelea kuishi Hakika MUNGU NI MWEMA!Siku hizi ukikaa bila bando kwa nusu saa unakua umeachwa sana na mambo yanayotokea Tanzania. Hii habari ni ya Asubuhi ya leo
Waambie bhana wanafiki sana hao heri wajikalie kimya tuu kuliko kujidai na wenyewe eti wanahuzunikaMnafiki sana wewe, hata hiki ulichoandika hapa umeandika kinafki tu...
Siku hizi ukikaa bila bando kwa nusu saa unakua umeachwa sana na mambo yanayotokea Tanzania. Hii habari ni ya Asubuhi ya leo
Hawana tofauti na mashetani...Waambie bhana wanafiki sana hao heri wajikalie kimya tuu kuliko kujidai na wenyewe eti wanahuzunika
Tulia.Za wadi? Tundu lisu! !! Labda sijui mana ya za wadi kutoka kwa Mungu
All the time!God is good
Hatakaa kimya.Hata angesimama na mikono akae kimya
bashite na dingi yake wakiwa na leprofesa lipumbavu....kasimama peeeke yake kamuona .........!!!
Ooouh hivi kumbe ni CDM ndio walienda mpaka kung'oa zile CCTV Camera kwenye nyumba ya yule waziri ili wapate umaarufu? Huyo waziri na yeye ana kadi ya CDM?Na kwa Lissu kupiga hatua nzuri kwenye matibabu.. inaendanaje na CCM.. na inajulikana alitendwa na wenzake wa Chadema.. ili wamsimamishe yeye kupata umaarufu kuliko waliotoa pesa ndefu kujiunga wapate vyeo.