Mungu ametupa zawadi leo kwa Mbunge Tundu Lissu kusimama kwa mara ya kwanza kwa msaada wa Physiotherapist

Siku hizi ukikaa bila bando kwa nusu saa unakua umeachwa sana na mambo yanayotokea Tanzania. Hii habari ni ya Asubuhi ya leo
 
Siku hizi ukikaa bila bando kwa nusu saa unakua umeachwa sana na mambo yanayotokea Tanzania. Hii habari ni ya Asubuhi ya leo
7c1519884a458632303683fc44f83ee3.jpg
 
Siku hizi ukikaa bila bando kwa nusu saa unakua umeachwa sana na mambo yanayotokea Tanzania. Hii habari ni ya Asubuhi ya leo
kweli kabisa imetufurahisha sana kuona roho iliyo taka kutolewa na mashetani mungu akasema hapana muda wala saa yako haijafika bado utaendelea kuishi Hakika MUNGU NI MWEMA!
 
Na kwa Lissu kupiga hatua nzuri kwenye matibabu.. inaendanaje na CCM.. na inajulikana alitendwa na wenzake wa Chadema.. ili wamsimamishe yeye kupata umaarufu kuliko waliotoa pesa ndefu kujiunga wapate vyeo.
Ooouh hivi kumbe ni CDM ndio walienda mpaka kung'oa zile CCTV Camera kwenye nyumba ya yule waziri ili wapate umaarufu? Huyo waziri na yeye ana kadi ya CDM?
 
Back
Top Bottom