Mungu azidi kukubariki Tundu Lissu, siku kama ya leo ulipita kwenye bonde la uvuli wa mauti Mungu wa mbinguni akakuponya!

Mpaka leo Jeshi la Polisi lipo kimya, ni bora hata wangeitisha Press na kusema kuwa Lissu alijishambulia mwenyewe kwa kujipiga risasi.

Bora hata Samia aliyesema wa kwao wana shabaha na wasingemkosa"sijui alikuwa ana maanisha Green guards au Uvccm tulìoambiwa na Kheri James kuwa ni Kiboko kwa "Sindano za sumu"

IGP wetu mpya Wambura arudishe imani yetu Wananchi kwenye Geshi letu la Porisi.

gone.png
Lissu alionewa jamani
 
Nikutakie tu kila la kheri Mh. Tundu Lisu kwani wewe ni muujiza wa kweli kwamba Mungu wa mbinguni anatenda.

Itaendelea kusimama kama alama ya mpigania haki asiyeogopa waovu.

God bless you TAL
Nilitegemea umlaani Jiwe kwenye msg hii. Jiwe alaaniwe aliyesimamia/bariki ushenzi huu. Kipilimba afe huko aliko aliyetayarisha timu ysa kumpiga risasi Lisu.

Lisu alisema ilisimamiwa na kipilimba!
 
Nilitegemea umlaani Jiwe kwenye msg hii. Jiwe alaaniwe aliyesimamia/bariki ushenzi huu. Kipilimba afe huko aliko aliyetayarisha timu ysa kumpiga risasi Lisu.

Lisu alisema ilisimamiwa na kipilimba!
Wewe ulimuamini?
 
Nikutakie tu kila la kheri Mh. Tundu Lisu kwani wewe ni muujiza wa kweli kwamba Mungu wa mbinguni anatenda.

Itaendelea kusimama kama alama ya mpigania haki asiyeogopa waovu.

God bless you TAL

Wale wote waliohusika katika kadhia hii Mungu azidi kuwaumbua mchana kweupe.Moto wa Jehanamu ukazidi kuwachoma na kuwaunguza nafsi na mwili wote tuseme ameni.
 
Sasa ni dhahiri kwamba serikali ya Tanzania inawaficha waliomshambulia Lissu Dodoma September 7/9/2017 , hii haina Ubishi .

Bali tunawahakikishia Wapenda haki wote Duniani kwamba WOTE WALIOHUSIKA NA SHAMBULIO LA KISHAMBA DHIDI YA UHAI WA TUNDU LISSU WATAKAMATWA NA MUNGU NA WATAPUKUTISHWA KAMA VUMBI LA MKAA WAKATI WA KIMBUNGA

Ondoeni Shaka , KILA UBAYA UTALIPWA
 
waliohusika ktk tukio lile la kishetani 'wadumu ktk moto wa milele' na wale ambao bado wapo hai walaanike wao na watoto wao na moto wa milele ukawe ndio chakula chao na makazi yao jehenamu milele na milele
 
Back
Top Bottom