thespecialone
Senior Member
- Sep 20, 2012
- 130
- 34
Pole dada...ni mtihani tu wa dunian...embu wacha kumpa hela na kutimiza wajibu wake..lazima atarekebika..akikuomba hela na wewe mwambie huna...na account za watoto weka in watotoz name...
Inaonekana una roho nzuri na ya upendo ivo ndo Mungu alivokujaalia wala huwezi badilika. Mana ingekua mmke mwengn angefanya yake na wala asingeshughulika hata kdg. Cha msingi km unaweza endelea nae ivoivo maadam ushajua hio ni tabia yake. Au km ww ushaongea nae na bado hajabadilika tafuta Watu wazima either wazee wake au wako mtu anaemsheshim uongee nae. Na kubwa kuliko yote muombe Mungu kwani yeye ndo muweza wa yote anaweza akabadilika huyo.
kwa sababu hana tofauti na mnyama binadamu gani unakula hela zako mwenyewe bila kumpa mke au watoto?Si vyema kumuita mume wa mwanamke mwenzio mbuzi
mmmh nawe bana usiseme usizokuwa na uhakika nazo, unajuaje km nilimpendea hela? huyu mtu amenioa akiwa na chumba kimoja na sebule na akiwa mfanyakazi wa serikali enzi hizo kabla hajapata UN..Hakuwa hata na baiskeli achilia mbali gari, ndio utajiri gani huo aliokuwa nao? ni bora uulize tulipokutana alikuwaje kuliko kuweka conclusion kwamba nilimpendea hela
... na mimi sio kwamba sina hela, ninazo na zinanitosha tu ila zake ndio sizioni, hapo ndio shida yng
weeee unamwendekeza huyo mbuzi
kwanza wai nyumbani pika msosi kula na wanao osheni hadi sufuria wekeni kabatini hakija mwambieni hakuna kitu chochote kilichopikwa leo..akilala njaa siku tatu akili itarudi
kama ni umeme nyoosha nguo zako mtaani laleni gizani hata wiki
yaani usitoe hela yoyote tena jifanyishe kuna wizi umetokea ofsini mwaka mzima umeambiwa hulipwi ili kulipa hilo deni...so wewe sio wa kurecover leo wala kesho!
nikuulize sasa unafaidi nini kuishi na huyo mbuzi?
Huyu mke wako ni Mmachame?
huyu mume aliponioa alikuwa amepanga chumba na sebule tu,fanicha za makochi ya mbao na hakuwa na vyombo kbs, na wkt huo hakuwa na kazi hii aliyonayo leo..hakuwa na gari tulipanda dala dala muda mrefu tu...ss hayo unayosema sijui ni kweli?
asante sana rafiki, ni kweli yote usemayo, na kweli marafiki wamechangia sana na kila kitu cha ndani anawashirikisha marafiki kw ahivo utakuta mipango yetu haitulii, yaani leo mkipanga hiki kesho anakuja na lingine au mtazamo mpya kabisa..hiyo ni baada ya kuwaambia marafiki na wao kumshauri...cha kusikitisha hakuna hata mpango mmoja aliofanya na rafiki ukafanikiwa sana sana ni kupoteza hela tu...nimeshaongea nae sana kuhusu marafiki lkn habadiliki, na ilifikia sehemu akawa hanielezi biashara au kazi wanazofanya na marafiki tena hadi linapotokea tatizo kubwa kama kupotea pesa au kudhulumiwa ndio ananiambia...na pia sometimes anakwama ananiomba nimsaidie(japo hio idea inatoka kwa marafiki) lkn namsaidia tu japo moyoni naumia... ni kuomba Mungu tu
MKE ANNUAL SLR | MUME ANNUAL SALARY |
50,000,000 | 150,000,000 |
DEVP EXP=60% | DEVP EXP=20% |
Kama hivyo ndvyo hope anakupenda sana mumeo pia, cha msingi anzisheni heavy capital investment ambayo utaisimamia wewe hasa iwe ujenzi na umshawishi mfungue Joint account ambayo itapokea mshahara wako na wake, na benki mwombe cheque book 4 any fund withdraw under condition wote mmesaini hundi ndo pesa zitoke. Ukimshawishi akubali it will work wisely n hope utaenjoy sana matrimonial life. But usisahau consulting fee of 5% if it curbs the hbd behaviour kwa ushauri wangu.
Procedure: Mtoe Outing mwende hata Bagamoyo hope unaishi Dar then andaa matrix ya mishahara yenu kama ifuatavyo:
Ie :60%*50m=30MIL 20%*150m=30MIL TOTAL FAMILY INV:30MIL+30MIL=60MIL
MKE ANNUAL SLR MUME ANNUAL SALARY 50,000,000 150,000,000 DEVP EXP=60% DEVP EXP=20%
AMBAPO:TOTAL FAMILY INVEST % OUT of annual income exclusive other unplanned income=60/200*100%=30% kiasi ambacho ni kidogo sana na akieleweshwa mathematically kwa uhalisia na kwa miaka ambayo ameteleza na uandae uhalisia wa Plan za nyuma na namna ambavyo umepokea fedha bt ikaishia kwenye ulabu ama vimada hope utamzindua kabisa na kama kuna ndugu yake anaemheshim kamtoa mbali hata kama anamzid fedha sasa mlaghai amwalike mjoin nae kisha mweleze the whole tale atabadilika mami. Pole sana but test this without further delay.
shida mnaolewa na mabrazameni hawajui ndoa nini..........
shemeji umekuja mpaka huku kumsema kaka yetu!!! msamehe bure na muombee,ipo siku atabadilika!
Kama hivyo ndvyo hope anakupenda sana mumeo pia, cha msingi anzisheni heavy capital investment ambayo utaisimamia wewe hasa iwe ujenzi na umshawishi mfungue Joint account ambayo itapokea mshahara wako na wake, na benki mwombe cheque book 4 any fund withdraw under condition wote mmesaini hundi ndo pesa zitoke. Ukimshawishi akubali it will work wisely n hope utaenjoy sana matrimonial life. But usisahau consulting fee of 5% if it curbs the hbd behaviour kwa ushauri wangu.
Procedure: Mtoe Outing mwende hata Bagamoyo hope unaishi Dar then andaa matrix ya mishahara yenu kama ifuatavyo:
Ie :60%*50m=30MIL 20%*150m=30MIL TOTAL FAMILY INV:30MIL+30MIL=60MIL
MKE ANNUAL SLR MUME ANNUAL SALARY 50,000,000 150,000,000 DEVP EXP=60% DEVP EXP=20%
AMBAPO:TOTAL FAMILY INVEST % OUT of annual income exclusive other unplanned income=60/200*100%=30% kiasi ambacho ni kidogo sana na akieleweshwa mathematically kwa uhalisia na kwa miaka ambayo ameteleza na uandae uhalisia wa Plan za nyuma na namna ambavyo umepokea fedha bt ikaishia kwenye ulabu ama vimada hope utamzindua kabisa na kama kuna ndugu yake anaemheshim kamtoa mbali hata kama anamzid fedha sasa mlaghai amwalike mjoin nae kisha mweleze the whole tale atabadilika mami. Pole sana but test this without further delay.
.
Maumivu ya kujitakia haya acha kumpa
Au la akiwa na hao marafiki wape kubwa yao kisawasawa mpaka wamkimbie
Wewe ni mke pambana