Huyu mwanamke amenishangaza

DAVID PALMER

JF-Expert Member
Jan 19, 2020
285
1,447
Kuna dada nafanya nae biashara jiran. Yeye ni mgeni amekuja karibuni. Ni mzuri saana na ni single maza. Sasa mwana mmoja ambae tunafanya nae biashara ya aina moja ola ofisi yake iko mtaa mwingine akatokea kumuelewa huyu demu. So akaanza kufukuzia. Akawa anakuja pale mtaa biashara yetu ilipo mara kwa mara

Huyo jamaa hajaoa, so yuko tayari kama demu akiwa material awe nae ktk serious relationship.

Sasa maajabu mwana akiondoka demu anakuja anaanza kunisimulia namna anavotongozwa na jamaa.
Sasa aliponishangaza akasema, yaan huyu jamaa siwezi mpa mzigo. Bora nikupe wewe. Akiwa na maana mimi. Sasa anajua me nmeoa na wife huwa anakuja ofisin tunashinda nae, so automat anajua akinipa me ntakula tuu ntachezea then ntamuacha sina future nae. Lkn mwana anaweza oa.

Sasa nawaza anawaza nn.. anataka kuchezewa tu? nngesema labda amefata pesa, lkn jamaa tunafanana kipato, sababu ukubwa wa biashara ni ule ule tuu... kwanini amkatae single boy anitake mume wa mutu.
 
Huyu ndio kamloga Mke wako amekosa mahaba na wewe
 
She doesn’t see a future changes from her previous relationship ndio maana at least ww anaepiga story nae kuliko jamaa kuna weakness ameiona kwa jamaa na atateswa km akilazimisha kuishi nae
 
unasetiwa mkuu, toka nduki.. usiangalie hata nyuma
Running.gif
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom