mume wangu kanizidi mshahara lakini kila mara yuko kwenye money crisis

Pole dada...ni mtihani tu wa dunian...embu wacha kumpa hela na kutimiza wajibu wake..lazima atarekebika..akikuomba hela na wewe mwambie huna...na account za watoto weka in watotoz name...
 
Inaonekana una roho nzuri na ya upendo ivo ndo Mungu alivokujaalia wala huwezi badilika. Mana ingekua mmke mwengn angefanya yake na wala asingeshughulika hata kdg. Cha msingi km unaweza endelea nae ivoivo maadam ushajua hio ni tabia yake. Au km ww ushaongea nae na bado hajabadilika tafuta Watu wazima either wazee wake au wako mtu anaemsheshim uongee nae. Na kubwa kuliko yote muombe Mungu kwani yeye ndo muweza wa yote anaweza akabadilika huyo.

thx dear nitajitahidi kumuomba Mungu, pia bado navumilia huenda akabadilika
 
nimesoma comments za wadau zote hadi hapa, nalazimika kuamini kuwa tatizo la mumeo ni pombe na marafiki. Ukifanikiwa kusolve hilo la marafiki, hata pombe atapunguza na hivyo hela zitaonekana nyumbani. Sasa namna ya kutenganisha na marafiki ndo kizungumkuku kilipo!
 
mmmh nawe bana usiseme usizokuwa na uhakika nazo, unajuaje km nilimpendea hela? huyu mtu amenioa akiwa na chumba kimoja na sebule na akiwa mfanyakazi wa serikali enzi hizo kabla hajapata UN..Hakuwa hata na baiskeli achilia mbali gari, ndio utajiri gani huo aliokuwa nao? ni bora uulize tulipokutana alikuwaje kuliko kuweka conclusion kwamba nilimpendea hela

Sasa haya ndio maelezo niliyokuwa nikiyahitaji, maana pale juu hukufunguka uzuri kuhusu yenu historia na ukaanza moja kwa moja kutupatia michapo...

... na mimi sio kwamba sina hela, ninazo na zinanitosha tu ila zake ndio sizioni, hapo ndio shida yng

kwa kuwa nawe una hela na umekiri kuwa zatosheleza basi usizue ya kuzua...

Ushauri:

Kama kuna miradi mlioanzisha na kaifilisi basi hakuna haja ya kuifufua hiyo miradi....

Akikuomba hela nawe anza kumwambia kuwa huna hela kabisa labda mwezi ujao...

Yaani kimsingi igilizia A - Z tabia yake yote ya kubania hela zake, nawe fanya vivyo hivyo...
 
mshahara ukitoka daka ATM kadi yake, akitaka kutoa hela nendeni wote benki, mnatoa na anakupa budget yake kwa siku, wiki na hatimaye mwezi
 
Pole sana mleta mada!!! Kuanzia leo acha kumlea mume huyo!!!!!!!!!!!!!!!!!! Ulianza kumlea pale uliporuhusu kugawana majukumu 50%!!!! Sijajua wewe ni imani gani ila kwa wakristu imeandikwa kuwa mke ni msaidizi wako na kuwa unatakiwa kumtunza. Bi mkubwa wa Lara 1 alikuwa sahihi kabisa na wanawake wote mnatakiwa mjifunze hili. Wale wanaume ambao wanataka kulelewa huwa wanataka wake au wapenzi wao wawe ni financier, Ninaamini kuwa nikiwa kama mwanaume heshima yangu inapanda pale ninapokuwa na uwezo na jukumu la kuilisha familia yangu na mke anachangia tu. Tena niwaambie kuwa kama mke wako anaona unajituma kuangalia familia vizuri huwa inampa motivation sana ya yeye kuchangia ili kuonesha upendo wake. Cha msingi kama mke anafanya kazi kuna majukumu madogomadogo kama mishahara ya watumishi, vitu vidogovidogo vya watoto n.k. Ninakumbuka wakati tunasomesha, kulikuwa hakuna hizi shule zenu za hela nyingi, shule za serikali tulikuwa tunalipa 750,au 1,500 hivi mara ya mwisho ila uniform na pocket money na mambo mengine ilikuwa juu ya mzazi. Mwenzangu kuna wakati kabisa ananiambia kuwa analipa ada na si kwa kuwa nilimlazimisha ila kwa kuwa alikuwa ana appreciate matunzo yangu kwa familia. I tell you ninapotumika kwa familia yangu, najiona chief au king Fulani hivi na heshima inakuwepo full kuanzia kwa watoto hadi mama. Sasa wewe mwanaume goigoi unamwachia mke wako aheme mwishowe anachoka na sura haivutii kabisa mwisho wa siku unaanza kutafuta wa sura za kung'aa wakati ya mkeo uliharibu kwa kumpa kazi za mitulinga. Wanawake ni maua, na maua haya need handling with care!!! Extra care!!!! I wish you all the best, those who are still searching for their better half to get the rib of their ribs!!!! Usipoweza kufanya hivyo ndiyo yatajeuka ya huyu mzee Kalbandika wa huyu mleta mada. Pole sana dada yangu ila kuanzia sasa weka mikakati ya kumuwajibisha huyu mumeo. Akishasimama imara ndipo uanze kumsaidia kile kinachowezekana.
 
Ndoa ikivunjika aje tena hapa kuomba ushauri?
weeee unamwendekeza huyo mbuzi
kwanza wai nyumbani pika msosi kula na wanao osheni hadi sufuria wekeni kabatini hakija mwambieni hakuna kitu chochote kilichopikwa leo..akilala njaa siku tatu akili itarudi
kama ni umeme nyoosha nguo zako mtaani laleni gizani hata wiki
yaani usitoe hela yoyote tena jifanyishe kuna wizi umetokea ofsini mwaka mzima umeambiwa hulipwi ili kulipa hilo deni...so wewe sio wa kurecover leo wala kesho!
nikuulize sasa unafaidi nini kuishi na huyo mbuzi?
 
huyu mume aliponioa alikuwa amepanga chumba na sebule tu,fanicha za makochi ya mbao na hakuwa na vyombo kbs, na wkt huo hakuwa na kazi hii aliyonayo leo..hakuwa na gari tulipanda dala dala muda mrefu tu...ss hayo unayosema sijui ni kweli?

dada kamusi jikusanye mwende kwa T. B. Joshua akaombewe! Nimeona watu wa tabia hyo wakifanyiwa deliverance huko na hlo liroho likimtoka atakuwa ok.
 
Last edited by a moderator:
asante sana rafiki, ni kweli yote usemayo, na kweli marafiki wamechangia sana na kila kitu cha ndani anawashirikisha marafiki kw ahivo utakuta mipango yetu haitulii, yaani leo mkipanga hiki kesho anakuja na lingine au mtazamo mpya kabisa..hiyo ni baada ya kuwaambia marafiki na wao kumshauri...cha kusikitisha hakuna hata mpango mmoja aliofanya na rafiki ukafanikiwa sana sana ni kupoteza hela tu...nimeshaongea nae sana kuhusu marafiki lkn habadiliki, na ilifikia sehemu akawa hanielezi biashara au kazi wanazofanya na marafiki tena hadi linapotokea tatizo kubwa kama kupotea pesa au kudhulumiwa ndio ananiambia...na pia sometimes anakwama ananiomba nimsaidie(japo hio idea inatoka kwa marafiki) lkn namsaidia tu japo moyoni naumia... ni kuomba Mungu tu

.
Maumivu ya kujitakia haya acha kumpa

Au la akiwa na hao marafiki wape kubwa yao kisawasawa mpaka wamkimbie

Wewe ni mke pambana
 
shemeji umekuja mpaka huku kumsema kaka yetu!!! msamehe bure na muombee,ipo siku atabadilika!
 
Kama hivyo ndvyo hope anakupenda sana mumeo pia, cha msingi anzisheni heavy capital investment ambayo utaisimamia wewe hasa iwe ujenzi na umshawishi mfungue Joint account ambayo itapokea mshahara wako na wake, na benki mwombe cheque book 4 any fund withdraw under condition wote mmesaini hundi ndo pesa zitoke. Ukimshawishi akubali it will work wisely n hope utaenjoy sana matrimonial life. But usisahau consulting fee of 5% if it curbs the hbd behaviour kwa ushauri wangu.
Procedure: Mtoe Outing mwende hata Bagamoyo hope unaishi Dar then andaa matrix ya mishahara yenu kama ifuatavyo:

MKE ANNUAL SLRMUME ANNUAL SALARY
50,000,000150,000,000
DEVP EXP=60%DEVP EXP=20%
Ie :60%*50m=30MIL 20%*150m=30MIL TOTAL FAMILY INV:30MIL+30MIL=60MIL
AMBAPO:TOTAL FAMILY INVEST % OUT of annual income exclusive other unplanned income=60/200*100%=30% kiasi ambacho ni kidogo sana na akieleweshwa mathematically kwa uhalisia na kwa miaka ambayo ameteleza na uandae uhalisia wa Plan za nyuma na namna ambavyo umepokea fedha bt ikaishia kwenye ulabu ama vimada hope utamzindua kabisa na kama kuna ndugu yake anaemheshim kamtoa mbali hata kama anamzid fedha sasa mlaghai amwalike mjoin nae kisha mweleze the whole tale atabadilika mami. Pole sana but test this without further delay.
 
unataka mwanamke mwezio akombwe hela zake na za mumewe, mume mwenyewe tupa tupa halafu afanye hilo kosa atajutia maisha yake yote
 
shemeji umekuja mpaka huku kumsema kaka yetu!!! msamehe bure na muombee,ipo siku atabadilika!

amezidi kaka yenu ndio nimekuja kumshitakia huku mpitihse basi aone ninavyohangaika kwa sbb yake
 
Kama hivyo ndvyo hope anakupenda sana mumeo pia, cha msingi anzisheni heavy capital investment ambayo utaisimamia wewe hasa iwe ujenzi na umshawishi mfungue Joint account ambayo itapokea mshahara wako na wake, na benki mwombe cheque book 4 any fund withdraw under condition wote mmesaini hundi ndo pesa zitoke. Ukimshawishi akubali it will work wisely n hope utaenjoy sana matrimonial life. But usisahau consulting fee of 5% if it curbs the hbd behaviour kwa ushauri wangu.
Procedure: Mtoe Outing mwende hata Bagamoyo hope unaishi Dar then andaa matrix ya mishahara yenu kama ifuatavyo:

MKE ANNUAL SLRMUME ANNUAL SALARY
50,000,000150,000,000
DEVP EXP=60%DEVP EXP=20%
Ie :60%*50m=30MIL 20%*150m=30MIL TOTAL FAMILY INV:30MIL+30MIL=60MIL
AMBAPO:TOTAL FAMILY INVEST % OUT of annual income exclusive other unplanned income=60/200*100%=30% kiasi ambacho ni kidogo sana na akieleweshwa mathematically kwa uhalisia na kwa miaka ambayo ameteleza na uandae uhalisia wa Plan za nyuma na namna ambavyo umepokea fedha bt ikaishia kwenye ulabu ama vimada hope utamzindua kabisa na kama kuna ndugu yake anaemheshim kamtoa mbali hata kama anamzid fedha sasa mlaghai amwalike mjoin nae kisha mweleze the whole tale atabadilika mami. Pole sana but test this without further delay.

kwa kweli hiyo itakuwa ngumu na itakuwa namlazimisha kuchukua pesa yake pasipo hiyari yake, na pia inawza kunikost mimi mwenyewe ktk implementation...
hiyo outing huwa tunatoka mara nyingi tu na tunakubaliana vizuri tu lkn anawasikiliza sn marafiki zake ambapo wanamsauri vingine na tulivyokubaliana na huko nndiko anakoinvest
 
.
Maumivu ya kujitakia haya acha kumpa

Au la akiwa na hao marafiki wape kubwa yao kisawasawa mpaka wamkimbie

Wewe ni mke pambana

si kujitakia dadangu yaaaani anatia huruma akiwa hana hela na anainitia aibu kwa kukopa watu ndio naona bora nimsaidie tu
Hao marafiki zake ni wa muda mrefu sana tangu shuleni na mimi nimemkuta akiwa nao sasa siwezi kuwafokea/kuwaropokea ivo..ni yye ndio anatakiwa awe na akili, kwani mbona hata ktk hao marafiki kuna ambao amewazidi kipato lkn wanafanya mambo mengi tu...ni ngumu sana mimi kuwaambia marafiki zake ila yeye naweza kumwambia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom