mume wangu kanizidi mshahara lakini kila mara yuko kwenye money crisis

Naumia hata nashindwa nikushauri nini, nahurum ainazidi kwa watoto yaani kero

kama kweli umejaribu mara kadhaa kumuweka chini na bado anaendelea huyo hafai kushirikiana nae

nachoshauri usiombe talaka bali usishiriki nae mabo yoyote ya uchumi koz unaweza simama bila yeye ,

kama una kauwezo peleka watoto boarding tukutane likizo,
mek sure nyumbani mnabaki wawili tu wewe na yeye kama unahitaji msaidizi awe ni kwa ajili yako na si yake yeye

tafuta investment za watoto wako ye asijue ikiwezekana rudi home umeshiba na unamwambia hela ya chakula home hakuna akiweza hivyo 3 consecutive months atanyooka

NB
USIMPE Hela yeyote anapodai hana hela hta ikibidi aende kazini kwa mguu aende ila anapoumwa mpeleke hospitali usimuache ajifie
 
kamusi dada angu kwanza pole sana kwa yanayokusibu.
I can imagine the stress you are going through month in month out.
Umeshawahi kufatilia nyendo za mmeo hususani kwenye suala zima la kutoka nje? Hana kidosho cha nje kabisa pasi na kutumbua hela za familia na marafiki bar?
Kabla hamjakutana (kuoana) maisha kwake yalikuaje?
Ndugu zake wanamfatilia kwa maana ya kumuomba misaada?
Ana majukumu gani ambayo unaweza hisi yanammaliza hela pembeni ya bar?
Nia na madhumuni ya maswali haya ni kujua other natural causes ya yeye kufanya anavyofanya. Kama hamna basi hili suala litakuwa la kiroho zaidi. Ushawahi sikia chuma ulete katika maisha yako?
Hizo ni roho zinawafatilia watu kiasi cha kuharibu uchumi wao katika maisha. Kama jibu kwenye natural hamna basi kuna jibu katika ulimwengu wa spirit.
Seek God and you will find the answer as you continue to answer these questions
Thats my take

yes ana mtoto wa nje ya ndoa aliyezaa na housigeli wangu miaka mingi iliyopita (tulishaliongelea na nikasamehe) lakini si kwamba anamhudumia sana huyo mtt na huyo mamake kwani mara kadhaa huyo mama analalamika hajatumiwa hela ya matumizi..infact inaweza kupita hata miezi 4 hajamtumia hela hadi kuna siku mimi nilijitolea kumsaidia. huyo housegirl wangu aliyezaa na mume wng anaishi maisha ya dhiki sana kwa sasa.

hilo la wanawake wengine sijui sina hakika lakini sibishi inawezekana wapo(sipendi kufatilia sana kuhusu hili mana nahisi ntaumia sana) lkn kwa ss muda mwingi sana anakuwa na marafiki

kabla hatujaoana alikuwa anafanya kazi serikalini na mshahara ulikuwa mdogo sana(haufiki laki 2 kwa wkt huo kwa grauduate). mimi nilikuwa nasoma chuo na mara kadhaa alikuwa anaishiwa na kunifata chuo kuniomba boom...nilijua labda ni mshahara mdogo haumtoshi..wakati huo tulikuwa tunaishi kwny chumba kimoja na sebule na hakuwa na chochote kwa maana ya gari, nyumba n.k

huko nyuma alikua anasomesha ndugu zake lkn kwa ss wote wameoa/olewa na wana kazi zao

majukumu ambayo nahisi yanammalizia hela tofauti na baa, ni miradi anayofanya na marafiki zake ambazo anapeleka hela nyingi huko..miradi yenyewe hata haifanikiwi mara nyingi inaishia njiani au anarushwa pesa na kuanza kuhangaika na makesi n.k.. cha kushangaza hata haachi kufanya kazi na marafiki sana sana atabadilisha tu rafiki km yule mwingine kamdhulumu

natumaini nimekujibu maswali yako vizuri, nasubiri ushauri zaidi kutoka kwako
 
Naumia hata nashindwa nikushauri nini, nahurum ainazidi kwa watoto yaani kero

kama kweli umejaribu mara kadhaa kumuweka chini na bado anaendelea huyo hafai kushirikiana nae

nachoshauri usiombe talaka bali usishiriki nae mabo yoyote ya uchumi koz unaweza simama bila yeye ,

kama una kauwezo peleka watoto boarding tukutane likizo,
mek sure nyumbani mnabaki wawili tu wewe na yeye kama unahitaji msaidizi awe ni kwa ajili yako na si yake yeye

tafuta investment za watoto wako ye asijue ikiwezekana rudi home umeshiba na unamwambia hela ya chakula home hakuna akiweza hivyo 3 consecutive months atanyooka

NB
USIMPE Hela yeyote anapodai hana hela hta ikibidi aende kazini kwa mguu aende ila anapoumwa mpeleke hospitali usimuache ajifie

asante dear, nitazingatia ushauri wako..kuna watoto wengine wako boarding lkn kuna wengine bado wadogo sn kwa ivo niko nao nyumbani, wakikua labda niwapeleke wote tubaki peke yetu nyumbani..ila sintakuwa mpweke sana na mtu mwenyewe baa ndio ndio masikani yake? siku akiishiwa pesa ndio anawahi kurudi nyumbani, mapema jua halijazama.. yaani wakati mwingine mtu unafikia kumuombea asipate hela cos anarudi nyumbani usiku wa manane..
 
Na wewe kaa kimya, kuja kumwanika mmeo hapa wakati ulimchagua mwenyewe, sasa unataka tukusaurije?

asante, pia sihitaji ushauri wako dear..kuna wengi wamenipa ushauri wa maana unanitosha...na pia sijakulazimisha utoe maoni unaweza pita tu
 
Pole sana my dear,naona umepata ushauri mwingi mzuri
Me naongeza mkazo tu kwenye swala zima la MAOMBI,usichoke kuomba na hata kutoa sadaka kuomba mumeo abadilike mamii.
 
Pole sana my dear,naona umepata ushauri mwingi mzuri
Me naongeza mkazo tu kwenye swala zima la MAOMBI,usichoke kuomba na hata kutoa sadaka kuomba mumeo abadilike mamii.

nashukuru mpendwa, ntajitahidi kwenye maombi km wengi walivyoshauri..nashukuru sana
 
Na kama hukutaka nichangie ungeweka angalizo mwanzoni mwa sredi yako

asante, pia sihitaji ushauri wako dear..kuna wengi wamenipa ushauri wa maana unanitosha...na pia sijakulazimisha utoe maoni unaweza pita tu
 
Nahisi ww unaifahamu historia ya mumeo vizuri kushinda sisi wachangiaji. Naomba nikuulize maswali yafuatayo pindi mkiwa wachumba:
1] Je alikuwa na tabia ya kukabidhi fedha yote kwako?
2] Alikuwa anamanage fedha yake wisely na alikuwa muwazi wakati wote au alikuwa mbinafsi mkiwa pamoja anakuwa na line yako na akiwa kwingine anatumia namba za wahusika coz cm zinanitia wasi wasi kununuliwa kila wkt!

ukitoa ufafanuzi na uka recall back enzi hizo hope utapata picha ya mume uliye naye but all in all usimwendekeze coz bahati mbaya siku ukitoweka kabla yake vuta picha familia yako itakavyoishi.
 
Inaonekana una roho nzuri na ya upendo ivo ndo Mungu alivokujaalia wala huwezi badilika. Mana ingekua mmke mwengn angefanya yake na wala asingeshughulika hata kdg. Cha msingi km unaweza endelea nae ivoivo maadam ushajua hio ni tabia yake. Au km ww ushaongea nae na bado hajabadilika tafuta Watu wazima either wazee wake au wako mtu anaemsheshim uongee nae. Na kubwa kuliko yote muombe Mungu kwani yeye ndo muweza wa yote anaweza akabadilika huyo.
 
hiyo ya kunikabidhi pesa zote kwa kweli hajawahi, ila kuna siku yeye mwenyewe aliniambia anataka anipe pesa zake zote nimuwekee halafu awe anachukua kidogo kidogo ili asiishiwe tena, nikamwambia sawa, lkn hakunipa na mpk leo hajazungumzia tena hilo..

Kiukweli ni msiri kdg hasa katika masuala ya pesa kwani anaweza akaniambia amepata milioni 3 kumbe kapata 8...mwanzoni sikujua kwa sbb nilikuwa simfuatilii kwani sikujua ananidanganya, ila baadae nikawa naona anafanya vitu vikubwa kuliko hela aliyonitajia, na siku nyingine alisafiri nje ya nchi muda mrefu akaacha hela ambayo alishafanyia kazi haijatoka na ilipotoka rafiki yake akaniletea yote nyumbani pesa nyingi mara 3 ya zile alizosema yy..ndio nikajua kuwa hasemagi ukweli
 
kuhusu kuwa na line za simu sijaona zaidi ya 3 alizonazo ambazo zote nazijua..ila anapenda sana simu yaani sijui kama ilishapita miezi 2 hajanunua simu mpya...na mimi pia ananinunulia japo mi sipendi na wala sibadilishi simu mara kwa mara..hivi hapa nina simu aliyoninunulia yy miaka 2 iliyopita na bado naitumia lkn ameshaninunulia zingine km 6-7 ivi ambazo nazigawa kwa ndugu au naweka ndani tu mpk hizi nilizonazo zichoke...ila yy anabadilisha simu kila leo
 
Inaonekana una roho nzuri na ya upendo ivo ndo Mungu alivokujaalia wala huwezi badilika. Mana ingekua mmke mwengn angefanya yake na wala asingeshughulika hata kdg. Cha msingi km unaweza endelea nae ivoivo maadam ushajua hio ni tabia yake. Au km ww ushaongea nae na bado hajabadilika tafuta Watu wazima either wazee wake au wako mtu anaemsheshim uongee nae. Na kubwa kuliko yote muombe Mungu kwani yeye ndo muweza wa yote anaweza akabadilika huyo.

thx dear nitajitahidi kumuomba Mungu, pia bado navumilia huenda akabadilika
 
nashukuru watu wengi wamekushauri mambo mengi, nipo serious, kama unaamini mungu yupo mpeleke akafanyiwe maombi kanisani, nimeona watu wa namna hiyo, wanakuwa wanatawaliwa na nguvu nyingine ya ziada na ukitaka kujua sio yeye, akili inamrudia akiishiwa, na anakuwa anajuta sana na unadhani kajifunza lakini wapi. Ni nguvu za giza, ni mapepo ya kufilisi. Ushukuru mungu hauzi vitu ndani, kuna rafiki yangu alipata house girl wa namana hiyo alikoma.
Anza wewe mwenyewe kwa kujiombea na kumuombea na pia tafuta msaada wa kiroho. Nwaweza nikawa nimepost kitu ambacho wengi hawaamini but nazungumza kitu nacho kifahamu na uhakika. Mawazo ya kua sio mume sahihi yaondoe, binafsi nayaweka mbali, naamini unaweza kutoka na kuelekea hatua nyingine, nilivyosoma tu nimeona wewe ni mpiganaji.
Mungu akusaidie, hongera kwa uvumilivu.

hii ndiyo njia iliyo bora na sahihi. Akiri kwa imani yake mwenyewe kwamba yawezekana mumewe kubadilika na itakuwa hivyo..... Just mapepo wabaya hao.
 
Mwenyezi mungu alivyotuumba wote hatufanani. Ukiona mume safi ujue tatizo litakuwa kwa mke and vice versa jamani 70% of marriages huo ndo ukweli.
 
hiyo ya kunikabidhi pesa zote kwa kweli hajawahi, ila kuna siku yeye mwenyewe aliniambia anataka anipe pesa zake zote nimuwekee halafu awe anachukua kidogo kidogo ili asiishiwe tena, nikamwambia sawa, lkn hakunipa na mpk leo hajazungumzia tena hilo..

Kiukweli ni msiri kdg hasa katika masuala ya pesa kwani anaweza akaniambia amepata milioni 3 kumbe kapata 8...mwanzoni sikujua kwa sbb nilikuwa simfuatilii kwani sikujua ananidanganya, ila baadae nikawa naona anafanya vitu vikubwa kuliko hela aliyonitajia, na siku nyingine alisafiri nje ya nchi muda mrefu akaacha hela ambayo alishafanyia kazi haijatoka na ilipotoka rafiki yake akaniletea yote nyumbani pesa nyingi mara 3 ya zile alizosema yy..ndio nikajua kuwa hasemagi ukweli

Dada msaidie mwenzako anahitaji sana msaada wako...
 
Huyu mumeo ana shida either alipita mapito mabaya ama pepo tu limemwingia bila yeye kujua... Wewe ndio mwenye kazi ya kufunga na kuomba ili mwenzi wako apone.
 
Back
Top Bottom