Mume wangu kakata mawasiliano ya 'Chakula cha Usiku' kwa miezi 8, Nifanyeje?

Madam, na wewe miez 8 ukaa kimya tuuu. Wewe unatambua haki zako za msingi kwenye ndoa? Mumeo anahitaji kukalishwa na kuelezwa kwa undani athar za ndugu kuwa na maamuzi ndani ya ndoa. Ndoa ni watu wawili wewe na yeye.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Madam, na wewe miez 8 ukaa kimya tuuu. Wewe unatambua haki zako za msingi kwenye ndoa? Mumeo anahitaji kukalishwa na kuelezwa kwa undani athar za ndugu kuwa na maamuzi ndani ya ndoa. Ndoa ni watu wawili wewe na yeye. Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
usemavyo ni kweli,Sikupenda kutoa siri za ndani kwangu lakini kutokana na hali halisi nimeamua kumweleza baba mkwe,japo sijamweleza kwa undani sana kutokana na jinsia yake ila nimemweleza kuwa mwenzangu kahama chumba miez 8 sasa,Namwomba aongee naye ili anirudishe kwetu,Nadhani baba alinielewa na kumwambia na cha kushangaza kakataa katakata kuwa hayuko tayari kuniacha.
 
hah! ww unamwendekeza na hujui hata kumrubuni m2, hamia huko anakolala ukalale, akiamka nawe amka, akikaa nawe kaa, akirudi kule kwa mwanzo nawe rudi huko, ataona mnafanya utoto atakubali mlale, saa 8 za usiku muwekee mguu juu, mkumbatie then mwambie naomba...! hakyanan hasira kule, ukiwin nipe jb.

Well said, akizingua nambakaje kwi kwiiiiiiiii kwiiiiii

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
pole sana bidada, haya ni mapito 2 jaribu kuwa busy kama unafanya kazi au biashara kuwa busy na mambo yako lazima atajirudi.
 
Well said, akizingua nambakaje kwi kwiiiiiiiii kwiiiiii Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
why should i do that? Naona km nitakua naidhulumu nafsi yangu na atanidharau kwelikweli,naanini tendo la ndoa ni hiari so km ananipenda akae chini na mimi anieleze tatizo na kama hanipendi bora anipe uhuru. Yote mawili hataki
 
why should i do that? Naona km nitakua naidhulumu nafsi yangu na atanidharau kwelikweli,naanini tendo la ndoa ni hiari so km ananipenda akae chini na mimi anieleze tatizo na kama hanipendi bora anipe uhuru. Yote mawili hataki

i was just joking mami wangu.... dont buy that.
 
Pole Shostito.Mtu ambae hayupo kwenye ndoa sio rahisi kutambua ugumu unaokupata.Na usipende kushitaki kwa wazazi mara kwa mara wala usiwape nafasi ya kujua wewe na mme hamlali chumba kimoja.Unaweza kukaa kimya na maisha yakaendeleaa mufanye kama Housemate wako kwa mda ukimsoma kama atajirekebisha.

Pili penda kuifurahisha nafsi yako.Jifikilie angekuwa kaenda nje ya nchi kwa miaka au miezi hiyo 8 ungeishije?Sikushauri upate bwana la hashaaa.hapo utapotea kabisa kikubwa cheza na mwili wako ujimalizie haja zako waulize wa dada wengi wanajua kutumia vidole vyao na vinawasaidia sana.

Ukizoe wala huna haja nae yeye ndo ataweweseka kutaka kumjua bwana yako.mana huta msumbua kabisaa.
Na mwisho wa siku mshindi wewe na atakuja kukuomba msamahaa tu.
 
Anadai sababu kuu ni mimi kutowatii dada zake hivyo ameamua kuhama chumba ili na kukata huduma ya chakula cha usiku kwa miez 8 sasa kunikomoa...

mwambie kwamba wewe utamtii yeye tu ndugu zake utawaheshimu tu.. siyo kukupangia, jaribu kutafuta suluhu kwa wasimamizi wenu wa ndoa na wazazi pia kama nyie wawili imeshindikana kabisa. kama vitu vyote anakutimizia lakini anakwepesha kisu kurudi kwenye ala yake basi we jitahidi kuvumilia na siku akitaka mwambie mkapime huwezi jua. ukishindwa tuwasiliane nikupe mbinu ya mwisho...
 
Anadai sababu kuu ni mimi kutowatii dada zake hivyo ameamua kuhama chumba ili na kukata huduma ya chakula cha usiku kwa miez 8 sasa kunikomoa...

Ni kweli kabisa kuwa mimi na dada zake tumeshindwa kuelewana kabisa kutokana na wao kutaka kunipangia masharti nyumbani kwangu jambo nililolipinga kwa nguvu zote.

...Mume wangu yeye sijui anawaogopa au anawaheshimu hvy kila kitu wanampangia.

Nisaidieni nifanyaje mana uzalendo unakaribia kunishinda na kucheat siwezi kabisa na wala sitakaa niweze...

Nimejaribu kumbembeleza kwa kila khali lakini kasusa, WHAT CAN I DO MY DEAR FRIENDS? Maana upweke umenichosha
Huyo mumeo kama amepata mahali pa chakula cha usiku nawe jitahidi upate mahali pa kukata kiu ila usijulikane. na pia usisahau kutumia kinga na pindi akili ya mumeo ikifunguka na akakurudia nendeni mkapime.
 
Naomba tuhabarishe ndoa yenu ina muda gani? mna watoto/mtoto? hapo mnapoishi ni kwa wazazi au ndugu wa mume? umri wenu upo below 30yrs? 40 years? ukijibu haya naweza kushauri.
 
Kama alivyosema The Boss, nenda anapolala ukiwa uchi na endelea na utaratibu. Nina uhakika mwili wa mwanamke usio na kitu chochote lazima utamshawishi. Usipompata hapo uje unaibiwa.
 
Anadai sababu kuu ni mimi kutowatii dada zake hivyo ameamua kuhama chumba ili na kukata huduma ya chakula cha usiku kwa miez 8 sasa kunikomoa...

Ni kweli kabisa kuwa mimi na dada zake tumeshindwa kuelewana kabisa kutokana na wao kutaka kunipangia masharti nyumbani kwangu jambo nililolipinga kwa nguvu zote.

...Mume wangu yeye sijui anawaogopa au anawaheshimu hvy kila kitu wanampangia.

Nisaidieni nifanyaje mana uzalendo unakaribia kunishinda na kucheat siwezi kabisa na wala sitakaa niweze...

Nimejaribu kumbembeleza kwa kila khali lakini kasusa, WHAT CAN I DO MY DEAR FRIENDS? Maana upweke umenichosha

Katika kipindi chote hicho ni how many times ushawahi kutongozwa we Bi Dada?
 
Huyo anakupenda sema tu lina gubu sijui kisirani,sasa anataka nini,my dear pole nimechukia sana,jidai una mtu na wewe,ukiwezekana uwe unaongea na simu hata na mdogo wako wa kike kimahaba pale unapohisi anaweza akawa around anakusikia.Vinginevyo fanya kweli pata kijana na make sure CONDOM inahusika,kisa cha kuwa na stress za too much nyege na mume unae.Wanaume jamani na sisi hua tunateseka na nyege,why kutesa wake zenu!inahusu,mwanaume kususa ni aibu, mwanaume wa kweli anatatua matatizo ya familia yake na sio kususa!

Sijakuelewa kidogo! Unadhani kisirani cha kutopewa mjengo na mume ukamalizie kwa dereva wenu ofisini kwenye gari ndiyo solution? Ukute jamaa hagongi kweli unajitafutia stress ya maisha mara mia!!! Be wise!
 
hah! ww unamwendekeza na hujui hata kumrubuni m2, hamia huko anakolala ukalale, akiamka nawe amka, akikaa nawe kaa, akirudi kule kwa mwanzo nawe rudi huko, ataona mnafanya utoto atakubali mlale, saa 8 za usiku muwekee mguu juu, mkumbatie then mwambie naomba...! hakyanan hasira kule, ukiwin nipe jb.

nafikiri huyu dada anakosa kitu kimoja"kujiamni" kuna mchungaji mmoja aliwahi kuandaa semina ya ndoa kwa wanandoa.
alichosema yule mchungaji ni kuwa kama huyo anaekuibia mumeo anakuwa nae kwa masaa machache wewe analala kabisa kwako hata kama ni chumba kingine,huyo nyumba ndogo anaweza kummiliki mumeo mpaka anasahau familia je wewe unashindwa nini kummiliki mumeo ambae usiku mzima analala hapo unashindwa nini kumshawishi mumeo akarudi kwako??kama ikibidi kujishusha jishushe ili umpate mumeo.its so simple but labda wewe akili yako inakuambia ni vigumu.
nakushauri fanya kama alivyokushauri huyu kaka hakika utampata mumeo!
kila la heri!
 
lonely heart bado unahangaika na mumeo tu (unless uniambie nakufananisha, maana nilishasoma thread zako za nyumba) kam akakunyima ujue kuna mahali anapewa kwa hiyo uamuzi ni wako kusuka au kunyoa.........
BADILI TABIA yaani huyu dada sijui nimpe roho yangu ama?????????? yaani nilisha mwambia avae sura ya kazi there is time you have to accept what your getting. kama hakupi unyumba kubali kwamba hayo ndo maisha yenu ila think what next?

je nikatafute kitaa kama ni big NO..........GIVE YOUR SELF COURAGE kisha endelea na maisha yako humo ndani. so long as uko ndani kwako mpe shits za kufa mtu. yaani mchunie hadi aogope tena akipita wala usimkohoe, usiangalie amekuja na nani ana fanya nini piga mzigo dukani kwako pata hela yako jipigilie kipamba ile mbaya............jipe outing za kufa mtu na kid wako. ila yeye mchunie hivi ulishaona ile stail ya unapika unakula na mwanao halaf yy unamwacha bluu??

hivi wewe huwez kuwa ngangari enh? kumbuka ulikuwa secretar umechuma to such extent niwajuavyo mimi mawifi wa kimachame ni kichefuchefu kama kiroba cha mavi so waone gunia la misumari kwamba hawabebeki.

ngoja nikwambie vita yak ni kali kwasababu ina involvu watu wengi but unaweza ukawa defeat kirahs sana husem na mtu kwa heri wala kwa shari halafu humjali mtu ila unawaambia kabisa mtu asije kwako na akija ataisoma namba.

khaaa! nilishawah kumuignore mtu hadi ali hire private investigator manake alihis namuua ila it worked na nilikuwa kauzu ile mbaya, yaani unakuja na chungwa unakula hapo humwambii mtu karibu akitaka msosi atafute kilichopikwa ndani ila asiniulize na sikujali akikuta kipo mezania basi ale na wengine na bado nilikuwa mtu wa kujitoa out ile mbaya wivu ulipomkolea alishuka mwenyewe.

wewe hebu kwanza nije pm nikupe mbinu
 
kama kuipigania ndoa yako wewe dada umejitahidi. Mungu akusaidie tu uvuke maana nguvu uizowekeza tangu kipindi kile cha ujauzito ni nyingi.

Umeshajifungua??

Wee mwangalie tu atarudi mwenyewe.

yaani Kongosho huyu dada sasa ni mwaka wa pili anaipigania ndoa yake lol!
hadi nimeogopa aisee.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom