Mume wangu kakata mawasiliano ya 'Chakula cha Usiku' kwa miezi 8, Nifanyeje?

Huna bao, kakuchoka siku nyingi, dada ni mlango tu wa kutokea.

Hasira gani hizo za miezi minane kisa dada, ungemuudhi mamake je????????
Jirembe jikwatue kila kukicha, achana na kumbembeleza, nunua nguo zako nzuri, do make up, nywele zipendezeshe, punguza sonono, go out (siyo wanaume) jiunge na forums mbalimbali, anzisha project, usifue nguo zake, jitie unamu ignore kwa kumpa cold shoulder babu kubwa atarudi mwenyewe, hapo nawe utajitia kuringa kwanza. Pima HIV test kabla hajarudi bedroom kwako.
 
Pole sana mdada huyu jamaa wako hajui thamani yako kabisa ndio maana ana fanya hivyo!

Hebu jaribu kuongea na wazazi wake kwanza kabla ya kufanya huamuzi wowote!
***U*************************
yan dunia hii ina watu watofauti sana, kuna jamaa alikuja kujisifu hapa anamnyima unyumba mkewe nilimshangaa sana.

Sasa na huyu nae sijui anataka mkewe afanyeje? Ninacho jiuliza yeye unyumba ana pata wapi kama asaliti ndoa? Ni bora kumuacha tu for good mtoto wa watu kuliko kumtesa kiasi hiki.
Wewe wazazi wa nini?kwanza hao wazazi wake ningewabutua na hao dada zake wangeimba sayuni
 
Pole sana mdada huyu jamaa wako hajui thamani yako kabisa ndio maana ana fanya hivyo!

Hebu jaribu kuongea na wazazi wake kwanza kabla ya kufanya huamuzi wowote!
***U*************************
yan dunia hii ina watu watofauti sana, kuna jamaa alikuja kujisifu hapa anamnyima unyumba mkewe nilimshangaa sana.

Sasa na huyu nae sijui anataka mkewe afanyeje? Ninacho jiuliza yeye unyumba ana pata wapi kama asaliti ndoa? Ni bora kumuacha tu for good mtoto wa watu kuliko kumtesa kiasi hiki.
Wewe wazazi wa nini?kwanza hao wazazi wake ningewabutua na hao dada zake wangeimba sayuni.chezea natalia
 
Wewe wazazi wa nini?kwanza hao wazazi wake ningewabutua na hao dada zake wangeimba sayuni.chezea natalia

Wakwe zangu hawasemi nyoo.ni wazungu na pesa zao na hawanielezi kitu.mimi nimezaluwa Enzi Za nyerere hakuna kuku wa kizungu enzi hizo.ugali wa yanga na mkate wa siha.chezea natalia
 
Kweli wewe ni Natalia;4768535]
kweli unaweza kudliki kupiga wakwe zako, be serious.

Ni bora akawambie wazazi wake jamaa wanaweza pata ufumbuzi.
Wewe wazazi wa nini?kwanza hao wazazi wake ningewabutua na hao dada zake wangeimba sayuni.chezea natalia[/QUOTE]
 
Duuu umetisha, kwahiyo ata wakwe zako wazungu wakizingua una wabutua?

Wakwe zangu hawasemi nyoo.ni wazungu na pesa zao na hawanielezi kitu.mimi nimezaluwa Enzi Za nyerere hakuna kuku wa kizungu enzi hizo.ugali wa yanga na mkate wa siha.chezea natalia
 
Hapo cha Muhimu ni peleka kwa wazazi wenu pamoja na wazee watakao weza kumshauri....na kama wewe unateleza mahali jaribu kurekebisha.

Msipokuwa makini mtaishia kushindana na mwisho kutofikia suluhu na kuwatesa watoto wenu. Pia mnaweza jikuta mnaingia katika janga la Ukimwi kwani kila mmoja atataka akapooze nje na mwisho kuishia kubaya.

Kaa chini tafakari mapungufu yako jaribu kurekebisha huku ukitafuta watu wa kuweza kukaa na mumeo.
Wazazi wa nIni?ningewabutua , move on
 
Duuu umetisha, kwahiyo ata wakwe zako wazungu wakizingua una wabutua?
Marriage is an institution Ina mipaka na sheria.unatakiwa waelewe mwanzo wa uhusiano.siku moja mama mkwe wangu alikuja asubuhi kugonga mlango hakupiga simu ,anataka kuwaona watoto.watoto wapo Shule ,nikafungua mlango nikamwambia mbele ya mwanae ' she was invading my privacy and I did not like it.ali apologize, .
 
Kweli wewe ni Natalia;4768535]
kweli unaweza kudliki kupiga wakwe zako, be serious.

Ni bora akawambie wazazi wake jamaa wanaweza pata ufumbuzi.
Wewe wazazi wa nini?kwanza hao wazazi wake ningewabutua na hao dada zake wangeimba sKayuni.chezea natalia
[/QUOTE]
biblia inasema nisiogope binadamu
 
kama kuipigania ndoa yako wewe dada umejitahidi. Mungu akusaidie tu uvuke maana nguvu uizowekeza tangu kipindi kile cha ujauzito ni nyingi.

Umeshajifungua??

Wee mwangalie tu atarudi mwenyewe.
Ndoa haipiganiwi ok.
 
This is a problem midada na ku hookup kaka zao.leave immediately
Haya sasa natalia is back,nirudi kwa lonely heart, hiyo ni ndo yako tafuta muda mkiwa wawili ask him honestly ana mapenzi na wewe au kaishapata kwingine
 
kama kuipigania ndoa yako wewe dada umejitahidi. Mungu akusaidie tu uvuke maana nguvu uizowekeza tangu kipindi kile cha ujauzito ni nyingi.

Umeshajifungua??

Wee mwangalie tu atarudi mwenyewe.

Na asiporudi? Why asisepe halafu jamaa akijisikia atamtafuta wafanye reconcilliation ya mahesabu ya kilichobaki (naniliu haiishi, au sio?), then waone kama wanaanza na kukwatua, haro ana wanapanda tu?
Wonders will never cease, anahitaji msaidizi huyo baba. Hata ukimuuliza mama mkwe atakuambia usinichoshee mwanangu, tafuta kidumu!
 
Ni wewe kweli?

Babu DC!!!
 
Huna bao, kakuchoka siku
nyingi, dada ni mlango tu wa kutokea.

Hasira gani hizo za miezi minane kisa dada, ungemuudhi mamake je????????
Jirembe jikwatue kila kukicha, achana na kumbembeleza, nunua nguo zako
nzuri, do make up, nywele zipendezeshe, punguza sonono, go out (siyo
wanaume) jiunge na forums mbalimbali, anzisha project, usifue nguo zake,
jitie unamu ignore kwa kumpa cold shoulder babu kubwa atarudi mwenyewe,
hapo nawe utajitia kuringa kwanza. Pima HIV test kabla hajarudi bedroom
kwako.

Me love this. Bidada follow this advice.
 
hah! ww unamwendekeza na hujui hata kumrubuni m2, hamia huko anakolala ukalale, akiamka nawe amka, akikaa nawe kaa, akirudi kule kwa mwanzo nawe rudi huko, ataona mnafanya utoto atakubali mlale, saa 8 za usiku muwekee mguu juu, mkumbatie then mwambie naomba...! hakyanan hasira kule, ukiwin nipe jb.

kuna watu mnajua kushauri! Hakuna anayeifahamu suluhu ya ndoa zaidi ya wanandoa!
 
Nisaidieni nifanyaje mana uzalendo unakaribia kunishinda na kucheat siwezi kabisa na wala sitakaa niweze...

Wewe shujaa mwepesi nakupongeza sana, embu ni PM nikujaze mambooozii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom