Mume Mvivu

Zlatanmasoud

Member
Dec 19, 2010
71
15
Mke mmoja aliyechoka na tabia ya Mume wake ya kupenda kuchat na kuangalia net kwenye simu yake alitoa kali ya mwaka. Mume huyo hakua na muda wa kuzungumza na mkewe, kila mara yeye na simu yake tu. Ndipo Mkewe alipomuuliza.
mke: Honey unayo emall?
mume: Ndio.
mke: Basi naomba address yake ili nikitaka kukuambia jambo nikutumie email.
 
Yap! Hata ningekuwa mm ningefanya hvyo. Maybe tungeelewana maana hataki kuzungumza muda wote yuko busy so akiona mail atajua wife anasemaje.
 
Back
Top Bottom