Mume Kuvaa Kanga - Wakati Gani Unafaa?

1.Kila kitu kinaweza kuwa sawa ni jinsi wewe unavyochukulia,hakuna sehemu iliyoandikwa ni kosa mwanaume kuvaa kanga.
2.Akiwa nyumbani anaweza vaa si sehemu nyingine yeyote
3.Haina uhusiano wa general labda tu waweza kuta mwanamke mwingine kumuona mwanamme ina m-turn on as in inamfanya amuone mwanamume wake sexy na kutamani tendo la ndoa,mwingine anaona mumewe anapendeza,mwingine ni ya kumpunguzia adha za kuvua nguo kila anapotaka kufanya mapenzi......Lol:-*:playball:

Mmh? What is your experience on this?
 
Superman,

Mambo ya kuvaa kanga na vitenge kwa wanaume ni desturi za watu wa mwambao, watu wa pwani.
Na kila kitu kina wakati wake. Hutamkuta mwanamme anavaa kanga au kitenge na akaenda nje. Ni vazi la ndani ya nyumba. na hasa huvaliwa kama ulivyoainisha kwa wana ndoa.

Ni kiashirio kuwa sasa kazi za kutafuta kijio, mbio za kimaisha zimeisha na mtu yuko nyumbani ametulia. Joto kali, kwa hiyo kanga ni nyepesi na italeta hali ya raha, mapumziko.

Pia ni mbwembwe za ndoa. wanandoa hufundwa, kwa hiyo watu pwani wanapooa huwa hawatoki toki nje kwa siku tatu, au saba.
kwa hiyo wanapokuwa ndani ni kushughulika tu, kula na kushughulika..kufurahia tendo la ndoa. hayo ni ya zamani ..leo watu wanachakachuana kwanza, utamu ukizidi ndio wanaamua waoane kwa hiyo leo haya ya kanga na vitenge yanaanza kupoteza maana yake ya asili.

Imetulia.

Tuko pamoja Mkuu.
 
1.akina mama mara nyingi nio huwapa waume zao wavae kanga.
2.si tabia nzuri kwa mwanamme kupenda kuvaa mavazi ya kikekike.
3.wakati fulani mkeo akikupa kanga anatarajia uikatae,lakini anashangaa unavyoichangamkia.

Mkuu unaweza kutoa ufafanuzi kidogo kwenye point zote 3.
 
i used to see my papa akivaa kitenge na kanga nilipokuwa bado nipo home,alikuwa anavaa akiwa ametoka kuamka asubuhi au hata jioni akiwa home.ila bila ya shati juu wala fulana.
lakini haikumzuia kuwa na wanawake zaidi ya wanne na kimada kila mtaa,kwahiyo sidhani kama ina msaada wowote kwenye kuchachandulisha penzi.


Aiseeeeeeee! Hii Baba yako ilikuwa na ibilisi..........lakini kwa wazee wa zamani ndio alikuwa Kijogoo wa mtaa
 
Wewe kweli ni tabu tupu maana hata huo utamaduni wa Mtanzania huujui.

Kwani kanga au kitenge mtu anavaa na kwenda nacho baa au hoteli.

Kwa taarifa yako mwarabu havai kanga wala kitenge nadhani wewe ndiyo kwanza umeingia mjini karibuni kutoka bush hujui hata tafauti ya tamaduni za waarabu na waswahili.


Hizi za Uso na upper cuts.........sitiii neno hapa
 
kwan wewe unaona atafaa muda gan au co me najua wakat anatoka kupga ki2
 
Wakubwa wenzangu ukimuona kidume kimepiga khanga hiyo ni avatar image! Kwamba any time game inaweza kuchezwa, so far kama umefika ugeni kwa mtu ukaiona hiyo image changanya kwato!
 
Wakubwa wenzangu ukimuona kidume kimepiga khanga hiyo ni avatar image! Kwamba any time game inaweza kuchezwa, so far kama umefika ugeni kwa mtu ukaiona hiyo image changanya kwato!

kwi kwi kwi ,kumbe
 
Nilioa 2005 .... Nimenunua sana khanga kama zawadi,na kama maombi ya msamaha kwa mke wangu.. Madoti kibaooo

sijawahi kuvaa hata mara moja vazi hilo...nadhani ni utaratibu ama utamaduni wa makabila fulani,au watu wa ukanda fulani...
 
Back
Top Bottom