Mume Kuvaa Kanga - Wakati Gani Unafaa?

baadhi hutumia khanga za wake zao kama taulo la kujifutia maji baada ya kuoga ila wengine ni feelings tu na labda desturi, kuna wababa wengine wakisafiri lazima wachukue kanga/kitenge cha mama na wakifika huko waendako kama ni hotelini hukitoa ndani ya mkoba na kkukiweka kitandani muda wote hadi aondike humo hotelini. nimeona na wengine huchukua mpaka nguo za ndani za wake zao kama chupi nk. wengine vitu vidogovidogo kama bangili, mikufu nk. lakini wote hao hawana sababu zaidi ya hisia tu kuwa wakishika ama kivaa vitu hivyo wanahisi hali ya nyumbani zaidi na hata wengine kuvuta kumbukumbu za kitandani kabisa, wengine ni self esteem tu unaweza kulinganisha na kuringia wwake/waume zao. in my opinion, vyote ni vyema na recommended. ila kanga kama khanga haina impact yoyote, muhimu ni hisia iliyosababisha mwenzio ajisikie kuvaa nguo yako
Kuna m2 nilikua nae chuo,nilipoingia bafuni nikamkuta anavaa chup ya KIKE
 
Huko Zenji wanaita MSULI yaani mwanaume akivaa kanga yupo home, ready at anytime kula mzigo, mhongo ukienda hewani anvuta tu mamaa
anampa kitu na mamaa utakuta nae kavaa kangaa au urojorojo hana chupi, free ni kunyenyua tu na kuingiza kama Maasai

dah,bila maandaliz?
 
Desturi za watu wa pwani ambazo mimi naona si za kufuatilia sana. Kanga ukiiangusha inakuwaje? wenzetu ndani wanavaa kale ka ngu keusi kuzuia athari za mambo kama hayo
 
baadhi hutumia khanga za wake zao kama taulo la kujifutia maji baada ya kuoga ila wengine ni feelings tu na labda desturi, kuna wababa wengine wakisafiri lazima wachukue kanga/kitenge cha mama na wakifika huko waendako kama ni hotelini hukitoa ndani ya mkoba na kkukiweka kitandani muda wote hadi aondike humo hotelini. nimeona na wengine huchukua mpaka nguo zandani za wake zao kama chupi nk. wengine vitu vidogovidogo kama bangili, mikufu nk. lakini wote hao hawana sababu zaidi ya hisia tu kuwa wakishika ama kivaa vitu hivyo wanahisi hali ya nyumbani zaidi na hata wengine kuvuta kumbukumbu za kitandani kabisa, wengine ni self esteem tu unaweza kulinganisha na kuringia wwake/waume zao. in my opinion, vyote ni vyema na recommended. ila kanga kama khanga haina impact yoyote, muhimu ni hisia iliyosababisha mwenzio ajisikie kuvaa nguo yako

with all these experinces i wonder why ar u still miss Judith mhh. .....and not Mrs....???
 
1. Si utamaduni wa mtanzania hata kidogo.

2. Hakuna faida yoyote kuvaa kitende cha mwanamke na ni aibu mwanaume mzima kutembea umejifunda kanga pekee yake. Mwanamke mwenyewe haruhusiwi kuvaa kanga pekee yake nje ya chumba chake. Labda avae huko ndani.

3. Ni tabia tulizo ridhi toka kwa waarabu.

Tabu tupu,

Itakuwa umesoma maoni ya bitimkongwe # 19.

Kwa hali yoyote ile maoni yako yanaonesha kuwa wewe si mtu wa pwani. Mtu wa mwambao.

Mkuu, utamaduni wa kitanzania ni upi? Kumbuka Tanzania kama nchi ina makabila mengi na pia watu wa visiwani, Mafia, Unguja, Pemba. Makabila ya mwambao na pwani yana aina inayolingana ya mapishi, vivazi, tabia nk. Makabila ya ndani ya nchi, pia hutokea mengine yakakurubiana katika desturi, mavazi,mapishi,mitindo ya ngoma zao. Kwa hiyo, Utamaduni wa kitanzania ni mwingi, mpana na aina aina tofauti. Kama ilivyo nchi yenyewe.

Uki-define utamaduni wa kitanzania kwa reference ya kabila lako tu basi utawaacha nje watu, makundi, makabila mengi.

Lakini nafikiri sote tutakubaliana kuwa kanga na vitenge ni sehemu ya utamaduni wa kitanzania. Kanga kwa watu wa pwani, mwambao na vitenge zaidi kwa wenyeji wa ndani, bara.

kwa vile si katika mazoea ya watu wa kabila lako, haina maana kuwa wengine hawana haki ya kuvaa kanga au vitenge.

Waarabu hawavai kanga, huvaa seruni au vikoi.
 
Labda swali hili nitalielekeza kwa Wenzi ambao wanaishi pamoja:

1. Je ni sawa kwa mwenzi wa kiume kuvaa au kujifunga kanga/kitenge? (Si kikoi plz)
2. Na kama ni sawa, ni wakati gani mwafaka wa kufanya hivyo?
3. Je kujifunga Kanga/Kitenge kuna nafasi gani katika mahusiano?

Superman,

Mambo ya kuvaa kanga na vitenge kwa wanaume ni desturi za watu wa mwambao, watu wa pwani.
Na kila kitu kina wakati wake. Hutamkuta mwanamme anavaa kanga au kitenge na akaenda nje. Ni vazi la ndani ya nyumba. na hasa huvaliwa kama ulivyoainisha kwa wana ndoa.

Ni kiashirio kuwa sasa kazi za kutafuta kijio, mbio za kimaisha zimeisha na mtu yuko nyumbani ametulia. Joto kali, kwa hiyo kanga ni nyepesi na italeta hali ya raha, mapumziko.

Pia ni mbwembwe za ndoa. wanandoa hufundwa, kwa hiyo watu pwani wanapooa huwa hawatoki toki nje kwa siku tatu, au saba.
kwa hiyo wanapokuwa ndani ni kushughulika tu, kula na kushughulika..kufurahia tendo la ndoa. hayo ni ya zamani ..leo watu wanachakachuana kwanza, utamu ukizidi ndio wanaamua waoane kwa hiyo leo haya ya kanga na vitenge yanaanza kupoteza maana yake ya asili.
 
Ni sawa mwaya si ndo mahaba ya pwani jamani. Unavaa ili pia maungo nyeti yapumue mwaya. ukivaa kanga huna haja ya kuvaa kitu ndani ili upate upepo pia. Inarahisisha pia urahisi wa mahaba.

Mmmh very interesting . . .
 
i used to see my papa akivaa kitenge na kanga nilipokuwa bado nipo home,alikuwa anavaa akiwa ametoka kuamka asubuhi au hata jioni akiwa home.ila bila ya shati juu wala fulana.
lakini haikumzuia kuwa na wanawake zaidi ya wanne na kimada kila mtaa,kwahiyo sidhani kama ina msaada wowote kwenye kuchachandulisha penzi.

Nadhani kwa waume wa Mwambao huenda Kanga/Kitenge au Kikoi/Musuli inaweza ikawa ni kawaida.

Sina uhakika kama inachukuliwa kama equivalent ya Pajamas!

Hili la Mzee kuwa na wake 4 na Kimada kila mtaa . . . Du! Ni kwa nini hasa ikawa hivyo?
 
baadhi hutumia khanga za wake zao kama taulo la kujifutia maji baada ya kuoga ila wengine ni feelings tu na labda desturi, kuna wababa wengine wakisafiri lazima wachukue kanga/kitenge cha mama na wakifika huko waendako kama ni hotelini hukitoa ndani ya mkoba na kkukiweka kitandani muda wote hadi aondike humo hotelini. nimeona na wengine huchukua mpaka nguo za ndani za wake zao kama chupi nk. wengine vitu vidogovidogo kama bangili, mikufu nk. lakini wote hao hawana sababu zaidi ya hisia tu kuwa wakishika ama kivaa vitu hivyo wanahisi hali ya nyumbani zaidi na hata wengine kuvuta kumbukumbu za kitandani kabisa, wengine ni self esteem tu unaweza kulinganisha na kuringia wwake/waume zao. in my opinion, vyote ni vyema na recommended. ila kanga kama khanga haina impact yoyote, muhimu ni hisia iliyosababisha mwenzio ajisikie kuvaa nguo yako

Mmmh, hii ya kutumia kanga kama taulo ndo naisikia sasa. Sijui hata kama inaweza kukausha maji.

Suala la hisia nakubaliana nalo na inatofautiana kati ya mtu na mtu.

Ila nimewahi kusikia mume kijana moja akidaiwa huwa anavaa chupi za mkewe once a while. Hii nayo sijui imekaaje?
 
Kama wife anapenda uvae kanga vaa tu mwaya
ukiwa umepumzika ndani funga yako ,ukitoka kuoga waweza kuvaa mradi tu uko confortable

Nadhani waume vijana wengi wa kileo wanapendelea Bukta zaidi kuliko kanga/kitenge au pajama. Sijui upande wa vijijini.
 
labda swali hili nitalielekeza kwa wenzi ambao wanaishi pamoja:

1. Je ni sawa kwa mwenzi wa kiume kuvaa au kujifunga kanga/kitenge? (si kikoi plz)
2. Na kama ni sawa, ni wakati gani mwafaka wa kufanya hivyo?
3. Je kujifunga kanga/kitenge kuna nafasi gani katika mahusiano?

1.akina mama mara nyingi nio huwapa waume zao wavae kanga.
2.si tabia nzuri kwa mwanamme kupenda kuvaa mavazi ya kikekike.
3.wakati fulani mkeo akikupa kanga anatarajia uikatae,lakini anashangaa unavyoichangamkia.
 
1. Si utamaduni wa mtanzania hata kidogo.

2. Hakuna faida yoyote kuvaa kitende cha mwanamke na ni aibu mwanaume mzima kutembea umejifunda kanga pekee yake. Mwanamke mwenyewe haruhusiwi kuvaa kanga pekee yake nje ya chumba chake. Labda avae huko ndani.

3. Ni tabia tulizo ridhi toka kwa waarabu.

Unaweza kufafanua zaidi? Maana kwa Watu wa Pwani inaweza kuwa ni Utamaduni wao.

Pia kuna baadhi ya wanaume kwa sasa wanashona hata nguo kwa kutumia vitenge. Sina uhakika na kanga.
 
hapo kwenye rangi, kuNa kiongozi wa sirikali alizua kizaza baada ya kutoa hilo vazi akiZAni ni leso ya kawaida. Sikubaliani just a myth.

LOL . . . Ilikuwa ni mkutano wa kampeni nini? alidhani ni leso? Au kuna namna?
 
Waacheni wenye kujua maana wavae,msojua maana vaeni mibukta yenu ya jeans
 
Huko Zenji wanaita MSULI yaani mwanaume akivaa kanga yupo home, ready at anytime kula mzigo, mhongo ukienda hewani anvuta tu mamaa
anampa kitu na mamaa utakuta nae kavaa kangaa au urojorojo hana chupi, free ni kunyenyua tu na kuingiza kama Maasai

Mkuu ukizungumzia Msuli/Kikoi ni vazi la Wanaume wa Pwani na si la nyumbani tu wengine huvaa hata nje ya nyumbani.

Issue au hoja ni juu ya Kanga. Niaje?
 
Back
Top Bottom