Multiple deaths reported at shooting in Munich shopping mall

Hivi nawewe ni Great thinker? Unaonekana una akili ndogo kama za Kiroboto,comment yako imethibitisha kua kichwani wewe ni mtupu empty,unaongozwa na ki chuki kuliko ki akili.
Shehe walilipua pale madina.. Mlilialia sana humu
 
Ujerumani imekuwa ikipokea na kutetea wahamiaji wa Kiislam, Waislam wameiripua? Kama ni kweli basi kunguru hafugiki
waliofanya hilo tukio ni magaidi na sio waislam ........na ikibidi tuwaachie wenyew wajeruman mana halituhusu na hata lingetuhusu kamwe tusingeliweza
 
Bado nasisitiza kuwa haya mambo si ya kushangaza barani ulaya hasa kwa mtu mwenye utimamu wa akili.....

Maelfu ya wakimbizi kutoka mashariki ya kati ambako msamiati wa amani na ubinaadamu umeshapotea vichwani mwao....huku wakionekana kukata tamaa na maisha kwani hawana cha kupoteza mwao....mambo kama haya yalitarajiwa.......

Huwezi kuwapokea wakimbizi ambao wanajua mateso yao na mahangaiko yao yamesababishwa na wewe alafu wewe ukabaki salama.......
Yaani ni sawa na mfano wa mtu ambaye umemgombanisha na ndugu zake kiasi cha kuondosha amani miongoni mwao alafu mtu huyo unampa hifadhi kwenye familia yako yenye amani.....hapo unadhani nini kitatokea....!!???

Dunia haipaswi kupumbazwa na haya yanayotokea sasa hivi balani ulaya kupitia CNN na BBC bali pia wanapaswa kuwafikiria mayatima na walemavu waliobakia huko mashariki ya kati yaliyosababishwa na makombora ya NATO na Marekani nyuma ya kichaka cha UGAIDI NA DEMOKRASIA........

Bahati mbya propaganda zimetawala kwenye vyombo vya habari vya magharibi kiasi ulimwengu mzima kumuonea huruma mzungu aliyechomwa kisu....kuliko mtoto au mwanamke asiyekua na hatia aliyesambaratishwa na makombora ya NATO......na Marekani.......
I dont buy your story
 
"Several dead and wounded" in Munich attack, shooters on the run, German police tell AP news agency.

Source: Aljazeera.com

Nilidhani umeandika Wewe kama Wewe hiki Kiingereza Mkuu kumbe ni copy and paste kutoka Al Jazeera. Ngoja niangalie huko chini kama kuna mahala umechangia na Wewe kwa " ngeli " au umebwaga tu hapa na ukatoka zako " nduki " na kurudi kule " home ground " kwetu kwenye Kiswahili chetu.
 
Eheee... Vipi mnavosikia na kuona katika news NDEGE F16 za nato na za Unco sam zikishambulia nchi za Iraq Libya Syria na Afghan" jee huko hakuna binaadamu au roho za watu?????????????????????

na bado wataisoma namaba kinyumenyume safari hii...!!!
Jay One Pokofame cosM kama to Din tu Dan !! wenyewe wasema its the mater of TIME !!!
Why wasimgeeenda kuomba asylum
saudi arabia au dubai kwa waislam wenzao?
 
Angela Merkel atavuna alichopanda, aliwakaribisha wakimbizi wengi kutoka nchi za uarabuni. Ona sasa

Mkuu, bado haijathibitishwa kama hili shambulizi limefanywa na gaidi au mzungu mwenye msimamo mkali ambae hapendi wageni.

Idadi ya watu waliokufa ni ndogo sana (hadi sasa watu 9) kwa shambulizi la bunduki, hivyo kuonyesha kwamba huenda muuaji walikuwa akichagua watu wa kuwauwa.

Tusubiri taarifa kamili.
 
eeee jamanii kweli !! ila sema polepole kwa sauti ya chini..MAANA KUNA WATU HUMU wakikusikia watawa TETEA wee..
watu wahafikirii sijui dunian kuna nchi takriban 196 lakini hawajamaa waache zooote waje waipige France..... Germany
.....USA.....MBNA sio China ambako kuna wakristo wengi kuliko waishio ulaya nzima.....
 
Nilidhani umeandika Wewe kama Wewe hiki Kiingereza Mkuu kumbe ni copy and paste kutoka Al Jazeera. Ngoja niangalie huko chini kama kuna mahala umechangia na Wewe kwa " ngeli " au umebwaga tu hapa na ukatoka zako " nduki " na kurudi kule " home ground " kwetu kwenye Kiswahili chetu.
mi mwenyewe navunja vizuri lugha ya mzungu usiogope @Genta
 
The current security crisis in Germany may prove wrong the decision of Angela Merkel to welcome asylum seekers from middle east and North Africa. cc Gentamycine

Source ya hicho Kiingereza chako please.
 
Back
Top Bottom