Multiple deaths reported at shooting in Munich shopping mall

kui

JF-Expert Member
Mar 2, 2009
6,467
6,494
download.jpg

BBuFp0l.jpg

Munich, July 22

(Reuters) - Germany's Muencher Abendzeitung reported that up to 15 people were killed in a shooting in a shopping mall in the southern city of Munich.

TV images showed dozens of emergency vehicles outside the mall.

The shopping center is next to the Munich Olympic stadium, where the Palestinian militant group Black September took 11 Israeli athletes hostage and eventually killed them during the 1972 Olympic Games.

Friday's attack took place a week after a 17-year-old asylum-seeker wounded passengers on a German train in an ax rampage claimed by Islamic State. Bavarian police shot dead the teenager after he wounded four people from Hong Kong on the train and injured a local resident while fleeing.
d1c5e9ff-a239-42dc-b7a0-a7248f18aee2

German Justice Minister Heiko Maas told Bild newspaper's Friday edition that there was "no reason to panic but it's clear that Germany remains a possible target".

The incidents in Germany follow an attack in Nice, France, on Bastille Day in which a Tunisian drove a truck into crowds, killing 84. Islamic State also claimed responsibility for that attack.
 
I hope this has nothing to do or connected with islam or muslim,chezea wengine lakini hawa Germans wakibadilika ni wakatili kuliko ISIS ,ndugu zetu waislam kama mmefanya na mkiendelea kufanya haya sio siku nyingi genocide itawahusu
 
1469210938827.jpg

Hizo juu hii ya mwisho ni body parts?, oh my!
 
Mazombi katika ubora wao, unawaruhusu kuingia kwako ovyo halafu wanakushushia mzigo. Wale sio wa kuhurumiwa maana ni mzigo, kwao wameshindwa kuishi kama mandugu tena kwa uongozi wa dini.

Marekani waisome mapema, wapo katika njia panda, aidha wamskilize Trump na kujilinda au na wao wajikute waliko wenzao.
 
Najua walichowafanya kule Kenya hamtasahu na mmejifunza, na nilishangaa sana after University Student and mall massacres sijui kwanini hamkuingia mtaani kutoa justice,niliwasifu sana kwa ustaarabu wenu maana nilijua ndio mwisho wa wasomali ndani ya Kenya
 
View attachment 369437
View attachment 369452

Munich, July 22

(Reuters) - Germany's Muencher Abendzeitung reported that up to 15 people were killed in a shooting in a shopping mall in the southern city of Munich.

TV images showed dozens of emergency vehicles outside the mall.

The shopping center is next to the Munich Olympic stadium, where the Palestinian militant group Black September took 11 Israeli athletes hostage and eventually killed them during the 1972 Olympic Games.

Friday's attack took place a week after a 17-year-old asylum-seeker wounded passengers on a German train in an ax rampage claimed by Islamic State. Bavarian police shot dead the teenager after he wounded four people from Hong Kong on the train and injured a local resident while fleeing.
d1c5e9ff-a239-42dc-b7a0-a7248f18aee2

German Justice Minister Heiko Maas told Bild newspaper's Friday edition that there was "no reason to panic but it's clear that Germany remains a possible target".

The incidents in Germany follow an attack in Nice, France, on Bastille Day in which a Tunisian drove a truck into crowds, killing 84. Islamic State also claimed responsibility for that attack.

Wazungu wacha wafe tu maana walijifanya wanaroho safi na kuwapokea wakimbiz wa kiarabu,sasa waarabu wanawanyima raha wazungu kwenye nchi zao wenyewe.Waarabu sio watu.
 
Natafakari jinsi Wajeruman watakavyojibu mapigo hadi roho inaenda mbio. Aysee kile ndio kizazi kikatili kuwahi kutokea ktk dunia hii. Sasa kama jamaa wamechokozwa huu ni moto wa gesi umewashwa!
 
Bado nasisitiza kuwa haya mambo si ya kushangaza barani ulaya hasa kwa mtu mwenye utimamu wa akili.....

Maelfu ya wakimbizi kutoka mashariki ya kati ambako msamiati wa amani na ubinaadamu umeshapotea vichwani mwao....huku wakionekana kukata tamaa na maisha kwani hawana cha kupoteza mwao....mambo kama haya yalitarajiwa.......

Huwezi kuwapokea wakimbizi ambao wanajua mateso yao na mahangaiko yao yamesababishwa na wewe alafu wewe ukabaki salama.......
Yaani ni sawa na mfano wa mtu ambaye umemgombanisha na ndugu zake kiasi cha kuondosha amani miongoni mwao alafu mtu huyo unampa hifadhi kwenye familia yako yenye amani.....hapo unadhani nini kitatokea....!!???

Dunia haipaswi kupumbazwa na haya yanayotokea sasa hivi balani ulaya kupitia CNN na BBC bali pia wanapaswa kuwafikiria mayatima na walemavu waliobakia huko mashariki ya kati yaliyosababishwa na makombora ya NATO na Marekani nyuma ya kichaka cha UGAIDI NA DEMOKRASIA........

Bahati mbya propaganda zimetawala kwenye vyombo vya habari vya magharibi kiasi ulimwengu mzima kumuonea huruma mzungu aliyechomwa kisu....kuliko mtoto au mwanamke asiyekua na hatia aliyesambaratishwa na makombora ya NATO......na Marekani.......
 
"Several dead and wounded" in Munich attack, shooters on the run, German police tell AP news agency.

========================

Details begin to emerge about the gunman in the Munich massacre amid speculation about his motives.

Police say the Munich gunman was an 18-year-old German-Iranian who had been living in the city.

Munich police said the teenager's motive was "completely unclear".

"The perpetrator was an 18-year-old German-Iranian from Munich," police chief Hubertus Andrae told reporters after the massacre.

He had lived in the city "for a while", Mr Andrae said.

3dfd50f87b263ea85a8d342d8868d9ebfdc6d9c8e1e86005fe15c030832503bc_3749576.jpg

3dfd50f87b263ea85a8d342d8868d9ebfdc6d9c8e1e86005fe15c030832503bc_3749576.jpg

e3b5e8c001f4f6bfc11503560decbd394cbb49df0fc7ae0b89c843949c0f84fc_3749630.jpg

e3b5e8c001f4f6bfc11503560decbd394cbb49df0fc7ae0b89c843949c0f84fc_3749630.jpg

play-icon.png

Video: Obama Pledges U.S. Support To Germany

His identity was established on the basis of witness statements and closed circuit television.

The body was found in a side street, not far from the shopping mall where much of the shooting happened.

Police say the suspect was not known to authorities and officers were searching his apartment for clues.

Speculation about the gunman's motives ranged from a right-wing extremist attack to an assault inspired by Islamic State.

7a7cb37b4f2bd9cba8c1889022d58a7ccd83f0baaca9599a4248217f2e503e6a_3749609.jpg

7a7cb37b4f2bd9cba8c1889022d58a7ccd83f0baaca9599a4248217f2e503e6a_3749609.jpg

play-icon.png

Video: The Moment Munich Gunman Opens Fire

Some witnesses describe hearing him yelling anti-foreigner insults before opening fire outside the McDonald's restaurant, near to the mall.

In a later conversation with a witness, recorded on a mobile phone, the attacker said he is a German citizen.

Other media reported that the gunman had been bullied for "several years" and was seeking revenge.

US intelligence officials said initial reports from their German counterparts indicated no apparent link between the suspect and Islamic State or other militant groups.

Two others who fled the area quickly were investigated but had "nothing to do with the incident".
 
Bado nasisitiza kuwa haya mambo si ya kushangaza barani ulaya hasa kwa mtu mwenye utimamu wa akili.....

Maelfu ya wakimbizi kutoka mashariki ya kati ambako msamiati wa amani na ubinaadamu umeshapotea vichwani mwao....huku wakionekana kukata tamaa na maisha kwani hawana cha kupoteza mwao....mambo kama haya yalitarajiwa.......

Huwezi kuwapokea wakimbizi ambao wanajua mateso yao na mahangaiko yao yamesababishwa na wewe alafu wewe ukabaki salama.......
Yaani ni sawa na mfano wa mtu ambaye umemgombanisha na ndugu zake kiasi cha kuondosha amani miongoni mwao alafu mtu huyo unampa hifadhi kwenye familia yako yenye amani.....hapo unadhani nini kitatokea....!!???

Dunia haipaswi kupumbazwa na haya yanayotokea sasa hivi balani ulaya kupitia CNN na BBC bali pia wanapaswa kuwafikiria mayatima na walemavu waliobakia huko mashariki ya kati yaliyosababishwa na makombora ya NATO na Marekani nyuma ya kichaka cha UGAIDI NA DEMOKRASIA........

Bahati mbya propaganda zimetawala kwenye vyombo vya habari vya magharibi kiasi ulimwengu mzima kumuonea huruma mzungu aliyechomwa kisu....kuliko mtoto au mwanamke asiyekua na hatia aliyesambaratishwa na makombora ya NATO......na Marekani.......
Two wrongs don't make a right
 
Kuna rafiki yangu flan ni wa mbele huko nchi za ulaya niliwahi kumwambia nchi ya ujeruman watakuja kujutia maamuzi yao ya kuwahifadhi waarabu.... Alinijibu wanatimiza haki za binadamu.....

Najua huko alipo atakuwa ananikumbuka saaaaaana
 
July 22, 2016
Munich, Germany

Mpaka sasa saa tatu usiku saa za Ujerumani, polisi wamethibitisha vifo vya watu tisa baada ya shambulizi katika Shopping Centre ya Olympia-Einkaufszentrum (OEZ);ambayo ni kubwa zaidi ktk mji wa Munich .

Shambulizi hilo lililotokea leo jioni saa kumi na mbili jioni kwa saa za Ujerumani, na Polisi wametoa wito kwa wakazi wa mji wa Munich kukaa ndani ya nyumba zao kwa usalama wao na pia kufanya kazi ya Polisi kuwasaka waliofanya shambulizi hilo kuwa nyepesi.

Walioshuhudia mkasa huo wanasema inadaiwa ni watu watatu ndiyo waliohusika kufanya shambulizi hilo kwa kuanzia katika mgahawa wa McDonald's uliopo ndani ya Shopping Centre ya Olympia-Einkaufszentrum (OEZ)na kisha kuendelea na mashambulizi katika maeneo mengine ya Shopping Mall hiyo kubwa ya mji wa Munich.

Polisi mjini humo wameomba watu wanaotumia mitandao ya jamii kupashana habari juu ya tukio hilo wajitahidi kutoa habari sahihi na siyo kuvumisha vitu ambavyo si sahihi kwa sasa. Polisi wameweka vizuizi kuufunga mji wa Munich ili kuzuia watu kuingia au kutoka wakati wakiendelea na operation ya kuwatafuta washambulizi hao.

Mpaka sasa haijulikani waliohusika na shambulizi hilo ni kina nani na pia kama ni suala la kigaidi la ndani au ugaidi wa kimataifa, Polisi wa Ujerumani wanasema mjini Munich.

Usafiri wa umma kama wa treni na mabasi umesitishwa katika mji wa Munich wenye idadi ya wakaazi millioni 4 pia madereva wa taxi wameombwa kutochukua abiria mpaka hapo polisi wataporidhishwa na udhibiti wa usalama na washambulizi kutiwa nguvuni.

Taarifa za hivi punde saa saba usiku toka Polisi zinasema imethibitika kuwa shambulizi la leo limefanywa na mtu mmoja pekee na kuwa mwili wake umepatika kiasi cha kilometa moja toka Shopping Centre ya Olympia-Einfaukszentrum. Na inaonesha mshambulizi huyo pekee amejiua mwenyewe.
 
Back
Top Bottom