cosM
Senior Member
- Sep 6, 2013
- 194
- 124
That's my political analysis.Source ya hicho Kiingereza chako please.
That's my political analysis.Source ya hicho Kiingereza chako please.
Hao warabu wametoka wapi? Kwa sababu gani? Mngepindua na Turkey ili afrika tuanze kupokea wakimbizi toka EuropeAngela Merkel atavuna alichopanda, aliwakaribisha wakimbizi wengi kutoka nchi za uarabuni. Ona sasa
Hapa hatuzungumzi ukimbizi... TUNAWAPA MESEGI sent kwa walivyochafua nchi za wenzao!! Sasa walioamka wakaamua kuwafuata hadi ulaya...na ndicho unakiona kwa macho yako bila kusikia.... NEXT time waambie waZUNGU PORI watumie akili wasitumie makaratasi...... kujichambia usoni!!!Why wasimgeeenda kuomba asylum
saudi arabia au dubai kwa waislam wenzao?
Huwezi kumzuwia mjamzito kutema mate, wewe tema tu.Refugees @ work...!!
Lazima ni muslim terrorist.. lazima..!!
Uarabuni palitulia sana sana tujiulize kwanini pamechafukauarabuni ndio tutapata jibu kwanini France.Belgium. now Germany kwanini[/QUOTE]
Inaonesha kama ni premeditated na huu mpangilio, Intelijensia wana kazi si kidogo.halafu swali lingine linakuja, who's next.
Humu kuna baadhi ya mijitu hufutia makaratasi nyuso zao kama badala ya kufutia kule zao!!watu wahafikirii sijui dunian kuna nchi takriban 196 lakini hawajamaa waache zooote waje waipige France..... Germany
.....USA.....MBNA sio China ambako kuna wakristo wengi kuliko waishio ulaya nzima.....
You are right/U are rightUr right... unajua nime andika tu sijajua nani anahusika..!!
I will make a quick follow-up..hapo kwenye bluu
Thnx
Mmoja wa wa watu wenye silaha ambae inasemwa kwamba ni mzungu akiwa juu ya paa la jengo lenye maduka au shopping centre mjini Munich.
Mzungu huyo alisikika akitoa makelel na kutamka maneno kwa kijerumani kwamba, "I am German" yaani "mimi ni Mjerumani" huku akirusha risasi kwa kutumia bastola yake.
Wewe mwongo kabisa si kweli usemavyo gaidi hawezi kupanda juu ya gorofa ambako hakuna watu na yeye nia yake ni kuua watu wasio na hatia.
Uongo wake nini? Au umezoea kubisha tu bila sababu. Hiyo ndio video iliotolewa ya huyo shooter kabla ya tukio.Wewe mwongo kabisa si kweli usemavyo gaidi hawezi kupanda juu ya gorofa ambako hakuna watu na yeye nia yake ni kuua watu wasio na hatia.
Shambulizi la leo wamekufa wangapi?