Akili Kichwani
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 1,508
- 216
- Thread starter
- #41
Si nimesema kama shkaji jamani?
watu kama hao wala usiwaendekeze........... ushauri uaowafaa ni kukimbilia kitanzi tuuuuuuu............
Si nimesema kama shkaji jamani?
si utani balantanda vp maana kuna siku mlikua mnagongana mara kwa mara ilikuaje.kisicho riziki hakiliki atii....
__________________
PEARL HUYO NDIO MUMEO MTARAJIWA!KAZI UNAYO
Akili Kichwani
Akili Kichwani has no status.
JF Senior Expert Member
Join Date: Thu Jan 2010
Posts: 626
Thanks: 342
Thanked 313 Times in 183 Posts
Rep Power: 22
Re: Harufu ya Kikwapa
jamani bwabwa is right............. haya mambo ni mtu na mtu............. mnaijua harufu ya watu wazima ambayo hata akioga bado unaisikia?????????? nadhani ndiyo anayoiongelea.............. niliwahi kuwa na uhusiano na binti mmoja mwaka 96 alikuwa na harufu kali sana hata akioga namna gani haiishi hata akipiga pafyum, ukmkumbatia unaisikia................ loh, nilitokea kuipenda sana............... ukichanganya na ujana wangu wakati ule........... ilikuwa inanipa wazimu kabisaaaaaaaaaaaaa.....................
__________________
PEARL HUYO NDIO MUMEO MTARAJIWA!KAZI UNAYO
ok thats good of you,he has to be proud to get you,wish you two good life,lini michango tuandae?Usipate tabu bana c unajua walisema "if you knw your history....u shud knw wea ur cming frm"
mm pia si malaika amesema kile alichokifanya na alichokipenda mbn kuna wengi tu wangesema "mshikaji alikuwa na dem ananuka kikwapa"kasema ukweli wake na kila jambo lina history sina kazi kama unavyodhani but nadhani kuna watu watakuwa na kazi ya kujua maendeleo yetu.
sio wivu mkuu,angalia usije kumwanika dada yetu hapa.jamani wivu nao ni kaazi kwelikweli............... umeona hiyo ndo kete ya maaanaaa...........!!!!!!!!!!!! kajinyonge nilishawashauri wote a type yako................
si utani balantanda vp maana kuna siku mlikua mnagongana mara kwa mara ilikuaje.
Paukwa ..Pakawa..!
Kaondokea chenjagaa!
Kajenga nyumba kakaa!...
Of course some of you wont understand!
sio wivu mkuu,angalia usije kumwanika dada yetu hapa.
yaah thats good,i think nayeye anafikiria hivyohivyo,nafurahia watu wakipendana kwa dhati.we are doing just fine, yale yalikuwa madogo tuliyamaliza.....migongano ya kawaida tu kwenye maisha!!!
he is the treasure of my heart......I thank God for giving me such a wonderful man!!
ok hongera mkuu si unajua tena kijiba cha roho.hahahahaaaaaaaaaa..................kishakuwa wangu bwana ulishaona mtu anaanika chake???????????.....................
yaah thats good,i think nayeye anafikiria hivyohivyo,nafurahia watu wakipendana kwa dhati.
ha haa,kweli tena,lakini nawewe punguza bangi ushapata mwenza mzuri,mi nikikufuma mahali unabip bip namtonya pearl.are you sure?????????????//..............donge litakuua babu..................... singles wanisha JF na wewe bado unarukia miti isiyona matunda..............
are you sure?????????????//..............donge litakuua babu..................... singles wanisha JF na wewe bado unarukia miti isiyona matunda..............
ha haa,kweli tena,lakini nawewe punguza bangi ushapata mwenza mzuri,mi nikikufuma mahali unabip bip namtonya pearl.
dah!akili KUMUKICHWA umenizid maujanja!....NAOMBA NIJITOE RASMI kwenye mashindano ya kumpata mnyange pearl........!
i will always love her hata hivyo
wow! thats good one,nimeshasamehe kabla hata hujatamka i knew you will do so,anyway hicho ndo nnachokupendea,jaribu kumuweka sawa huyu jamaa kichwa chake kitulie km mmependana kweli.Akili anamaanisha alichokisema bwana,babu atakuwa nanapenda kuona watu wanapatana plz usisema vby si ulipromis utachange?Mwambie babu samahani dia plz"babu samahani kwa niamba ya akili
ha haa,kweli tena,lakini nawewe punguza bangi ushapata mwenza mzuri,mi nikikufuma mahali unabip bip namtonya pearl.
Akili anamaanisha alichokisema bwana,babu atakuwa nanapenda kuona watu wanapatana plz usisema vby si ulipromis utachange?Mwambie babu samahani dia plz"babu samahani kwa niamba ya akili
wewe ndo mwenyewe sasa!!! wala usisite tena uniambie hata mie tukamfume laivu
hahaaa shemeji AK don worry bana haya mazungumzo baada ya habari tu...
dah!akili KUMUKICHWA umenizid maujanja!....NAOMBA NIJITOE RASMI kwenye mashindano ya kumpata mnyange pearl........!
i will always love her hata hivyo
wow! thats good one,nimeshasamehe kabla hata hujatamka i knew you will do so,anyway hicho ndo nnachokupendea,jaribu kumuweka sawa huyu jamaa kichwa chake kitulie km mmependana kweli.