Mukazi Wange Search: Yametimiahaya hapa matokeo kamili

ah ah ah G ww!umerudi lkn?hata mm nakufeel kama shkaji ww unafeel nn?
kwakweli akili kichwani umenifanyia timing tu.ukweli hata mimi PEARL ninamfeel sana.tatizo tulifahamiana late sana(wakati project 13/02/2010) iko ukingoni kabisa:D:D
 
Hadi natangazaa kusitisha maombi ijumaa 12.38 PM, nilikuwa nimeishapata waombaji 19, na wengine wane walituma maombi yao baada ya kufunga kupokea maombi, hivyo Jumla ya Waaombaji=23.
kati yao wanaume waliojifanya wanawake=9 na walienguliwa mara moja, baki 14. Walioshindwa kubainika moja kwa moja jinsia zao=2 nao walienguliwa, baki 12. waliopungukiwa sifa=1 (alitaka ndoa ya full Beijing style) naye alienguliwa mara moja wakabaki baki 11, kati yao waliobainika kudanganya baadhi ya maelezo waliyotoa ni 4 na waliondolewa, wakabaki 8. Hawa ndio walioqualify kuingia katika uchunguzi wa kina. wawili walibainika kutojiamini, na wawili hawakuwa staraightforward ktk baadhi ya maeneo, waliobaki niliwatumia baadaye PM ya kuwaarifu kuwa nimeishasawazisha na mchumba wangu wa awali na kwa hiyo nimesitisha mchakato mzima wa kumsaka mukazi wange. Waliofuatilia vizuri thread ya msingi wanajua sababu.

Napenda kuchukua fursa hii kuwashukuru wote walioonyesha nia ya kuishi na mimi na wote waliochangia mawazo yao mazuri. Pia nichukue fursa hii kuwatangazia rasmi wanaJF wote kuwa Pearl ndiye mchumba wangu na ndoa itafungwa muda wowote kuanzia sasa. Wenye wivu mnashauriwa kujinyonga. Asanteni kwa kunisoma.

Pear kidege changu,
Mti wako nyumba yangu,

Kiota chako chumba changu

Manyoya yako godoro langu

Maringo yako raha yangu

Mbawa zako shuka langu

Shavu zako zomari yangu

Paja zako meko yangu

Moyo wako keki yangu

Nitakupenda na kukujali daima…
Hakika yametimia………………PEARL MUKAZI WANGE……………………….. Glory to God!
kaka mimi nitatoa piingamizi kanisani!i have feelings for this lady:D:D
Paukwa ..Pakawa..!
Kaondokea chenjagaa!
Kajenga nyumba kakaa!...

Of course some of you wont understand!
mimi mwenyewe umeniacha ROUND-ABOUT MOTEL:eek:
ah ah ah nimecheka sana,na hii mvua natamani nirudi hme nikalale maana napata vichomi tu hapa, nani anajua dawa yake?(off topic)
Naomba kwenye mambo tuliyokubaliana ubadilike tafadhali ntaku PM kukukumbusha.
HUYU akili kichwani is not of your type.nitakutafutia kaka yangu akuoe(just because nimekukosa mimi:D)

hongera... ila Pearl inabidi Akili umpe training kidogo manake namuona bado ana akili ya kijijini...
akili kichwani mimi simuamini

Best angalia asijekuwa anamdate mwingine. Lakini hongera mkubwa nawaombea kwa mungu muwe waaminifu mtakapofunga ndoa, epuka kumegana kabla ya ndoa kwani adhabu yake mwaijua.
ni kweli anamdate mtu mwingine
 
wat do u mean kijijini?mm sihitaji wa mjini mm mwenyewe wa mbinde tu dia,ol I nid is tue love,tha has no boundaries,najua kama binadam tunamapundufu mengi lakini hakuna lenye mwanzo likakosa mwisho.

sawa darling hongera... namuona Akili anaelekea vizuri kabisa...
 
kwakweli akili kichwani umenifanyia timing tu.ukweli hata mimi PEARL ninamfeel sana.tatizo tulifahamiana late sana(wakati project 13/02/2010) iko ukingoni kabisa:D:D
mhhhhh! ni wewe? haya bana.No komenti,ni mapema mno.
 
wat do u mean kijijini?mm sihitaji wa mjini mm mwenyewe wa mbinde tu dia,ol I nid is tue love,tha has no boundaries,najua kama binadam tunamapundufu mengi lakini hakuna lenye mwanzo likakosa mwisho.

haswa twinushka.
kwani hata akikuvika taji la almasi na hana upendo wa dhati ina maana gani kwako???
wat matters here is true love kwishnei, hamna cha wa kijijini wala mjin!!!
 
eeeh Twinuska,ukula tembele,dona,but as long as ther is true love u see as if hakuna Dunia nyingine ,yani the world is just for the two of u,wengine wote mnawaona sisimizi tu!

mmh pearl naomba uthibitishe umekubali kweli ama unatania?thibitisha kabisa maana nshaandaa kitanzi hapa.
 
haswa twinushka.
kwani hata akikuvika taji la almasi na hana upendo wa dhati ina maana gani kwako???
wat matters here is true love kwishnei, hamna cha wa kijijini wala mjin!!!
bht nawewe kweli unakubali pearl aende kwa huyu jamaa?usimponze pacha wako
 
bht nawewe kweli unakubali pearl aende kwa huyu jamaa?usimponze pacha wako
sasa na wewe sijui ulichelewa wapi bwana......
basi tena mi sina pingamizi hapa
vipi mama mia???? au bado domo lako zito??
 
ah ah ah G ww!umerudi lkn?hata mm nakufeel kama shkaji ww unafeel nn?

dear ngoja nikapime miwani mingine, nimeshinwa kusoma vizuri hapo................ yaani unamfeel Geof?????????????// aiiii..............wivuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu........
mie nilishampa ushauri wa bure akaconsult kitanzi................
 
sasa na wewe sijui ulichelewa wapi bwana......
basi tena mi sina pingamizi hapa
vipi mama mia???? au bado domo lako zito??
mama mia kimeo nimestuka,pearl sound more perfect,lakini ndio hivyo tena kashaangukia kwa AK 47.
 
Si nimesema kama shkaji jamani?
dear ngoja nikapime miwani mingine, nimeshinwa kusoma vizuri hapo................ Yaani unamfeel geof?????????????// aiiii..............wivuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu........
Mie nilishampa ushauri wa bure akaconsult kitanzi................
 
Si nimesema kama shkaji jamani?

Akili Kichwani
user_online.gif

Akili Kichwani has no status.
JF Senior Expert Member
red_left.png
red.png
red_right.png
green_left.png

green.png

green_right.png
Join Date: Thu Jan 2010
Posts: 626
Thanks: 342
Thanked 313 Times in 183 Posts
Rep Power: 22
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif

icon1.gif
Re: Harufu ya Kikwapa
jamani bwabwa is right............. haya mambo ni mtu na mtu............. mnaijua harufu ya watu wazima ambayo hata akioga bado unaisikia?????????? nadhani ndiyo anayoiongelea.............. niliwahi kuwa na uhusiano na binti mmoja mwaka 96 alikuwa na harufu kali sana hata akioga namna gani haiishi hata akipiga pafyum, ukmkumbatia unaisikia................ loh, nilitokea kuipenda sana............... ukichanganya na ujana wangu wakati ule........... ilikuwa inanipa wazimu kabisaaaaaaaaaaaaa.....................
__________________
PEARL HUYO NDIO MUMEO MTARAJIWA!KAZI UNAYO
 
Back
Top Bottom