Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,169
- 10,786
Ndugu wana JF,
Kumezuka kundi la watu Fulani aidha kwa kujua au kutojua wanaliharibu jukwaa la JF ambalo kwa muda mrefu limejizolea heshima sana, si kwa matusi bali kwa hoja na vithibitisho
HIDDEN ID
Unapotukana mtu usiyemjua, usiyemuona, eti kwa sababu ya mmeshindwana hoja ni ulimbukeni na utoto wa hali ya juu sana. Kumshinda mtu aliyekinyume na mwazo yako inahitaji convicing power ambayo inapatikana kwa hoja yenye nguvu tu. Matusi na name calling huwa haviwabadilishi watu popote pale dunia hii!!! Tena kibaya zaidi kwa watu wasioonekana!
KUJUA MSIMAMO WA MTU
Kuna button ya kujua previous posts za mtu husika kama uko interested kujua misimamo yake.Lakini ijulikane kama tunataka uandishi uliotukuka kuna watu umu huwa hawazungumzi au kuandika kwa kumaanisha directly walichoandika. Kwa bahati mbaya kizazi cha sasa hivi hakijuia uandishi huu wa mafumbo, kufikirisha, na MTU ANACHOTAFSIRI NI ile maana isiyo halisia. Kizazi hili ambacho wengi kwa sasa wanaitwa JF-kata wengi wao (sio wote) hawajui na imewapelekea kuleta conclusionza ajabu sio tu kwa kuharibu jukwaa bali kwa kuumiza mioyo na nafsi za watu
OLD-JF HELPS
Ukitaka kujua forums ina maana gani , ilikuwaje mpaka ikapata sifa, kuna thread nyingi sana za miaka iliyopita za members wengi ambao kwa sasa hawapo, zipitieni hizo na unaweza kuji-evaluate kama kweli unayo thinking capacity ya kuitwa great thinkers, if you are not one of them, KINDLY LEAVE! IF YOU THINK YOU CAN FIT THE STATUS please do needful, PEOPLE OUT THERE WILL LOVE TO SEE YOUR KIND VALUABLE AND EDUCATIVE POSTS NA siyo matusi, name calling na conclusion ambazo sio tu zinadhalilisha au kuwaumiza mnaowatukana ila zinaweka questiona mark nyingi za mrusha post kama kweli ni great thinker.
Michango imekuwa mibaya sana kwa ( June 2010-2011 baadhi ya members)
Till then.