Bado sija kuelewa!!...come straight!!!
Baada ya kupitia post za watu juu ya hii topic nimejikuta kuvutiwa zaidi na swala la "miafrika ndivyo tulivyo"
Mimi binafsi baada nimesoma maelezo mbalimbali kuhusiana na jinsi mtu anavyoweza kufanikiwa katika maisha ya kila siku katika nyanja mbali mbali.
Jambo la muhimu kulilko yote ni JINSI MTU ANAVYOFIKIRI.
Maana awazavyo mtu ndivyo alivyo.
Pia nilikuja kufahamu kuwa in our brains we have got this part of the brain called the subconscious mind,this part receives information literally,it doesn't filter, it doesn't judge and it doesn't forget.
This part doesn't know what is real and what is fantasy.
My point here is to tell all my friends that we must be very very careful on WHAT WE THINK AND SAY. Kumbukakeni pia subconscious mind iko kazini tangia uko tumboni mwa mama mpaka unakufa na haipumziki mpaka unakufa(mchana na usiku).
Kwahiyo tusijiwazie wala kuwa wazia watu wengine mambo mabaya maana "awazavyo mtu ndivyo alivyo"
Nawaomba sana jamani tusijikatae wenyewe.
Mi nafikiri Mugabe alikua anafuata mkumbo...tu..Kwamunonekano wake!! ni dhahili kabisa anakichaa!!!..au malaria sugu!!..Na hii yote imesababishwa na marafiki zake wa karibu kupoteza kabisa Dira ya yale walio kua waki yazungumza ujanani..!!yawezekana walimfundisha ushujaa kabla topic haija isha wakapotea!!... wapo rafiki zake walio aga Dunia!!/ wapo rafiki zake walio achwa na kuacha madalaka huku nyuma yao wakizongwa na kashfa!!
nafikiri mgabe alipangwa vizuri akapangika na hao marafiki zake lakini mwishoni hakukuta kile alichokua ana tarajia...
labda nchi kubwa ya Africa!!...Tanzania inawajibika moja kwa moja na kichaa cha Mugabe!! vita mstari wa mbele na siasa ya ubaguzi kusini mwa Afrika... sijui unanielewa!!? au una endelea kulewa!!?
Na wewe umo- wanao kubari na kuafiki kipengele hiki waseme Ndiyoo wasio afiki waseme sioooooHistory Kweli Imekupiga Tobo!
USSR Iliangushwa Na Reagan Miaka Ya 80!
REMEMBER GORBACHEV?
Miaka Ya 90's Ni Kichaka Sr Na Buzi La Lewinsky!
WAO WALILIA NA SADDAM KAMA WANAVYOFANYA KWA MUGABE!
NA WAKATI HUO MZEE WA RHUKSA AKIYAFANYA YALE ALIYOOGOPA KUYAFANYA MWALIMU!
MWALIMU ALISEMA ANANG'TUKA!
HAKUONDOKA KWA KUPENDA...BALI HUZUNI ZA SERA ZILIZOSHINDWA KABLA YA KUANZA.
NA KWASABABU UJAMAA NI KAMA DINI...KUMWAMBIA ASIMAMIE UBEPARI NI SAWA NA KUMLAZIMISHA MSILAMU ALE POKU!
MSWAHILINA RHUKSA NAYE AKAMPIGA VIJEMBE NA KUTANGAZA KUWA KULA POKU SASA RHUKSA! KWA TAIM YAKO TU JIPENDELEE!
WABONGO NAO WALIVYOKUWA FYATU...WAKA MISTRANSLATE....BUCHA NA MIKITI MOTO IKAANZASHWA HADI MISIKITINI!
TENA AKADAI HATA CHURA KULA CHURA PIA RHUKSA!
MWALIMU AKAMWITA AKAMWAMBIA THATS NOT THE WAY...KWAMBA KUINGIA KWENYE UBEPARI HAINA MAANA YA KUGEUZA UKULU PANGO LAO!
MTUPU NAYE (MKAPA)....
AKAONA JINSI WABONGO WALIVYO PUMBAVU...KWANI BADALA YA KUELEWA KUWA SASA NI FREE MARKITI...WAO WAMEFUNGUA BIASHARA ZA KITI MOTO!
NA KWA UREFARII WA MWALIMU...AKAGWAYA..ILA HAKUTAKA WABONGO WAJUE KINACHOENDELEA...NAONA ALIJUWA MWALIMU YUKO UKINGONI KUFA..!KWANI HATA DILI ZA KUUZA NCHI JUMLA ZILIANZA A COUPLE OF YEARS BEFORE JKN DIED.
MTUPU YEYE AKAJA NA MASAMIATI....CHANGA LA MACHO, AMA HATA UKIPENDA USANII....AKAJA NA "WHITE PAPER" MAELEZO AMBAYO YALIKUWA YAKIELEZEA KUWA SASA UBINAFSISHAJI MEANS NCHI KUUZWA!
BAADA YA WHITE PAPER AMBAYO WANANCHI BADO WALIKUWA WAKI ASSOCIATE NA NGURUWE WALIZOAMBIWA WALE NA MWINYI...AKAUNDA PRSC.
KWA USIMAMIZI WAA BOT,PRSC NA WIZARA YA FEDHA...NCHI IKAUZWA JUMLA!
WABONGO NAO BADO PUMBAVU SANA TU!
WALI MISUNDERSTAND AGAIN....WAKAANZA KUITA POKU WHITE PAPER!
SASA SIJUI TUMEROGWA AMA NI NINI!?
NA KAMA MAWAZO YETU NDIYO HAYA...BASI HATA TUKIRUDI UTUMWANI NI SAWA TU!
ILA MIMI SIMO!
Got It?
Nenda nchini kwake kaa japo wk 1 alafu umpe tena hizo sifaMUGABE......MUGABE.....!
I SALUTE YOU COMRADE.....!
YOU FIGHT FOR YOUR PEOPLE MUGABE.....!
YOU DESERVE THE BEST......!1
I SALUTE YOU THE ROLE MODEL OF AFRICAN SPIRIT.....!
I salute you comrade....!