Mugabe ana kichaa!!

NA NYIE MAMLUKI NAIVE WATUMWA WAKUBWA WA MKOLONI NA SHETANI MWENYEWE MMESHINDWA!
Sasa ni kuhakikisha wanaondoa VIKWAZO VYA KUUWA WATU WASIO NA HATIA!
 
Thibitisheni basi kuwa Sivyo Tulivyo.....

Sio SISI ni hao MBWA WANAOKULA VYAKULA VYETU NA VIZAZI VIJAVYO!
WE WEKA MATAKO YAKO CHINI BADALA YA KUFANYA KILE MUNGU ALICHOKUWEKA HAPA DUNIANI KUFANYA KABLA HUJAFA!
EBU ACHA VICHEFU CHEFU!
 
Sio SISI ni hao MBWA WANAOKULA VYAKULA VYETU NA VIZAZI VIJAVYO!
WE WEKA MATAKO YAKO CHINI BADALA YA KUFANYA KILE MUNGU ALICHOKUWEKA HAPA DUNIANI KUFANYA KABLA HUJAFA!
EBU ACHA VICHEFU CHEFU!

Hao "mbwa" mnawaweka wenyewe madarakani kwa hiyo hamna haki ya kulalamika.

Haya LiMugabe hilo tayari limeshaapishwa na kuapishwa na kesho litahudhuria kikao cha Umoja wa Afrika huko Misri. Sitoshangaa likipigiwa makofi ya pongezi kwa ushindi.

Halafu hivi mmeona jinsi matokeo ya raundi hii yalivyotangazwa haraka? Mmejiuliza ni kwa nini?
 
Angalia yanayotokea Zimbabwe na Afrika kwa ujumla....mtu yoyote mwenye akili timamu, angalau kisirisiri atajiuliza maswali mengi mno pamoja na je, labda ni kweli ndivyo tulivyo? Sasa wengine hatuogopi kusema wazi ni nini tunachofikiria. Hicho ndicho kinachotutenganisha mimi na wanafiki kama wewe. Mimi nilipokuomba majina ya hao waasisi wa hayo mambo nilitegemea kuona majina ya Kiafrika.....kumbe ni mazungu hayo hayo unayoyaponda hapa na wakati huo huo kutumia matokeo ya tafiti zao kujenga hoja zako za kijuha!!! Bado hujanishawishi. Waafrika Ndivyo Tulivyo.

Mimi nilisha jiuliza hayo maswali miaka mingi mno iliyopita. Nikasoma ma volumes na ma volumes kuanzia ya White liberals, anthropologists, biological/evolutionary science, mpaka kina Adorf Hitler. Wewe arguments zako za Ndivyo Tulivyo ni nyanya kuliko za Adorf Hitler, na za Dr. Watson mwenyewe. Wewe ni cha mtoto, kuna arguments za nguvu zaidi za kutukana akili za Mwafrika ambazo wewe huzi advance. Lakini nipo hapa navumilia lugha na epithets zako ili tu kujaribu kuondoa upotoshaji kwa watu. Vinginevyo wewe huwa nakupuuzia.

Sayansi sio dini, haitakiwi kushawishi mtu. Yenyewe inatumia the scientific method. Inatumia utafiti. Hutaki, leta wakwako. Na haijalishi ni nani kafanya huo utafiti. Na mimi nina confidence ya kukubali Sayansi iliyo tafitiwa na mtu yeyote yule kwa sababu najua molecular genetics inasema nini kuhusu akili za binadamu. Inasema hakuna kitu kama "ndivyo tulivyo." Ungejua ukweli usingekuwa unatukana tukana ovyo watu wanao rekebisha hiyo idea. Ni complex unayokuumiza moyoni kwamba race yako ni inferior.
 
...acha makelele wewe, kinachotokea Zimbabwe na Afrika kwa ujumla haina maana yoyote ktk ku-prove "waafrika ndivyo tulivyo."
swali, je North Korea nayo ipo Afrika? Burma je? Hitler alikuwa mwafrika pia? vipi Botswana au ipo Ulaya siku hizi? nini kuhusu Castro na uafrika wake? Milisovic je? upuuzi wa Putin nao ni wa kiafrika nini?? Pervez Musharaf? Afghanstan, udikteta wa China ktk Mongolia? ule upuuzi wa Suharto? Saddam pia alikuwa muafrika? vipi Yemen na upuuzi unaondela au pia nayo imejaa waafrika? Calderon wa Mexico alivyoiba uchaguzi kigangwe nae pia ni Muafrika? Nepal na umwinyi unaoendelea nao pia ni wa kiafrika? hilo li China linayoua Fulan Gong nao pia ni uafrika, vipi ile ethinic cleansing ya Balkans, yule mpuuzi wa Hungary? au OBL na michezo yake je?.............upuuzi upo mwingi na unafanyika dunia nzima regardless of color au ethinicity ya wahusika!!! waafrika ndivyo tulivyo ni concept ya kipumbavu, na kwa maana hiyo wewe ni mpuuzi wa kifikra.

Kinachochekesha ni nyingi ktk hizo nchi ulizozibwabwaja hapo juu zinaisadia Afrika ktk misaada mbalimbali ikiwemo uchumi, ufundi, sayansi, masomo, kijeshi, na mengine mengi tu. So what's your point Miss Thang?
 
Mimi nilisha jiuliza hayo maswali miaka mingi mno iliyopita. Nikasoma ma volumes na ma volumes kuanzia ya White liberals, anthropologists, biological/evolutionary science, mpaka kina Adorf Hitler. Wewe arguments zako za Ndivyo Tulivyo ni nyanya kuliko za Adorf Hitler, na za Dr. Watson mwenyewe. Wewe ni cha mtoto, kuna arguments za nguvu zaidi za kutukana akili za Mwafrika ambazo wewe huzi advance. Lakini nipo hapa navumilia lugha na epithets zako ili tu kujaribu kuondoa upotoshaji kwa watu. Vinginevyo wewe huwa nakupuuzia.

Sayansi sio dini, haitakiwi kushawishi mtu. Yenyewe inatumia the scientific method. Inatumia utafiti. Hutaki, leta wakwako. Na haijalishi ni nani kafanya huo utafiti. Na mimi nina confidence ya kukubali Sayansi iliyo tafitiwa na mtu yeyote yule kwa sababu najua molecular genetics inasema nini kuhusu akili za binadamu. Inasema hakuna kitu kama "ndivyo tulivyo." Ungejua ukweli usingekuwa unatukana tukana ovyo watu wanao rekebisha hiyo idea. Ni complex unayokuumiza moyoni kwamba race yako ni inferior.

Juha Mkuu, nani kaanza kutumia lugha ya "matusi" kama unavyodai wewe? Si ni wewe uliyesema hujawahi kuona Mwafrika aki-ride on "cocktail" ya mzungu? Oooh hili sio tusi sio? Siumizwi na kitu chochote. Kwanza tangu lini umeanza kuwafanyia watu diagnosis mtandaoni kujua nini kinawaumiza? Mimi ninachoonyesha ni ukweli mtupu na ukweli ni ukweli tu hata auseme nani. Endelea kukataa tu lakini najua kuwa unajua kuwa uko kwenye "denial". Waafrika Ndivyo Tulivyo!! Kama unabisha rudi kijijini kwenu basi halafu tuone kama utaendelea kubishana kama unavyobisha hapa....
 
...kwani waafrika ndivyo tulivyo kwasababu ya misaada tu? au kuna jingine? vipi kuhusu nje za South America, za central na southeast Asia zinazopokea misaada au nazo pia zipo Afrika?? hamna kitu kinachotokea Afrika kisiasa, kiuchumi au kijamii ambacho ni isolated ktk bara hili pekeyake....urojorojo upo kila mahali kwa dizaini tofautitofauti, kiasi kwamba ni wrong kusema waafrika ndivyo tulivyo!! i

Hizo nchi pamoja na kupokea misaada lakini zao bado zinatoa misaada kwa Afrika. Swali, Afrika inatoa misaada kwa nani?
 
Nyani ni lazima kuwa kama unaamini kuna MUNGU..Halafu unakaa tu na kusema sisi ndivyo tulivyo...Then ukifa na akikuuliza umefanya nini utasema ni mimi jinsi nilivyo?
Wewe unasema sisi!
UKIFA NI WEWE!
WEWE NA MUNGU!
UTAJIBU NINI?
Kwamba ni mimi NYANI BOGASI?
Usikae tu...Do something.
Huo ni mjadala mwingine lakini sasa majukumu ni mengi.
You should have a PURPOSE DRIVEN LIFE...!
OR ELSE...UKAPATA HATA UONGOZI,THEN HUTATUUZA KWELI KAMA KIWETE NA MTUPU?
 
kwahiyo waafrika ndivyo tulivyo kwasababu tu hatutoi misaada?? hivi huoni kwamba points zako zipo weak sana........unayumbayumba tu kama mlevi wa gongo!! ovyo sana wewe saa nyingine. LOL.

Tunapewa misaada LAKINI NI PESA ZETU NA MADINI YETU YANAYOWAPA PESA ZA KURUDI NA KUTUPA CHAKULA BAADA YA NJAA WALIYOTUSABABISHIA WAO!
 
Siumizwi na kitu chochote. Kwanza tangu lini umeanza kuwafanyia watu diagnosis mtandaoni kujua nini kinawaumiza? Mimi ninachoonyesha ni ukweli mtupu na ukweli ni ukweli tu hata auseme nani. Endelea kukataa tu lakini najua kuwa unajua kuwa uko kwenye "denial". Waafrika Ndivyo Tulivyo!! Kama unabisha rudi kijijini kwenu basi halafu tuone kama utaendelea kubishana kama unavyobisha hapa....

Ukiwa na complex huwezi kujijua.

Una conflict ya ndani. Moja inataka kuacha kuendelea ku ride on Dr. Watson's coattails nyingine haielewi science. Kwa hiyo unabaki njia panda. Unatembea na maswali kichwani, kila ukimwona Mzungu unajisikia mdogo, hupati majibu, unaendelea kuamini kwamba uko lesser than them. Inaakuuma, na bila kujijua una vent kwa kutukana Weusi wenzio kila unaposhindwa kuelewa kwa nini sio kweli kwamba Weusi ni inferior. Na kwasababu frustration zako zina ku haunt utakuta kila mara unachokonoa hiyo ishu hapa jamvini, ili kutafuta mtu atake kuelewesha. Na kila usipoelewa inazidi ku cement that negative self hate. Inakuuma na tena na tena. Na unazidi vent kwa epithets. It's such a hideous complex.

I tried to help.

Godspeed.
 
Duh!! Bonge la diagnosis hili....hebu noja nikachemshe kahawa ili nije nilisome vizuri.....
 
Mi nafikiri Mugabe alikua anafuata mkumbo...tu..Kwamunonekano wake!! ni dhahili kabisa anakichaa!!!..au malaria sugu!!..Na hii yote imesababishwa na marafiki zake wa karibu kupoteza kabisa Dira ya yale walio kua waki yazungumza ujanani..!!yawezekana walimfundisha ushujaa kabla topic haija isha wakapotea!!... wapo rafiki zake walio aga Dunia!!/ wapo rafiki zake walio achwa na kuacha madalaka huku nyuma yao wakizongwa na kashfa!!

nafikiri mgabe alipangwa vizuri akapangika na hao marafiki zake lakini mwishoni hakukuta kile alichokua ana tarajia...

labda nchi kubwa ya Africa!!...Tanzania inawajibika moja kwa moja na kichaa cha Mugabe!! vita mstari wa mbele na siasa ya ubaguzi kusini mwa Afrika... sijui unanielewa!!? au una endelea kulewa!!?

Gigo...Are still FREE?
OR NUTS?
 
Tunapewa misaada LAKINI NI PESA ZETU NA MADINI YETU YANAYOWAPA PESA ZA KURUDI NA KUTUPA CHAKULA BAADA YA NJAA WALIYOTUSABABISHIA WAO!

Mtu mwenye akili hawezi hata kidogo kumwachia mtu mwingine amsababishie njaa....upo hapo Mangi?
 
huo ni ukweli, una kichaa wewe kama cha Mugabe au kama wale Juntas wa Burma.

grow up.

Mbona wewe na huyo Juha Mkuu mna hasira sana leo? Yaani mmeni-diagnose na ukichaa na inferiority complex.....sasa prescription ni nini? Mimi nadhani ni nyinyi ndio ukweli unawauma. Aliyesema ukweli unauma hakukosea hata kidogo..
 
Nyani...Hata mahesabu alikwambia kuhusu INFERIORITY COMPLEX!
Sasa kama hujatoa hiyo logo..ngoja nikuache na upande ambao bado hakuna aliyekwambia...SUPERIORITY COMPLEX!
 
Nyani...Hata mahesabu alikwambia kuhusu INFERIORITY COMPLEX!
Sasa kama hujatoa hiyo logo..ngoja nikuache na upande ambao bado hakuna aliyekwambia...SUPERIORITY COMPLEX!

Na wewe unaweza kuweka ya kwako inayosema "Hapana, Waafrika Sivyo Tulivyo"....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom