Mugabe ana kichaa!!

Gigo...Are still FREE?
OR NUTS?

Kama Mugabe ana siri au ukweli fulani akilini mwake..basi atakaye amini hayo!!! ni mjinga!! ni fala kama ninavyopenda kusema!!...

Unapo...sema Waafrica ndivyo tulivyo!!...OK! lakini sivyo kama alivyo Mugabe!!!-


MUGABE ANA KICHAA!!---
 
Gigo, mkuu nakuunga mkono! Mimi nadhani marafiki zangu akina Jmushi1 ambaye tuko pamoja katika kumshabikia Obama hajaelewa kwamba Mugabe has lost his marbles. Na in fact siyo yeye tu bali kundi lake zima.
Mi inanifurahisha sana kuona eti wanakuja na mfano wa Bush na kuuliza the difference, lakini kwenye thread nyingine Nyani alijibu vizuri sana Bush hakuwachoma moto, kuwapiga na kuwaua wapiga kura wake ili wampigie. Aliposhinda alishinda kihalali. Alipoenda vita huko Iraq, Congress na Senate ilimpigia kura na kupitisha azimio, kwa hiyo sheria ilifuatwa.
Mugabe ametumia tishio, mauaji na askari wake kuterrorize wananchi na opposition na hili naomba JMushi na wenzako mnibishie! Hapo mnakaa kimya. Sasa you cannot be selective about human rights. Angalia hii ishu ya Guatanamo Bay. Bush kabisha wee lakini Supreme Court imesema NO!! Na inafungwa! That is how you deal with a leader with sadistic tendency hata kama tunataka kumfananisha Mugabe na Bush.
Hivi kweli Jmushi1 unataka kuniambia MDC wangeshinda fair and square elections, ingekuwaje? Zimbabwe ingevamiwa na wazungu? Kuna maajabu gani Zimbabwe ambayo wazungu wasipate katika nchi jirani kama Malawi, Zambia na Mozambique, Angola? Wazungu unaowasema ni wazimbabwe na baba zao walizaliwa pale na mababu zao.
Don't accept dictator's propaganda kiulaini!
 
Kwa sababu ni ukweli la sivyo wasingegusika kama walivyogusika....

Nyani mkuu! Nakuona unazidi kuwachangamsha kwenye hii thread, good job!
Mimi napata hasira ninaposikia theory mbalimbali zinazosema kwamba Waafrika tuko genetaically coded kufeli. Hili mi nakataa.
Lakini on the other hand, mimi naona kama kusema kwako haya yote yanatokana na kuwa umejaribu kutafuta jibu kwa swali kwa nini siku zote waafrika tunachemka (umeuliza maswali mengi na muhimu ulipowachallenge wenzako).
But I beleive that instead of looking at genetics I would look at the existing structure in our societies. I would add to it the attitude of our leaders that encourages all citizens to think that this is a dog-eat-dog world and they do not instill a sense of patriotism and social service ni our young ones.
We both agree that Mugabe is a disgrace to Africans na he has to go.
 
Gigo, mkuu nakuunga mkono! Mimi nadhani marafiki zangu akina Jmushi1 ambaye tuko pamoja katika kumshabikia Obama hajaelewa kwamba Mugabe has lost his marbles. Na in fact siyo yeye tu bali kundi lake zima.
Mi inanifurahisha sana kuona eti wanakuja na mfano wa Bush na kuuliza the difference, lakini kwenye thread nyingine Nyani alijibu vizuri sana Bush hakuwachoma moto, kuwapiga na kuwaua wapiga kura wake ili wampigie. Aliposhinda alishinda kihalali. Alipoenda vita huko Iraq, Congress na Senate ilimpigia kura na kupitisha azimio, kwa hiyo sheria ilifuatwa.
Mugabe ametumia tishio, mauaji na askari wake kuterrorize wananchi na opposition na hili naomba JMushi na wenzako mnibishie! Hapo mnakaa kimya. Sasa you cannot be selective about human rights. Angalia hii ishu ya Guatanamo Bay. Bush kabisha wee lakini Supreme Court imesema NO!! Na inafungwa! That is how you deal with a leader with sadistic tendency hata kama tunataka kumfananisha Mugabe na Bush.
Hivi kweli Jmushi1 unataka kuniambia MDC wangeshinda fair and square elections, ingekuwaje? Zimbabwe ingevamiwa na wazungu? Kuna maajabu gani Zimbabwe ambayo wazungu wasipate katika nchi jirani kama Malawi, Zambia na Mozambique, Angola? Wazungu unaowasema ni wazimbabwe na baba zao walizaliwa pale na mababu zao.
Don't accept dictator's propaganda kiulaini!

....Ok..kuna tabia moja kutoka kwenye makabila ya Kia Africa,...
watu walipimwa * wanapimwa* uwezo wao na kupewa heshima kuwianana idadi yamifugo *mali* walizonazo!! ilikua ni rahisi kwa mfugaji mwenye mifugo mingi kua Chifu na wake wengi...hata kwakupora na watu wote waliomzunguka wakakubaliana nae!!....Hiyo dunia ndio inayo tusumbua!!

*Ili Chenge awe Raisi ilimbidi awe na fedha nyingi sana ndio maana alienda kuzificha!!

Mara nyingi Ujanja wamtu hutegemea wajinga waliokuzunguka!! anacho changanyikiwa Mugabe ni kutokana na Masikini anao watawala /anao uwezo wakuwatawala..kuwa uwa na vyovyote vile...sasa hiyo akili ya kutawala wameitoa wapi!! nani ? NINI? /wakati hawaonyeshi hata ishara ya kumuita BABA WA TAIFA!!! na ana amini hakuna atakae kuja kutawala zaidi yake..kwasababu itikadi yake inaonyensha wazi kutawaliwa ni Ujinga!! Mugabe ana hofia hata mke wake unaweza ukamchukua kama utakua Raisi!!

Kama Mugabe angekua kama Bushi Basi Mambo yange kua saafi sana Hapo Zimbabwe!! labda Tunge laumu kwa mambo mengine kama kumvamia Gadafi!! ...au kuhakisha nchi zote za africa zinakua States!!...kumbuka kama Bush angekua Mugabe basi hatamugabe angekua Bush...Leo hii hapo Marekani Mtu anagomea siasa ya vyama vingi Mtamchukuliaje?
Kichaa!!...Bado sijaona...

Mkutano wa AU Ni kama Pati ya Urafiki wa Masahaka!! Nyani ana choma mahindi...Swala anacheza blues na Simba..Tembo ana andaa mbogamboga na maboga!!Mamba yupo kwenye kamati moja na Punda milia!!..alafu muda ndo unazidi kwenda!! Fisi ndio ana kagua vitambulisho wakati Mbuzi kachelewa kuingia!!

Hakuna kitu...Waafrica akili tunayo!! Time will tell!!.... in this time for mabadiliko!!
 
Nyani mkuu! Nakuona unazidi kuwachangamsha kwenye hii thread, good job!
Mimi napata hasira ninaposikia theory mbalimbali zinazosema kwamba Waafrika tuko genetaically coded kufeli. Hili mi nakataa.
Lakini on the other hand, mimi naona kama kusema kwako haya yote yanatokana na kuwa umejaribu kutafuta jibu kwa swali kwa nini siku zote waafrika tunachemka (umeuliza maswali mengi na muhimu ulipowachallenge wenzako).
But I beleive that instead of looking at genetics I would look at the existing structure in our societies. I would add to it the attitude of our leaders that encourages all citizens to think that this is a dog-eat-dog world and they do not instill a sense of patriotism and social service ni our young ones.
We both agree that Mugabe is a disgrace to Africans na he has to go.

Susuviri,

I am happy to read your Views Sir.

Mwanzoni mwanzoni mwa hii thread ...i come with some idea..... Ikalete shida kidogo... Juu ya dhana nzima ya Hali ya utumwa..tunaouendeleza kila kukicha.

But.

Nimependa ulivyoiweka mtizamo wako...kwa msisitizo wa genetics.

Nafikiri that was the only component amabyo sikuiielezea kwenye maelezo yangu.

Pamoja na yote niliyojieleza.

Siaminini kuwa tuko genetticaly composed kuwa watumwa mpaka milele. Kama ilieleweka vinginevyo it was only to provoke the discussion ya kutulazimu kufanya critical self analysis sisi kama waafrika na Uongozi wetu.

Naafikiana kabisa na maneno yako haya.

..Mimi napata hasira ninaposikia theory mbalimbali zinazosema kwamba Waafrika tuko genetaically coded kufeli. Hili mi nakataa.

Hilo la kwamba tuko evulutionary/geneticaly constructed kuwa watumwa sikubaliani nalo kabisa na ninafikiri that is not Scientific. Hata kwenye thread hii kuna bwana amelielezea vizuri.

Na nifikiri haya maelezo yako ni hitimisho sahihi.

But I beleive that instead of looking at genetics I would look at the existing structure in our societies. I would add to it the attitude of our leaders that encourages all citizens to think that this is a dog-eat-dog world and they do not instill a sense of patriotism and social service ni our young ones

Kama kuna utafiti nafikiri hapo ndipo pa kujikita...Ili ifahamike kuwa kuwa kweli BoB Mgabe ni kichaa?

Au hawawenzie wanao _muintain sio Vichaa?
 
Mafisadi walitaka kumtoa kafara Mugabe lakini amewasitukia na kudai hao viongozi wa Afrika wote akuna msafi wote wameingia madarakani kwa wizi hivyo atakaejileta kichwa kichwa atamwaga mboga.Wamwache kama alivyo kila mmoja atazame lake kama ni kushugulikiana basi wasubiri 2010 aone kama kwengine nako hakutatimka vumbi.
 
pia alsmost wananchi wote nao wana ugonjwa huo huo manake itafika wakati wa uchaguzi tutapewa kanga na t-shirt za ccm, bia na pilau na tutasahau madhambi yote yaliyofanywa na serikali na tutaishia kuwachagua tena mafisadi. the zimbabwe problem was created by the brits and they should handle it themselves.


Kweli kabisa juzi nilisikitika sana nilipo sikia kuna wana CUF zaidi ya 150 wamekiama chama chao na kuhamia chama cha mafisadi...hii inatundisha nini....!?
 
hivi kwa mfano raisi wa nchi akafunga safari kwenda mchi ya watu na akaonekana amekaa kwenye bembea anabembea huyu sio kichaaa??teh
 
...Hawa watu wasiposoma HISTORIA basi kuna hatari ya UTUMWA KURUDI.......!!

Mkuu utumwa urudi mara ngapi?

Je hujaona nyumba kwa mfuga mbwa manzese ikiuzwa milioni mia tatu?, (300,000,000?)
Nyumba mbezi bichi ikiuzwa Dola 100,000,00? Huo ndiyo utumwa wenyewewe huo, kama ni plain playing fields hakuna mtanzania hata mmoja anayeweza kununua hiyo! Ila kwa sababu wengi wanauza rasilimali za taifa kwa Wageni (wazungu, wahindi, wachina, waarabu, wayahudi, na mgeni mwingine yeyote anayewachekea), ndiyo maana mizunguko ya pesa imekuwa mikubwa na ya kutisha!- je nani anaumia? ni yule Mtanzania wa kawaida (kama Milioni 35 hivi) ambao wanageuka kuwa watumwa na ombaomba nchini mwao!

Tena cha ajabu zaidi ni kuwa siku hizi wala bei hazitajwi kwa Tshillings, zinatajwa kwa dola na hakuna hata kiongozi wetu mmoja ambaye eshawahi kukemea au kupiga marufuki ujinga huo!!

Wengine wakishindwa wanatimkia nje ya nchi kwenda kuuza jasho lao huko kwa cheapest bidder (wala siyo highest bidder), iwe Sauzi, US, UK, Msumbiji, Iraki, uturuki, Melini, ugiriki, nk huko wanaishia kuwa wakimbizi ama wa kisiasa, au wa ki uchumi (ingawa ukiwauliza watakuambia siyo wakimbizi kwani bado wanatumia pasi zao za kitanzania)

Tatizo sugu linalotukabili ni kuwa karibia wote tushazoea kucheza hayo makida, kuoneshwa na kuamini viini macho bila kuhoji chechote!

Man I m really bitter!!!, we acha tu
 
Baada ya kupitia post za watu juu ya hii topic nimejikuta kuvutiwa zaidi na swala la "miafrika ndivyo tulivyo"

Mimi binafsi baada nimesoma maelezo mbalimbali kuhusiana na jinsi mtu anavyoweza kufanikiwa katika maisha ya kila siku katika nyanja mbali mbali.
Jambo la muhimu kulilko yote ni JINSI MTU ANAVYOFIKIRI.
Maana awazavyo mtu ndivyo alivyo.
Pia nilikuja kufahamu kuwa in our brains we have got this part of the brain called the subconscious mind,this part receives information literally,it doesn't filter, it doesn't judge and it doesn't forget.
This part doesn't know what is real and what is fantasy.
My point here is to tell all my friends that we must be very very careful on WHAT WE THINK AND SAY. Kumbukakeni pia subconscious mind iko kazini tangia uko tumboni mwa mama mpaka unakufa na haipumziki mpaka unakufa(mchana na usiku).
Kwahiyo tusijiwazie wala kuwa wazia watu wengine mambo mabaya maana "awazavyo mtu ndivyo alivyo"
Nawaomba sana jamani tusijikatae wenyewe.
 
mimi ninakuelew mzee yote haya yametokana na TZ kushindikiza umoja [PATRIOC FRONT] kuunganisha Nkomo, Sithole na kulazimisha kumuweka Mugabe kuwa kamanda wa jeshi. Baada ya ushindi alisababisha wazee wa mapambano kuwekwa pembeni [aliua sana] na mwisho yeye kujifanya ndiyo baba na mama wa taifa hilo
 
Robert Mugabe

Robert Gabriel Mugabe
[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/List_of_Presidents_of_Zimbabwe"]President of Zimbabwe[/ame]
[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Incumbent"]Incumbent[/ame]Assumed office
31 December 1987Prime Minister[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Morgan_Tsvangirai"]Morgan Tsvangirai[/ame]Vice President[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Simon_Muzenda"]Simon Muzenda[/ame]
[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Joseph_Msika"]Joseph Msika[/ame]
[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Joice_Mujuru"]Joice Mujuru[/ame]Preceded by[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Canaan_Banana"]Canaan Banana[/ame][ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Prime_Minister_of_Zimbabwe"]Prime Minister of Zimbabwe[/ame]
In office
18 April 1980 – 31 December 1987President[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Canaan_Banana"]Canaan Banana[/ame]Preceded by[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Abel_Muzorewa"]Abel Muzorewa[/ame] ([ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Prime_Minister_of_Rhodesia"]Zimbabwe Rhodesia[/ame])Succeeded byPost abolished Revived 2009: [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Morgan_Tsvangirai"]Morgan Tsvangirai[/ame]Secretary-General of the Non-Aligned Movement
In office
6 September 1986 – 7 September 1989Preceded by[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Zail_Singh"]Zail Singh[/ame]Succeeded by[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Janez_Drnovsek"]Janez Drnovsek[/ame]Born21 February 1924 (1924-02-21) (age 85)
Kutama, [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Harare"]Salisbury[/ame], [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Southern_Rhodesia"]Southern Rhodesia[/ame]Political partyZANU-PF (1987 – present)
[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Zimbabwe_African_National_Union"]ZANU[/ame] (1963–1987)
ZAPU (1961–1963)Spouse(s)[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Sally_Hayfron"]Sally Hayfron[/ame] (deceased)
[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Grace_Marufu"]Grace Marufu[/ame][ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Alma_mater"]Alma mater[/ame][ame="http://en.wikipedia.org/wiki/University_of_Fort_Hare"]University of Fort Hare[/ame]
[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/University_of_Oxford"]University of Oxford[/ame]
[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/University_of_South_Africa"]University of South Africa[/ame]
[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/University_of_London"]University of London[/ame]Religion[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Roman_Catholic_Church"]Roman Catholic[/ame]Signaturehttp://en.wikipedia.org/wiki/File:Signature_of_Robert_Mugabe_clear.svgRobert Gabriel Karigamombe Mugabe (born 21 February 1924) is the current [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/List_of_Presidents_of_Zimbabwe"]President[/ame] of [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Zimbabwe"]Zimbabwe[/ame]. He has held power as the [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Head_of_government"]head of government[/ame] since 1980, as [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Prime_Minister_of_Zimbabwe"]Prime Minister[/ame] from 1980 to 1987, and as the first executive [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Head_of_state"]head of state[/ame] since 1987. In 2008, his party suffered a defeat in national elections, but Mugabe retained power after his party's violence against opposition supporters caused the opposition candidate to pull out of a subsequent run-off.[2]
Mugabe rose to prominence in the 1960s as the [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Secretary_General"]Secretary General[/ame] of the [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Zimbabwe_African_National_Union"]Zimbabwe African National Union[/ame] (ZANU). For many years in the 1960s and 1970s Mugabe was a political prisoner in [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Rhodesia"]Rhodesia[/ame]. His goal was to replace white minority-rule with a one-party [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Marxist"]Marxist[/ame] regime.[3] Having been a political prisoner for 10 years, on release with [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Edgar_Tekere"]Edgar Tekere[/ame], Mugabe left Rhodesia in 1975 to join the Zimbabwe Liberation Struggle ([ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Rhodesian_Bush_War"]Rhodesian Bush War[/ame]) from bases in [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Mozambique"]Mozambique[/ame]. At the end of the war in 1979, Mugabe emerged as a hero in the minds of many Africans.[4][5] He won the general elections of 1980, the second in which the majority of Black Africans participated in large numbers (though the electoral system in Rhodesia had allowed Black participation based on qualified franchise), amid reports of violent intimidation by the militants he now controlled. Mugabe then became the first [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Prime_Minister_of_Zimbabwe"]Prime Minister[/ame] after calling for reconciliation between formerly warring parties, including the white people as well as rival parties.
The years following Zimbabwe's independence saw a split between the two key belligerents who had fought alongside each other during the 1970s against the government of Rhodesia. An armed conflict between Mugabe's [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Maoist"]Maoist[/ame]-oriented Government and dissident followers of Joshua Nkomo's pro-[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Marxist"]Marxist[/ame] ZAPU erupted. Following the deaths of thousands, neither warring faction able to defeat the other, the heads of the opposing movements reached a landmark agreement, whence was created a new ruling party, ZANU PF, as a merger between the two former rivals.
Since 1998 Mugabe's policies have elicited domestic and international condemnation. Mugabe's [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Politics_of_Zimbabwe"]government[/ame] supported the [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Southern_African_Development_Community"]Southern African Development Community[/ame]'s intervention in the [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Second_Congo_War"]Second Congo War[/ame]; expropriated thousands of [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Whites_in_Zimbabwe"]white-owned[/ame] farms; printed hundreds of trillions of [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Zimbabwean_dollar"]Zimbabwean dollars[/ame], causing [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Hyperinflation"]hyperinflation[/ame]; and harassed and intimidated such political opponents as the Movement for Democratic Change (MDC). The resulting downward spiral in Zimbabwe's [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Economy_of_Zimbabwe"]economy[/ame] has been accompanied by [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Oil"]oil[/ame] and [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Famine"]food shortages[/ame], massive internal displacement and [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Emigration"]emigration[/ame]. During this period Mugabe's policies have been denounced in the West and at home as racist against Zimbabwe's white minority. In July 2008, referring to the Mugabe regime, the [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/G8"]Group of Eight[/ame] released a collective statement saying that they "do not accept the legitimacy of a government that does not reflect the will of the Zimbabwean people".
On September 15, 2008, a [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/2008_Zimbabwe_political_negotiations"]power-sharing agreement[/ame] brokered by then-[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/South_Africa"]South African[/ame] [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/President_of_South_Africa"]President[/ame] [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Thabo_Mbeki"]Thabo Mbeki[/ame] was signed. Under the deal, Mugabe remained President, [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Morgan_Tsvangirai"]Morgan Tsvangirai[/ame] became [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Prime_Minister_of_Zimbabwe"]Prime Minister[/ame],[19] the MDC controls the [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Zimbabwe_Republic_Police"]police[/ame], Mugabe’s Zimbabwe African National Union - Patriotic Front commands the [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Army_of_Zimbabwe"]army[/ame], and [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Arthur_Mutambara"]Arthur Mutambara[/ame] became [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Deputy_Prime_Minister_of_Zimbabwe"]Deputy Prime Minister[/ame]. This deal has remained precarious, with Mugabe's party ceding little actual power and pursuing questionable legal proceedings against MDC members.

Source: Wikipedia, the free encyclopedia

(Redirected from Robert mugabe)
 
Mi nafikiri Mugabe alikua anafuata mkumbo...tu..Kwamunonekano wake!! ni dhahili kabisa anakichaa!!!..au malaria sugu!!..Na hii yote imesababishwa na marafiki zake wa karibu kupoteza kabisa Dira ya yale walio kua waki yazungumza ujanani..!!yawezekana walimfundisha ushujaa kabla topic haija isha wakapotea!!... wapo rafiki zake walio aga Dunia!!/ wapo rafiki zake walio achwa na kuacha madalaka huku nyuma yao wakizongwa na kashfa!!

nafikiri mgabe alipangwa vizuri akapangika na hao marafiki zake lakini mwishoni hakukuta kile alichokua ana tarajia...

labda nchi kubwa ya Africa!!...Tanzania inawajibika moja kwa moja na kichaa cha Mugabe!! vita mstari wa mbele na siasa ya ubaguzi kusini mwa Afrika... sijui unanielewa!!? au una endelea kulewa!!?
mi naona wewe na kina Mugabe na wengine wote wanaowazunguka ni vichaa tupu hamna hata mwenye afadhali!!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom