CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,358
- 6,422
Acha kisirani, umaskini tulionao umeletwa na JF. hata ufanye kazi vipi, sana sana mzee wa vijisenti na mafisadi wenzake wataiba hizo hela na wabunge kupeana posho kubwa kubwa. Hivyo afadhali kutega, hakuna kufanya kazi katu. kula rushwa kwa kwenda mbeleNimekuwa nikijiuliza hili swali kila siku, Wana JF ambao mmeajiriwa maofisini, hivi huwa mnapata muda kweli wa kufanya kazi za ofisi? Na mada mnazoposti hususan za mahusiano huwa mnazipata wapi? Utafiti nilioufanya kupitia mtandao huu, takriban 500 JF members huwa wako online muda wote wa masaa ya kazi kwenye Jukwaa la mahusiano na Mapenzi. Je ni kweli kuna matatizo ya kimapenzi kiasi hiki hapa TZ?
Leo pekee topic lukuki zimeshapostiwa kabla hata ya lunch time! Ndg zangu, tufanye kazi muda wa kazi, nchi yetu ni maskini, Ebooo!
Wenu,
HP