Muda huwa mnapata wapi?

Nimekuwa nikijiuliza hili swali kila siku, Wana JF ambao mmeajiriwa maofisini, hivi huwa mnapata muda kweli wa kufanya kazi za ofisi? Na mada mnazoposti hususan za mahusiano huwa mnazipata wapi? Utafiti nilioufanya kupitia mtandao huu, takriban 500 JF members huwa wako online muda wote wa masaa ya kazi kwenye Jukwaa la mahusiano na Mapenzi. Je ni kweli kuna matatizo ya kimapenzi kiasi hiki hapa TZ?
Leo pekee topic lukuki zimeshapostiwa kabla hata ya lunch time! Ndg zangu, tufanye kazi muda wa kazi, nchi yetu ni maskini, Ebooo!

Wenu,
HP
Acha kisirani, umaskini tulionao umeletwa na JF. hata ufanye kazi vipi, sana sana mzee wa vijisenti na mafisadi wenzake wataiba hizo hela na wabunge kupeana posho kubwa kubwa. Hivyo afadhali kutega, hakuna kufanya kazi katu. kula rushwa kwa kwenda mbele
 
Tuwe wazalendo, tanzania itajengwa na watanzania wenyewe! Hautaki welfare nzuri kwa kizazi chako kinachokuja?
 
Kumbuka JF iko online na unaposema 'masaa ya kazi', sikuelewi maana wakati wewe uko ofisini, wakati huo mtanzania aliye Japani kwake anakuwa anakula chakula cha usiku.
Au, umefikiria members wa JF wote wapo Tz?
 
Mimi nikichapa kazi zikaisha nikawa idle ndiyo naingia JF, ninahofu ya performance za watu kushuka kutoka na kuwa addicted na JF! Kama nilivyosema, siyo mbaya ila tuwe na kiasi :nerd:.
Lol....Horse banaa hao watu unao hofu performance zao kushuka wala hawana habari na wewe..
 
may be wengine wako abroad c unajua tena different time zones..wengine wanatumia simu so they can do it ata wakiwa kazini
 
Na wewe muda umepata wapi? Usiulize wakati na wewe umo! au wewe ni kibaka huna kazi? TAFADHALI tutake radhi
 
Mimi nikichapa kazi zikaisha nikawa idle ndiyo naingia JF, ninahofu ya performance za watu kushuka kutoka na kuwa addicted na JF! Kama nilivyosema, siyo mbaya ila tuwe na kiasi :nerd:.

in red , naona umekiri kuwa we sio mzuri kwenye mult-task kama alivyosema TF hapo juu...
mi ningekuwa ni HP, ningechangamkia fasta hiyo offer ya TF ya short course in mult-tasking...
nakushauri ufanyie kazi offer ya TF, itakusaidia...
 
Kwa kua wewe ndio muajiri wetu, asante kwa kutukumbusha. ila na wewe nakukumbusha "fanya kazi" uko JF saa hizi muda wa kazi...

Mkuu wewe ni multi-tasking kweli au longo longo? Isije ikawa unatumia 70% ya muda wako jukwaani na 30% kwenye kazi inayokuweka mjini, be warned!
Mi nimeingia online kuwakumbusha watu wachape kazi japo kidogo!
Samahani sana ....
 
Multi Task Skills

tena kazi zinafanyika kwa umakini wa hali ya juu..kazi na dawa.
 
Mkuu Horsepower yako kiasi gani , chukulia mfano huu :juggle:....kama horsepower yako iko juu sidhani kama utashindwa kumtumikia mkoloni huku unajinafasi JF

Nimekuwa nikijiuliza hili swali kila siku, Wana JF ambao mmeajiriwa maofisini, hivi huwa mnapata muda kweli wa kufanya kazi za ofisi? Na mada mnazoposti hususan za mahusiano huwa mnazipata wapi? Utafiti nilioufanya kupitia mtandao huu, takriban 500 JF members huwa wako online muda wote wa masaa ya kazi kwenye Jukwaa la mahusiano na Mapenzi. Je ni kweli kuna matatizo ya kimapenzi kiasi hiki hapa TZ?
Leo pekee topic lukuki zimeshapostiwa kabla hata ya lunch time! Ndg zangu, tufanye kazi muda wa kazi, nchi yetu ni maskini, Ebooo!

Wenu,
HP
 
huyu nae vipi anataka watu wawe online usiku au wewe huwa unaperuzi kwenye mitandao ya ngono
 
Duh,me huwa natumia kamchna na mambo yanaenda,ila kuna mda nakua kwenye Daladala,na kuna mda nakua JoB!
 
Nchi masikini sababu ya wizi na ufisadi wa watu flan flan, bila shaka unawajua wenzio wenye magamba ! Umasikini wakati tuna rasilimari zote hizo ?

...Na hiyo research ulifanya ukiwa off-line ?

Nashukuru kwa michango yenu, lengo langu langu lilikuwa kuwakumbusha kuchapa kazi pia maana naamini kuna wengine wanazama sana mpaka kudeliver kazi inakuwa shida. Yumkini kuna watu wako foleni wanasubiri huduma yeye bado anapitia JF. Siyo mbaya ila tukumbuke na kazi pia.
Ngoja niwahudumie watz wenzangu, ntarudi baadaye.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom