muccobs cost hiyo

Vipi wakuu kuhusu joining instruction&admission letter?watatuma au vipi tujuzane jamani?
 
Vipi wakuu kuhusu joining instruction&admission letter?watatuma au vipi tujuzane jamani?

kaka walisha2ma kitambo kwa kila mwanafunz so kama ujapata jaribu kufuatilia kwa ukaribu wa aina yake,au zama zako muccobs kuchukua,
 
Jamani mimi waliandika slp tuu bila ya kutaja mji ninaokaa ,wakati mimi niliandika slp 374 tabora hawakuandika mkoa dah
 
Sasa kama wameandika namba ya posta bila mji nitipata kweli? Au nisafiri toka tabora-moshi dah pesa nyingiii sanaa
 
Vipi wakuu,kwa waliotutangulia tujuzeni inatakiwa 1st year waje na kiac gani kabla ya heslb.na vipi maisha ya hapo ni juu ya 7500?
 
Back
Top Bottom